Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu riba imekatazwa ktk vitabu vya dini zoteMajengo hayo nenda bank weka dhamana chukua mkopo mbona mambo yanawezekana
Hayo nimengine sasaUsikariri, ungefilisika je?
Mkuu acha kukariri..nimekuabia sehemu ya faida kwa biashara nimeanza tangu 2009 Sasa miaka yote 500 kwanin isifike...Yauze, kama una majengo yenye thaman ya 500m, huwezi kosa 350m urekebishe makosa yako.
Kwa mfanya biashara aliyepata pesa kwenye biashara, hawezi kuacha kuheshimu mtaji wa biashara.
Hii kama si chai ni bahati, nitakupa mfano:
1. Kama hiyo 500m imetoka kwenye biashara, then mtaji wako lazima uwe over 1.5bn.
2. Kama hiyo hela ya mtaji umetumia kwenye majengo, biashara ambayo imekupa pesa yote, unatakiwa u kafanye ct scan.
3. Mfanya biashara, mwenye ile akili ya kutengeneza hiyo pesa, hawezi kutokujua kwamba majengo (unless yako kwenye very prime area) hayana faida,
Hence:
Hii ni ya Tangawizi na cocoa, chai ya kibabe.
Wakati hizo dini zimamiliki mabenkiMkuu riba imekatazwa ktk vitabu vya dini zote
Sio lazima uwe over 1.5b..nakupa tu mfano mdogo Kuna mtu nafahamiana nae ni agent wa coca sirali uko anachukua gari moja ya soda zatake away inamcost almost 40m akishusha mzigo mda huo huo unafaulishwa ktk magari madogo madogo wateja wakutoka nchi za jirani gari lote linaisha mda huo huo na gar moja inamuachia faida 2m nakwamwezi ananunua gar4 Sasa huyo vip hapo ana hiyo b uisemayo...nahapo nisehemu ya product mojaYauze, kama una majengo yenye thaman ya 500m, huwezi kosa 350m urekebishe makosa yako.
Kwa mfanya biashara aliyepata pesa kwenye biashara, hawezi kuacha kuheshimu mtaji wa biashara.
Hii kama si chai ni bahati, nitakupa mfano:
1. Kama hiyo 500m imetoka kwenye biashara, then mtaji wako lazima uwe over 1.5bn.
2. Kama hiyo hela ya mtaji umetumia kwenye majengo, biashara ambayo imekupa pesa yote, unatakiwa u kafanye ct scan.
3. Mfanya biashara, mwenye ile akili ya kutengeneza hiyo pesa, hawezi kutokujua kwamba majengo (unless yako kwenye very prime area) hayana faida,
Hence:
Hii ni ya Tangawizi na cocoa, chai ya kibabe.
Ukimaanisha ninPesa inatabia ya kuisha.
Ha ha ha ha Sasa mkuu siwanasema hawatoi ribaWakati hizo dini zimamiliki mabenki
Nisahihi kabisaUkweli ni kwamba majengo kama siyo prime area ni wastage of money baadae ukiyumba hayakusaidii labda uuze
Sio lazima uwe over 1.5b..nakupa tu mfano mdogo Kuna mtu nafahamiana nae ni agent wa coca sirali uko anachukua gari moja ya soda zatake away inamcost almost 40m akishusha mzigo mda huo huo unafaulishwa ktk magari madogo madogo wateja wakutoka nchi za jirani gari lote linaisha mda huo huo na gar moja inamuachia faida 2m nakwamwezi ananunua gar4 Sasa huyo vip hapo ana hiyo b uisemayo...nahapo nisehemu ya product moja
Kopa ila usiwekee nyumba,Kuyauza ningumu kwa Sasa maana yapo sehemu nzuri sana..nkiuza kwa Sasa ntajuta maradufu zaid hapo baadae maana yapo eneo zuri baadae miaka10 naweza pata Hela mara Tano zaid ningeuza sasa
Mkuu bank sidhani kama ntasubutu maana nishapata detail zaid kwa mtu wabank nilitaka nijaribu kukopa 100m kwa mwaka mmoja.... aisee nkaambiwa ntarejesha jumla 118m Sasa piga hesa maana yake Kila mwezi natakiwa kurejesha 9,833,333=,tafsiri yake nikwamba niwe nauwezo wakuingiza faida ya zaid ya 14m ili niweze kurejesha 9.8m nanibakiwe na faida ambayo ndio itakua kama mtaji amabao nimeupata kutokana nahuo mkopo....Tupo watu tumepoteza kabisa pesa kwenye biashara fulani. Lakini wewe umewekeza kwenye kitu kipo kinachoonekana kipo.
.
Wakija watu kukufanyia valuation ya utajiri wako. Hata hiyo milioni 500 itaonekana ni sehemu ya utajiri wako. Kwa hiyo wewe huna cha kujutia hata kidogo,ksbb hata ukiamua kuuza tu baadhi ya majengo yako,tayari ni hela.
Kilichokuumiza wewe hapo ksbb ya kuzoea biashara unayoifanya na imejitokeza biashara nyingine kubwa ya hiyo inayotaka mtaji mkubwa.
Cha kufanya either uvumilie kuendelea na biashara unayoifanya sasa ili kuendelea kukuza mtaji na utakua. Au hizo dhamana za majengo nenda kakopee bank mojawapo ya majengo yako ili uifanye biashara hiyo kubwa
Wewe mwenyewe umesema umeona fursa za biashara. Sasa kama umeona hizo fursa maana yake ni nzuri za kukuingizia kiwango kizuri kiasi kwamba ukiifanya mpaka mwaka unaisha ukaja kugawana ile faida na bank bado unabakiwa na faida.Mkuu bank sidhani kama ntasubutu maana nishapata detail zaid kwa mtu wabank nilitaka nijaribu kukopa 100m kwa mwaka mmoja.... aisee nkaambiwa ntarejesha jumla 118m Sasa piga hesa maana yake Kila mwezi natakiwa kurejesha 9,833,333=,tafsiri yake nikwamba niwe nauwezo wakuingiza faida ya zaid ya 14m ili niweze kurejesha 9.8m nanibakiwe na faida ambayo ndio itakua kama mtaji amabao nimeupata kutokana nahuo mkopo....
Sasa jiulize swali nibiashara Gani itakayo kuingizia faida consistency 14m Kila mwezi kwa mwaka mzima..
Kwanini uuze, chukua mkopo. Ila jiwekee ukomo. Sio unajenga tu.Mkuu kwa saa hizi nikiuza hayo majengo ntakua kama napata hasara tu maana Yako sehemu potentia sana kwa baadae baada ya miaka10 pesa yake nindefu mno nkisema nipauze
Pole!Habar wakuu nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya..ukipata pesa wekeza ktk biashara nasimajengo...fursa nyingi zimenipita kutokana na namtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokua naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaid..
Matokeo yake wakat fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sabubu mtaji hautoshi sababu sehemu yafaida haikurudi ktk biashara zaid yakwenda kwenye maujenz ambayo hayaniingizii pesa yamaana tofauti na ambayo hizo pesa zingekua katika biashara
Majengo hayo nenda bank weka dhamana