Najuta zaidi ya Tsh. 500m nimezika katika majengo, mtaji wa kufanyia biashara umepungua pakubwa sana

Habari wakuu, nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya, ukipata pesa wekeza katika biashara na si majengo. Fursa nyingi zimenipita kutokana na mtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokuwa naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaidi.

Matokeo yake wakati fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sababu mtaji hautoshi, sehemu ya faida haikurudi ktk biashara zaidi ya kwenda kwenye maujenzi ambayo hayaniingizii pesa ya maana tofauti na ambayo hizo pesa zingekuwa katika biashara.
Weka maelezo yakutosha hapa, ili tujue wapi ulikose upewe namna yakutatua kuliko kuja na malalamiko
 
Yauze, kama una majengo yenye thaman ya 500m, huwezi kosa 350m urekebishe makosa yako.

Kwa mfanya biashara aliyepata pesa kwenye biashara, hawezi kuacha kuheshimu mtaji wa biashara.

Hii kama si chai ni bahati, nitakupa mfano:

1. Kama hiyo 500m imetoka kwenye biashara, then mtaji wako lazima uwe over 1.5bn.

2. Kama hiyo hela ya mtaji umetumia kwenye majengo, biashara ambayo imekupa pesa yote, unatakiwa u kafanye ct scan.

3. Mfanya biashara, mwenye ile akili ya kutengeneza hiyo pesa, hawezi kutokujua kwamba majengo (unless yako kwenye very prime area) hayana faida,

Hence:

Hii ni ya Tangawizi na cocoa, chai ya kibabe.
Hii itakua chai ya TATEPA...

Yeye ni mlokole hataki kukopeshwa nabenki hataki mambo ya riba, hataki kuuza majengo hayo,,
Sasa kitu kinanijia kichwani anataka mtu binafsi ampe hela haalafu atamrudishia [emoji1]
 
Yauze, kama una majengo yenye thaman ya 500m, huwezi kosa 350m urekebishe makosa yako.

Kwa mfanya biashara aliyepata pesa kwenye biashara, hawezi kuacha kuheshimu mtaji wa biashara.

Hii kama si chai ni bahati, nitakupa mfano:

1. Kama hiyo 500m imetoka kwenye biashara, then mtaji wako lazima uwe over 1.5bn.

2. Kama hiyo hela ya mtaji umetumia kwenye majengo, biashara ambayo imekupa pesa yote, unatakiwa u kafanye ct scan.

3. Mfanya biashara, mwenye ile akili ya kutengeneza hiyo pesa, hawezi kutokujua kwamba majengo (unless yako kwenye very prime area) hayana faida,

Hence:

Hii ni ya Tangawizi na cocoa, chai ya kibabe.
4.Mfanyabiashara ambaye aliweza kugenerate profit ya 500m hawezi kukosa mbinu ya kuukuza mtaji na kutengeneza profit ya 500m nyingine japo muda wa kuitengeneza utaongezeka.
 
Biashara haimaanishi kuwa utapata faida... Pia kuna hasara. Labda ungeweka hela nyingi kwenye biashara zingekuwa zimeisha
Habari wakuu, nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya, ukipata pesa wekeza katika biashara na si majengo. Fursa nyingi zimenipita kutokana na mtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokuwa naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaidi.

Matokeo yake wakati fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sababu mtaji hautoshi, sehemu ya faida haikurudi ktk biashara zaidi ya kwenda kwenye maujenzi ambayo hayaniingizii pesa ya maana tofauti na ambayo hizo pesa zingekuwa katika biashara.
 
Ujenzi unatamanisha sana yaan usipokuwa makini kueshimu mpangilio wa mambo ya kufanya.
 
Habari wakuu, nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya, ukipata pesa wekeza katika biashara na si majengo. Fursa nyingi zimenipita kutokana na mtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokuwa naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaidi.

Matokeo yake wakati fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sababu mtaji hautoshi, sehemu ya faida haikurudi ktk biashara zaidi ya kwenda kwenye maujenzi ambayo hayaniingizii pesa ya maana tofauti na ambayo hizo pesa zingekuwa katika biashara.
Weka picha ya mjengo wa 500m ulizozizika hapo.
 
Kujenga ni addictive sana, unaweza jengea mtaji usipokuwa makini ila it worth it, biashara unazoziona leo 25yr later unaweza usizikute ila nyumba unazoziona leo 25yrs zitakuwepo vilevile.
Ni kweli Mkuu..hata Serikali ilianzisha biashara pamoja na makampuni lakini mengi yamejifia..ila shirika la nyumba bado lipo
 
Back
Top Bottom