Najuta zaidi ya Tsh. 500m nimezika katika majengo, mtaji wa kufanyia biashara umepungua pakubwa sana

Weka maelezo yakutosha hapa, ili tujue wapi ulikose upewe namna yakutatua kuliko kuja na malalamiko
 
Hii itakua chai ya TATEPA...

Yeye ni mlokole hataki kukopeshwa nabenki hataki mambo ya riba, hataki kuuza majengo hayo,,
Sasa kitu kinanijia kichwani anataka mtu binafsi ampe hela haalafu atamrudishia [emoji1]
 
4.Mfanyabiashara ambaye aliweza kugenerate profit ya 500m hawezi kukosa mbinu ya kuukuza mtaji na kutengeneza profit ya 500m nyingine japo muda wa kuitengeneza utaongezeka.
 
Biashara haimaanishi kuwa utapata faida... Pia kuna hasara. Labda ungeweka hela nyingi kwenye biashara zingekuwa zimeisha
 
Sema wewe mwamba thread zako nyingi unatupiga sana sound
 
Ujenzi unatamanisha sana yaan usipokuwa makini kueshimu mpangilio wa mambo ya kufanya.
 
Weka picha ya mjengo wa 500m ulizozizika hapo.
 
Kujenga ni addictive sana, unaweza jengea mtaji usipokuwa makini ila it worth it, biashara unazoziona leo 25yr later unaweza usizikute ila nyumba unazoziona leo 25yrs zitakuwepo vilevile.
Ni kweli Mkuu..hata Serikali ilianzisha biashara pamoja na makampuni lakini mengi yamejifia..ila shirika la nyumba bado lipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…