Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Ubepari sio kitu cha kushabikia mana hauna huruma. Kwa muktadha huo jamaa aweke conditions ambazo zitamuamsha tena jamaa kuwa yukona biashara ya mtu anatakiwa auze. Mana nina hakika hiyo karatas aliyoiona hapo ndani ndo anaona dogo anafaidi. Akimtoa hapo bila kuona muelekeo mzuri atamuharibia maisha kabisa
Bora ukae nae mshirikiane Kwa pamoja mkue pamoja zaidi .
Ukifanya hivi utakuwa umepatia
Win win situation ndo njia nzuri na bora
Ubaya ubwelaKaa chini mwambie aondoke na vitu vyake.
Halafu wewe kavinunue umuweke mtu mwingine hapo.
And beyondBiashara ndio ubepari wenyewe.
Huwezi Fanya Biashara kama sio bepari.
Biashara unazungumzia Faida. Faida unazungumzia unyonyaji
Very confusing hii deal but jaribu kuona ikiwa attention ya bidhaa zako haichukuliwi na bidhaa zake
Anauza nnKuna uzi niliweka humu Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani?
Summary:
Msaidizi aliniomba aanze kuuza bidhaa zake, nilimruhusu
Niliweza kupata mbinu ya kujua hesabu zake, kuna kidaftari huwa anakificha sehem flani, nikiona hayupo nakipiga picha fasta au naweza kumtuma aninunulie vocha nakipiga picha fasta.
- Mwezi wa 10 alikuwa na faida ya 183,500
- Mwezi wa 11 kaingiza faida ya 413,000
- Mwezi wa 12 alianza kutunza mzigo mpaka stoo, kwa movement zilizopo najua faida itakuwa 700,000
Mshahara naomlipa ni 150,000 kwa mwezi, allowance ya matumizi yake elf 70, jumla 220,000
Meanwhile biashara yangu imeshuka sana Mwezi wa 10 faida ilikuwa laki 3, Mwezi wa 11 faida laki 2 na 15, mwezi huu laki 2 na 40
Gharama za biashara
- frame - 500,000
- mshahara na allowance - 220,000
- Tra, Jiji, umeme, maji, usafi, n.k. - 50,000
Ni mwezi wa 11 nilifungua uzi humu kipindi hicho hesabu zake hadi tarehe 13 faida inasoma 186,500 niombe ushauri nichukue hatua zipi, nilishambuliwa sana kwamba nina ROHO MBAYA nimuache niwe na HURUMA.
Ndicho nilichofanya, Matokeo yake
Siku ya jana nimemuambia haya
- Anajali zaidi biashara yake kuzidi yangu, Hapo zamani alikuwa ananipa mwendendo wa biashra , hesabu, n.k. sijgizi kaacha kabisa.
- Biashara yake kwanza yangu baadae, mara kadhaa nafika dukani hayupo, nilifuatilia na kugundua anaenda kujumua mzigo wake.
- Namlipia frem, kodi, jiji, usafi, chakula, n.k. lakini bado anaendelea kuchukua allowance licha ya kwamba anaingiza pesa nyingi.
Najua fika kabisa mtu alieanza kuzoea faida za laki 7 ukijumlisha na allowance ya laki 2 ni ngumu kukubali kushuka upya, Kwa saikolojia ya binadamu najua atatafuta mbinu, Nilichofanya ni kuweka cctv Camera tarehe 17 mwezi huu na kumuacha aendelee na biashara yake, Lengo la hiocamera ni kumchunguza nikianza kuweka mzigo wangu.
- Mwaka huu naongeza bidhaa hizo anazouza, Kwa location nilipo kuna wateja wengi mno.
- Biashara zote zinazofanyika dukani zitakuwa mali ya duka, Ikiwa muuza duka kanipa idea nitamkadiria cha juu ama tutakuwa tunaenda kwa percent.
Bidhaa zenye wateja kwa location ya duka, Uhitaji mkubwa supply ndogoAnauza nn
Ndio mwanzo wa kutupiana majiniAkijiongeza atakua mshindani wako na atatafuta site jirani hapo hapo na kwa sababu ana wateja na anafahamiana nao Ngoma itakugeuka ,
Namkaribisha ajue maana halisi ya biasharaAkijiongeza atakua mshindani wako na atatafuta site jirani hapo hapo na kwa sababu ana wateja na anafahamiana nao Ngoma itakugeuka ,
Business partners?? Au sio??..Bora ukae nae mshirikiane Kwa pamoja mkue pamoja zaidi .
Ukifanya hivi utakuwa umepatia
Win win situation ndo njia nzuri na bora
Business partners?? Au sio??..
Kaa chini mwambie aondoke na vitu vyake.
Halafu wewe kavinunue umuweke mtu mwingine hapo.
Sijasoma uzi wote. Ila pole. Kua makini siku nyingine.Kuna uzi niliweka humu Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani?
Summary:
Msaidizi aliniomba aanze kuuza bidhaa zake, nilimruhusu !
Niliweza kupata mbinu ya kujua hesabu zake, kuna kidaftari huwa anakificha sehem flani, nikiona hayupo nakipiga picha fasta au naweza kumtuma aninunulie vocha nakipiga picha fasta.
- Mwezi wa 10 alikuwa na faida ya 183,500
- Mwezi wa 11 kaingiza faida ya 413,000
- Mwezi wa 12 alianza kutunza mzigo mpaka stoo, Mwezi haujaisha ila faida inakaribia 700,000
Mshahara naomlipa ni 150,000 kwa mwezi, allowance ya matumizi yake elf 70, jumla 220,000
Meanwhile biashara yangu imeshuka sana Mwezi wa 10 faida ilikuwa laki 3, Mwezi wa 11 faida laki 2 na 15, mwezi huu laki 2 na 40
Gharama za biashara
- frame - 500,000 (Gharama hii ni kwetu wachache tulioziwahi, wengine ni laki 8)
- mshahara na allowance - 220,000
- Tra, Jiji, umeme, maji, usafi, n.k. - 50,000
Ni mwezi wa 11 nilifungua uzi humu kipindi hicho hesabu zake hadi tarehe 13 faida inasoma 186,500 niombe ushauri nichukue hatua zipi, nilishambuliwa sana kwamba nina ROHO MBAYA nimuache niwe na HURUMA.
Ndicho nilichofanya, Matokeo yake
Siku ya jana nimemuambia haya
- Anajali zaidi biashara yake kuzidi yangu, Hapo zamani alikuwa ananipa mwendendo wa biashra , hesabu, n.k. sijgizi kaacha kabisa.
- Biashara yake kwanza yangu baadae, mara kadhaa nafika dukani hayupo, nilifuatilia na kugundua anaenda kujumua mzigo wake.
- Namlipia frem, kodi, jiji, usafi, chakula, n.k. lakini bado anaendelea kuchukua allowance licha ya kwamba anaingiza pesa nyingi.
Najua fika kabisa mtu alieanza kuzoea faida za laki 7 ukijumlisha na allowance ya laki 2 ni ngumu kukubali kushuka upya, Kwa saikolojia ya binadamu najua atatafuta mbinu, Nilichofanya ni kuweka cctv Camera tarehe 17 mwezi huu na kumuacha aendelee na biashara yake, Lengo la hiocamera ni kumchunguza nikianza kuweka mzigo wangu.
- Mwaka huu naongeza bidhaa hizo anazouza, Kwa location nilipo kuna wateja wengi mno.
- Biashara zote zinazofanyika dukani zitakuwa mali ya duka, Ikiwa muuza duka kanipa idea nitamkadiria cha juu ama tutakuwa tunaenda kwa percent.
Kwa upande mwengine wala simkatazi awe na biashara yake, atapata ukomavu zaidi kwa kuanza kujilipia gharama za biashara, mfano frem laki 8 (minimum miezi 6), umeme, tra, jiji, n.k. (Faida = mapato - gharama)
Matajiri waliofanikiwa kwenye biashara hawana huruma mkuu ndio dunia tuliyopo...lengo kuu la biashara ni kutengeneza faida, haijalishi maisha ya wangapi yataharibikaUbepari sio kitu cha kushabikia mana hauna huruma. Kwa muktadha huo jamaa aweke conditions ambazo zitamuamsha tena jamaa kuwa yukona biashara ya mtu anatakiwa auze. Mana nina hakika hiyo karatas aliyoiona hapo ndani ndo anaona dogo anafaidi. Akimtoa hapo bila kuona muelekeo mzuri atamuharibia maisha kabisa
Capitalist wanapigania mitaji sio?. Niliwah kuwepo kazin kisiwa kimoja hivi unguja kuna siku mashine ya boti ilitumbukia majini. Alivyokuja meneja akasema kwamba bora angeingia boti man akafia humo kuliko mashine ya watu milion 9 ipatikane tuMatajiri waliofanikiwa kwenye biashara hawana huruma mkuu ndio dunia tuliyopo...lengo kuu la biashara ni kutengeneza faida, haijalishi maisha ya wangapi yataharibika