Najutia kufuata ushauri mlionipa kumuonea huruma muuza duka auze bidhaa zake, wachache mlionishauri niweke huruma pembeni mnajua biashara

Mkuu km vip mwachishe kazi, maana unatolea macho sana biashara yake.
 
Ndio shida ya kutaka kuonekana boss yuko fair! Unawezaje kumruhusu mfanyakazi awe na biashara ndani ya biashara Yako? Ulitegemea ajali biashara Yako aache yake? Sasa umetengeneza bomu wewe mwenyewe.

Huyo mfanyakazi wako kama ameshajipanga vzr tegemea ataondoka na kwenda kuanzisha hiyo biashara yake karibu na wewe siku utakayomletea mbwembwe.

Ushauri: kataa hiyo kitu haraka sana bila kujari watu watakuchukuliaje,watakuonaje atakae kuona wewe una roho mbaya amchukua huyo ampeleke akafanye hivyo kwenye biashara yake
 
  • Mwezi wa 10 alikuwa na faida ya 183,500
  • Mwezi wa 11 kaingiza faida ya 413,000
  • Mwezi wa 12 alianza kutunza mzigo mpaka stoo, Mwezi haujaisha ila faida inakaribia 700,000
Uwe unasema na biashara anayofanya sio unatajataja faida tu hivi unatuchukuliaje sisi?
 
  • Anajali zaidi biashara yake kuzidi yangu, Hapo zamani alikuwa ananipa mwendendo wa biashra , hesabu, n.k. sijgizi kaacha kabisa.
  • Biashara yake kwanza yangu baadae, mara kadhaa nafika dukani hayupo, nilifuatilia na kugundua anaenda kujumua mzigo wake
Anafanya biashara gani mkuu mboni umeficha white au hii ni Chai?
 
Kuna uzi niliweka humu Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani?

Summary:

Msaidizi aliniomba aanze kuuza bidhaa zake, nilimruhusu !

Niliweza kupata mbinu ya kujua hesabu zake, kuna kidaftari huwa anakificha sehem flani, nikiona hayupo nakipiga picha fasta au naweza kumtuma aninunulie vocha nakipiga picha fasta.

  • Mwezi wa 10 alikuwa na faida ya 183,500
  • Mwezi wa 11 kaingiza faida ya 413,000
  • Mwezi wa 12 alianza kutunza mzigo mpaka stoo, Mwezi haujaisha ila faida inakaribia 700,000

Mshahara naomlipa ni 150,000 kwa mwezi, allowance ya matumizi yake elf 70, jumla 220,000

Meanwhile biashara yangu imeshuka sana Mwezi wa 10 faida ilikuwa laki 3, Mwezi wa 11 faida laki 2 na 15, mwezi huu laki 2 na 40

Gharama za biashara

  • frame - 500,000 (Gharama hii ni kwetu wachache tulioziwahi, wengine ni laki 8)
  • mshahara na allowance - 220,000
  • Tra, Jiji, umeme, maji, usafi, n.k. - 50,000

Ni mwezi wa 11 nilifungua uzi humu kipindi hicho hesabu zake hadi tarehe 13 faida inasoma 186,500 niombe ushauri nichukue hatua zipi, nilishambuliwa sana kwamba nina ROHO MBAYA nimuache niwe na HURUMA.

Ndicho nilichofanya, Matokeo yake

  • Anajali zaidi biashara yake kuzidi yangu, Hapo zamani alikuwa ananipa mwendendo wa biashra , hesabu, n.k. sijgizi kaacha kabisa.
  • Biashara yake kwanza yangu baadae, mara kadhaa nafika dukani hayupo, nilifuatilia na kugundua anaenda kujumua mzigo wake.
  • Namlipia frem, kodi, jiji, usafi, chakula, n.k. lakini bado anaendelea kuchukua allowance licha ya kwamba anaingiza pesa nyingi.
Siku ya jana nimemuambia haya
  • Mwaka huu naongeza bidhaa hizo anazouza, Kwa location nilipo kuna wateja wengi mno.
  • Biashara zote zinazofanyika dukani zitakuwa mali ya duka, Ikiwa muuza duka kanipa idea nitamkadiria cha juu ama tutakuwa tunaenda kwa percent.
Najua fika kabisa mtu alieanza kuzoea faida za laki 7 ukijumlisha na allowance ya laki 2 ni ngumu kukubali kushuka upya, Kwa saikolojia ya binadamu najua atatafuta mbinu, Nilichofanya ni kuweka cctv Camera tarehe 17 mwezi huu na kumuacha aendelee na biashara yake, Lengo la hiocamera ni kumchunguza nikianza kuweka mzigo wangu.

Kwa upande mwengine wala simkatazi awe na biashara yake, atapata ukomavu zaidi kwa kuanza kujilipia gharama za biashara, mfano frem laki 8 (minimum miezi 6), umeme, tra, jiji, n.k. (Faida = mapato - gharama)
Tafsiri ya biashara ni kutokuwa na huruma wala ujinga.
Hao uliofuata ushauri wao walikuponza na kama ni wafanya biashara basi ni kama huyo muuza duka wako au ni aina ya watu wasiopenda mafanikio ya wengine hata kama hawakujui.
 
Namkaribisha ajue maana halisi ya biashara

Frem - Laki 8 minimum miezi 6 ( laki 5 ni kwetu wachache tulioziwahi)
allowance ajilipe kutoka kwenye faida
tra na jiji alipe mwenyewe
n.k.

Biashara ukiifanya bila kujua gharama ni rahisi
Sasa kama frem ni laki tano, bado manispaa na tra, na wewe unakiri faida ni 300k bado kumlipa huyo msimamizi....
....biashara si inakupa hasara tu!!
 
Kuna uzi niliweka humu Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani?

Summary:

Msaidizi aliniomba aanze kuuza bidhaa zake, nilimruhusu !

Niliweza kupata mbinu ya kujua hesabu zake, kuna kidaftari huwa anakificha sehem flani, nikiona hayupo nakipiga picha fasta au naweza kumtuma aninunulie vocha nakipiga picha fasta.

  • Mwezi wa 10 alikuwa na faida ya 183,500
  • Mwezi wa 11 kaingiza faida ya 413,000
  • Mwezi wa 12 alianza kutunza mzigo mpaka stoo, Mwezi haujaisha ila faida inakaribia 700,000

Mshahara naomlipa ni 150,000 kwa mwezi, allowance ya matumizi yake elf 70, jumla 220,000

Meanwhile biashara yangu imeshuka sana Mwezi wa 10 faida ilikuwa laki 3, Mwezi wa 11 faida laki 2 na 15, mwezi huu laki 2 na 40

Gharama za biashara

  • frame - 500,000 (Gharama hii ni kwetu wachache tulioziwahi, wengine ni laki 8)
  • mshahara na allowance - 220,000
  • Tra, Jiji, umeme, maji, usafi, n.k. - 50,000

Ni mwezi wa 11 nilifungua uzi humu kipindi hicho hesabu zake hadi tarehe 13 faida inasoma 186,500 niombe ushauri nichukue hatua zipi, nilishambuliwa sana kwamba nina ROHO MBAYA nimuache niwe na HURUMA.

Ndicho nilichofanya, Matokeo yake

  • Anajali zaidi biashara yake kuzidi yangu, Hapo zamani alikuwa ananipa mwendendo wa biashra , hesabu, n.k. sijgizi kaacha kabisa.
  • Biashara yake kwanza yangu baadae, mara kadhaa nafika dukani hayupo, nilifuatilia na kugundua anaenda kujumua mzigo wake.
  • Namlipia frem, kodi, jiji, usafi, chakula, n.k. lakini bado anaendelea kuchukua allowance licha ya kwamba anaingiza pesa nyingi.
Siku ya jana nimemuambia haya
  • Mwaka huu naongeza bidhaa hizo anazouza, Kwa location nilipo kuna wateja wengi mno.
  • Biashara zote zinazofanyika dukani zitakuwa mali ya duka, Ikiwa muuza duka kanipa idea nitamkadiria cha juu ama tutakuwa tunaenda kwa percent.
Najua fika kabisa mtu alieanza kuzoea faida za laki 7 ukijumlisha na allowance ya laki 2 ni ngumu kukubali kushuka upya, Kwa saikolojia ya binadamu najua atatafuta mbinu, Nilichofanya ni kuweka cctv Camera tarehe 17 mwezi huu na kumuacha aendelee na biashara yake, Lengo la hiocamera ni kumchunguza nikianza kuweka mzigo wangu.

Kwa upande mwengine wala simkatazi awe na biashara yake, atapata ukomavu zaidi kwa kuanza kujilipia gharama za biashara, mfano frem laki 8 (minimum miezi 6), umeme, tra, jiji, n.k. (Faida = mapato - gharama)
Sasa si umuache akafanye biashara zake unataka aendelee kuwa chini yako kwa hiyo 220k ataweza kutunza familia? Acha roho mbaya wakati ushamsaidia tayari. Mwache aende tafuta mwingine.
 
Hakika ulishauriwa/tulikushauri vibaya, hakuna huruma kwenye biashara, hakuna biashara ndani ya biashara. Achague kukutumikia au atafute sehemu afungue ya kwake.

Kwenye biashara ukiwa na huruma hufanikiwi, wahindi wana misimamo sana ndio maana wapo walipo. Lunch/prayer time lango linashushwa na wafanyakazi wanasubiri nje hadi jamaa warudi, sisi tunamuachia mtu duka tunaenda moshi wiki mbili....maniner lazima ulizwe!
 
Kuna uzi niliweka humu Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani?

Summary:

Msaidizi aliniomba aanze kuuza bidhaa zake, nilimruhusu !

Niliweza kupata mbinu ya kujua hesabu zake, kuna kidaftari huwa anakificha sehem flani, nikiona hayupo nakipiga picha fasta au naweza kumtuma aninunulie vocha nakipiga picha fasta.

  • Mwezi wa 10 alikuwa na faida ya 183,500
  • Mwezi wa 11 kaingiza faida ya 413,000
  • Mwezi wa 12 alianza kutunza mzigo mpaka stoo, Mwezi haujaisha ila faida inakaribia 700,000

Mshahara naomlipa ni 150,000 kwa mwezi, allowance ya matumizi yake elf 70, jumla 220,000

Meanwhile biashara yangu imeshuka sana Mwezi wa 10 faida ilikuwa laki 3, Mwezi wa 11 faida laki 2 na 15, mwezi huu laki 2 na 40

Gharama za biashara

  • frame - 500,000 (Gharama hii ni kwetu wachache tulioziwahi, wengine ni laki 8)
  • mshahara na allowance - 220,000
  • Tra, Jiji, umeme, maji, usafi, n.k. - 50,000

Ni mwezi wa 11 nilifungua uzi humu kipindi hicho hesabu zake hadi tarehe 13 faida inasoma 186,500 niombe ushauri nichukue hatua zipi, nilishambuliwa sana kwamba nina ROHO MBAYA nimuache niwe na HURUMA.

Ndicho nilichofanya, Matokeo yake

  • Anajali zaidi biashara yake kuzidi yangu, Hapo zamani alikuwa ananipa mwendendo wa biashra , hesabu, n.k. sijgizi kaacha kabisa.
  • Biashara yake kwanza yangu baadae, mara kadhaa nafika dukani hayupo, nilifuatilia na kugundua anaenda kujumua mzigo wake.
  • Namlipia frem, kodi, jiji, usafi, chakula, n.k. lakini bado anaendelea kuchukua allowance licha ya kwamba anaingiza pesa nyingi.
Siku ya jana nimemuambia haya
  • Mwaka huu naongeza bidhaa hizo anazouza, Kwa location nilipo kuna wateja wengi mno.
  • Biashara zote zinazofanyika dukani zitakuwa mali ya duka, Ikiwa muuza duka kanipa idea nitamkadiria cha juu ama tutakuwa tunaenda kwa percent.
Najua fika kabisa mtu alieanza kuzoea faida za laki 7 ukijumlisha na allowance ya laki 2 ni ngumu kukubali kushuka upya, Kwa saikolojia ya binadamu najua atatafuta mbinu, Nilichofanya ni kuweka cctv Camera tarehe 17 mwezi huu na kumuacha aendelee na biashara yake, Lengo la hiocamera ni kumchunguza nikianza kuweka mzigo wangu.

Kwa upande mwengine wala simkatazi awe na biashara yake, atapata ukomavu zaidi kwa kuanza kujilipia gharama za biashara, mfano frem laki 8 (minimum miezi 6), umeme, tra, jiji, n.k. (Faida = mapato - gharama)
Nyumba haikai nyumba... ulikosea sana kumuacha andelee hapo.
 
Hakika nimejifunza, Kumruhusu mtu awe na duka ndani ya duka ni changamoto
Fukuza hio mbuzi kwanza ishaweza kujisimamia fukuza haraka iende ikajisimamie zaidi kwanza atakushukuru sana ukimfukuza maana ataweza kufanya biashara zake kwa uhuru maana ameshasimama sasa ni kutembea tu
 
Kuna uzi niliweka humu Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani?

Summary:

Msaidizi aliniomba aanze kuuza bidhaa zake, nilimruhusu !

Niliweza kupata mbinu ya kujua hesabu zake, kuna kidaftari huwa anakificha sehem flani, nikiona hayupo nakipiga picha fasta au naweza kumtuma aninunulie vocha nakipiga picha fasta.

  • Mwezi wa 10 alikuwa na faida ya 183,500
  • Mwezi wa 11 kaingiza faida ya 413,000
  • Mwezi wa 12 alianza kutunza mzigo mpaka stoo, Mwezi haujaisha ila faida inakaribia 700,000

Mshahara naomlipa ni 150,000 kwa mwezi, allowance ya matumizi yake elf 70, jumla 220,000

Meanwhile biashara yangu imeshuka sana Mwezi wa 10 faida ilikuwa laki 3, Mwezi wa 11 faida laki 2 na 15, mwezi huu laki 2 na 40

Gharama za biashara

  • frame - 500,000 (Gharama hii ni kwetu wachache tulioziwahi, wengine ni laki 8)
  • mshahara na allowance - 220,000
  • Tra, Jiji, umeme, maji, usafi, n.k. - 50,000

Ni mwezi wa 11 nilifungua uzi humu kipindi hicho hesabu zake hadi tarehe 13 faida inasoma 186,500 niombe ushauri nichukue hatua zipi, nilishambuliwa sana kwamba nina ROHO MBAYA nimuache niwe na HURUMA.

Ndicho nilichofanya, Matokeo yake

  • Anajali zaidi biashara yake kuzidi yangu, Hapo zamani alikuwa ananipa mwendendo wa biashra , hesabu, n.k. sijgizi kaacha kabisa.
  • Biashara yake kwanza yangu baadae, mara kadhaa nafika dukani hayupo, nilifuatilia na kugundua anaenda kujumua mzigo wake.
  • Namlipia frem, kodi, jiji, usafi, chakula, n.k. lakini bado anaendelea kuchukua allowance licha ya kwamba anaingiza pesa nyingi.
Siku ya jana nimemuambia haya
  • Mwaka huu naongeza bidhaa hizo anazouza, Kwa location nilipo kuna wateja wengi mno.
  • Biashara zote zinazofanyika dukani zitakuwa mali ya duka, Ikiwa muuza duka kanipa idea nitamkadiria cha juu ama tutakuwa tunaenda kwa percent.
Najua fika kabisa mtu alieanza kuzoea faida za laki 7 ukijumlisha na allowance ya laki 2 ni ngumu kukubali kushuka upya, Kwa saikolojia ya binadamu najua atatafuta mbinu, Nilichofanya ni kuweka cctv Camera tarehe 17 mwezi huu na kumuacha aendelee na biashara yake, Lengo la hiocamera ni kumchunguza nikianza kuweka mzigo wangu.

Kwa upande mwengine wala simkatazi awe na biashara yake, atapata ukomavu zaidi kwa kuanza kujilipia gharama za biashara, mfano frem laki 8 (minimum miezi 6), umeme, tra, jiji, n.k. (Faida = mapato - gharama)
Hapo naiona vita, nakushauri ongeza bidhaa ambazo yeye alikuwa anaziuza kama zake hafu mfukuze atoke kabisa la sivyo biashara yako na hilo duka kiujumla linaenda kuteketea
 
Umefanya mistake thee Big mistake ukishaona hivyo ni kumtafuta mtu mwingine wa kuuza na unamleta hapo soon kuwa ajifunze mambo ya mauzo utampeleka kwingine ili huyu akizingua kidogo duka linabaki na mtu . Hii dunia akuna mwenye uchungu na mali zako kama wewe mwenyewe
 
Namkaribisha ajue maana halisi ya biashara

Frem - Laki 8 minimum miezi 6 ( laki 5 ni kwetu wachache tulioziwahi)
allowance ajilipe kutoka kwenye faida
tra na jiji alipe mwenyewe
n.k.

Biashara ukiifanya bila kujua gharama ni rahisi
Ni kweli kuna msemo wanasema use them as much they use you. Kuna wakati nilifanya biashara moja kubwa ya pembejeo ila mafuta ilikuwa ni gharama za kampuni. Hivyo hizo bidhaa sikuumia kama kugharamia usafiri hivyo nilikuwa nina ofa za mara kwa mara na mzigo ulitembea kama maji imagine unapata faida nusu nzima ya bei ya kununulia au inazidi wakati anayeuza kawaida faida ni buku 2 . Niliwapa hardship washindani wateja walinikubali sana .
 
Kuna uzi niliweka humu Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani?

Summary:

Msaidizi aliniomba aanze kuuza bidhaa zake, nilimruhusu !

Niliweza kupata mbinu ya kujua hesabu zake, kuna kidaftari huwa anakificha sehem flani, nikiona hayupo nakipiga picha fasta au naweza kumtuma aninunulie vocha nakipiga picha fasta.

  • Mwezi wa 10 alikuwa na faida ya 183,500
  • Mwezi wa 11 kaingiza faida ya 413,000
  • Mwezi wa 12 alianza kutunza mzigo mpaka stoo, Mwezi haujaisha ila faida inakaribia 700,000

Mshahara naomlipa ni 150,000 kwa mwezi, allowance ya matumizi yake elf 70, jumla 220,000

Meanwhile biashara yangu imeshuka sana Mwezi wa 10 faida ilikuwa laki 3, Mwezi wa 11 faida laki 2 na 15, mwezi huu laki 2 na 40

Gharama za biashara

  • frame - 500,000 (Gharama hii ni kwetu wachache tulioziwahi, wengine ni laki 8)
  • mshahara na allowance - 220,000
  • Tra, Jiji, umeme, maji, usafi, n.k. - 50,000

Ni mwezi wa 11 nilifungua uzi humu kipindi hicho hesabu zake hadi tarehe 13 faida inasoma 186,500 niombe ushauri nichukue hatua zipi, nilishambuliwa sana kwamba nina ROHO MBAYA nimuache niwe na HURUMA.

Ndicho nilichofanya, Matokeo yake

  • Anajali zaidi biashara yake kuzidi yangu, Hapo zamani alikuwa ananipa mwendendo wa biashra , hesabu, n.k. sijgizi kaacha kabisa.
  • Biashara yake kwanza yangu baadae, mara kadhaa nafika dukani hayupo, nilifuatilia na kugundua anaenda kujumua mzigo wake.
  • Namlipia frem, kodi, jiji, usafi, chakula, n.k. lakini bado anaendelea kuchukua allowance licha ya kwamba anaingiza pesa nyingi.
Siku ya jana nimemuambia haya
  • Mwaka huu naongeza bidhaa hizo anazouza, Kwa location nilipo kuna wateja wengi mno.
  • Biashara zote zinazofanyika dukani zitakuwa mali ya duka, Ikiwa muuza duka kanipa idea nitamkadiria cha juu ama tutakuwa tunaenda kwa percent.
Najua fika kabisa mtu alieanza kuzoea faida za laki 7 ukijumlisha na allowance ya laki 2 ni ngumu kukubali kushuka upya, Kwa saikolojia ya binadamu najua atatafuta mbinu, Nilichofanya ni kuweka cctv Camera tarehe 17 mwezi huu na kumuacha aendelee na biashara yake, Lengo la hiocamera ni kumchunguza nikianza kuweka mzigo wangu.

Kwa upande mwengine wala simkatazi awe na biashara yake, atapata ukomavu zaidi kwa kuanza kujilipia gharama za biashara, mfano frem laki 8 (minimum miezi 6), umeme, tra, jiji, n.k. (Faida = mapato - gharama)
Humu jf unatafuta ushauri wa nani? Unaweza kukuta hata huyo mtu wako nae anakushauri. Fanya maamuzi yako maana ukifata ushauri wa humu jf ukipoteà humjui yeyote.
 
Back
Top Bottom