Najutia kufuata ushauri mlionipa kumuonea huruma muuza duka auze bidhaa zake, wachache mlionishauri niweke huruma pembeni mnajua biashara

Wacha ngojera mingi bana apo ni kumfukuza na kuajiri mtu mwingne n km huwezi kumfukuza bas muache afanye biashara yake apo dukan kwako ila achangie kodi na akichangia kodi tu anakua partiner na sio mfanyakazi sasa maamuzi unayo ww
 
Wacha ngojera mingi bana apo ni kumfukuza na kuajiri mtu mwingne n km huwezi kumfukuza bas muache afanye biashara yake apo dukan kwako ila achangie kodi na akichangia kodi tu anakua partiner na sio mfanyakazi sasa maamuzi unayo

Na km ujui ktk biashara akunaga huruma wala kubebana
 
Mwambie awe anachangia Kodi ,umeme na utilities nyingine plus tra.umefanya kosa kubwa sana mkuu huyo dawa yake mtimue
 
Cha msingi hiyo biashara yake unatakiwa uifanye iwe yako then utakuwa na faida ya angalau ll?400099
 
Nilikushambulia kwa Roho mbaya...

Leo nabadilisha, Fukuza huyo tayari kashajipata tafuta mfanyakazi mwingine
 
Nilikupa Huu ushauri, watu wakaniona roho mbaya👇
 
Ujinga ni kumuonea huruma mtu ambae hana huruma na wewe... angekuwa anajali biashara yako asingeacha idorore.....
Mtoe hapo weka kijana mwingine, kashajifunza kiasi cha kutosha atafute fremu yake.
Otherwise unachofanya ni ujinga
 
Sasa we ndo mfanyakazi nae ndo boss biashara haitakiwi kuwa na huruma asee, mtafute mchaga yoyote akupe mbinu za biashara na ushauri kuhusu tatizo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…