Najutia kuoa kwa kukurupuka na kutumia hisia sehemu ya kutumia akili

Mkuu sasahivi kuna kasumba ya kukosa uaminifu kwa wote yani mwanaume na mwanamke ma x wana nguvu ya ushawishi sana binafsi nna ma x wangu hao kila siku tunachati na still wapo kwenye ndoa/mahusiano.
 
Mkuu sasahivi kuna kasumba ya kukosa uaminifu kwa wote yani mwanaume na mwanamke ma x wana nguvu ya ushawishi sana binafsi nna ma x wangu hao kila siku tunachati na still wapo kwenye ndoa/mahusiano.
Soma the power of attachment

Utaelewa kuwa ili usahahu MTU inachukua miaka 10 plus

So usiwalaumu Sana but kwakuwa wameolewa try to keep distance jiepushe kuwa sehemu ya kuharibu ndoa ya MTU .
 
Soma the power of attachment

Utaelewa kuwa ili usahahu MTU inachukua miaka 10 plus

So usiwalaumu Sana but kwakuwa wameolewa try to keep distance jiepushe kuwa sehemu ya kuharibu ndoa ya MTU .
Namna ya kurinda pia ndoa zao ni kuwapotezea akitaka meeting namwambia sipo mana mtu unamuona kabisa ana familia na watoto ila haishi kumsemea vibaya mumewake haya ukiamua uruke nae bado unaona kabisa akichwa huko siwezi kumuoa basi unaona bora kumpotezea tu kwa staili ya kuwa nipo busy mwishowe anachoka binafsi sitak kuruka na mke wa mtu atakama alikua x wangu.
 
✊🏿
 
Hata sie ambao hatuja kurupuka tuna jutia kuoa, ndoa ni kamari haina formular mkuu, huyu Mkria ni mjinga angemuacha kitambo na kupata mgine tena na tena huo ndo mwendo wa sasa
 
Kuna msemo mmoja wa kwenye biblia huwa unasema Chumvi ikishaharibika utaifanyia nini?
Mwamba mambo yameshamearibikia, na miezi mitano sio mingi sana kuanza upya kuliko kuamini pengine huko mbele atabadilika.
 
Hiihabari haiwezi kuwa kweli, walio kwenye ndoa watanielewa
Inawezekana kabisa mkuu.

I have a friend of search kind, alimpenda sana Mpare mmoja kwa muonekano na alikuwa mzuri kweli kweli,
Mwamba alipigwa matukio kidogo afariki.

Tena tukio la kwanza lilianza siku tu ya kupeleka mahari, huko milimani.
Jamaa aliletewa mtoto wa binti wa kijijini, daah nikawa mstari wa mbele kumnyima asitoe tena mahari.

Aliniwekea sana bifu akifikiri sitakia aoe demu mkali.
Tulishuka mlimani anani mind sana, kwanini nilitaka kumwaibisha Yvone wake mbele ya wazazi wake.
Anyway he is my friend ila nilijua hakuna anakokwenda, jamaa akaoa.
Mtoto wa kwanza, akakutwa na kadi mbili za cliniki. Bado hakuelewa kitu.

Mwisho wa siku yalikuja kumshinda jamaa tena kwa gharama kubwa sana.
 
Mafala hawatoisha hadi mwisho wa ulimwengu hivo na majizi kama huyo dada hayataisha, rule of the game.. ni kama imradi misukule ya kupiga hela kwa kuwauzia mafuta ya upako ipo bas kina mwamposa hawatoisha pia.
 
lakini ukapata wakuelewana nae, ndoa ni jambo zuri sana.
Wanawake wengi wanakua na unyenyekevu wakiwa bado hawajaingia katika mfumo wakisha ingia tu balaa nalo linaingia na si kwamba hawapo walio na hekima au busara shida kuwapata wengine wanawatu wao toka zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…