Najutia kupata Mke kupitia Facebook.

Bora amestuka,, hajachelewa sana bado
Kashachelewa hilo bomu ni lake hapo akili kichwani atajua mwenyewe jinsi ya kuishi nalo, angeshtuka kabla ingekua afadhari Ila ukishapigwa pingu umeisha ni wa kwako huyo ishi nae hivyo hivyo mvumilie ni wako umemchagua mwenyewe hakuna aliekuchagulia huyo
✍️
 
Kataaa ndoa ndoa ni utapeli kama utapeli mwingine
 
Si umwache🙄🙄
 
Hiyo inatokana kule Facebook kuna makundi ya watafuta ndoa 😂watu wanapelekana tu wanajifanya kila kitu online ndo matokeo yake.
Na kweli alikua ni kundi la watafuta ndoa....make ile siku ya harusi alikata mauno hadi wazee wakainamisha vichwa, yule bi harusi sio wa mchezo mchezo kwakweli.

Baada ya ndoa kufa wakarudi fesibuku na mmewe sasa kuchambana kurushiana madongo
 
Ndoa facebooker!.....Mshenga zuckerberg!....mlaumu Mshenga aliekupa mke mfesibuku!
 
Na kweli alikua ni kundi la watafuta ndoa....make ile siku ya harusi alikata mauno hadi wazee wakainamisha vichwa, yule bi harusi sio wa mchezo mchezo kwakweli.

Baada ya ndoa kufa wakarudi fesibuku na mmewe sasa kuchambana kurushiana madongo
Ila demu alitoa nursing ya kuto olewa
 
Mzee huyo ni wako wewe ishi nae tu Ila asikupige matukio aliyopigwa Nikki wa Pili tu ukaanza kulea watoto ambao sio wa kwako
✍️
Unaishi vipi na kahaba ndani? Alipige chini tu.
 
Ni sawa na kununua simu mtaani kariakoo iliyopo ndani ya box na ukalipia bila kufungua box. Unaweza kuta ni simu kweli ila sasa.

Ulioa haraka sana. Shida sio FB, shida ni hukujua unaoa nani.
 
Na kweli alikua ni kundi la watafuta ndoa....make ile siku ya harusi alikata mauno hadi wazee wakainamisha vichwa, yule bi harusi sio wa mchezo mchezo kwakweli.

Baada ya ndoa kufa wakarudi fesibuku na mmewe sasa kuchambana kurushiana madongo
Nimechekaaa, kuna ndoa nyingine wiki mbili haijamaliza, bi harusi kachochora....kuulizwa anasema mume anataka kuingilia mlango wa uwani tu, mlango wa mbele haelewi🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…