Najutia sana jambo hili

ahahaha,,,,,mimi sio mzembe kiasi cha kufikirika hivyo. They are my kids.
Hata mzembe mwezio kitaa huku anasema hivyohivyo. Mabaharia tunamwangalia huku tukicheka nhinhinhi...

Wanawake wasike redioni tu. Hao watoto ukute kuna wazembe wenzio wanatamba kama unavyotamba. Afu mwenye mtoto anakula tozo zako kupitia fao la uhamisho wa miamala....
 
Umesikika,,rudi kwenye mada
Siwezi kurudi kwenye mada kabla sikakutoa tongotongo machoni

Uzuri najua hii ni chai kama chai nyingine tu zinazoletwa hapa na watoto wa shule
 
mimi ninao wa4 kila mmmoja na mama yake-na sijawahi jutia
 
Fanya uamuzi wa kumchukua mmja wa hao uliozaa nao, upunguze watoto wapliozaliwa nje ya ndoa.
kujuta ni kuzuri kama kutakusaidia kubadilika.
Sahau ya nyuma, umefanya makosa huwezi kufuta hayo ila unaweza kujenga kwa kuendelea mbele. Tulia oa na lea watoto wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…