Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Huyu binti ana busara sana kuliko wengi hapa JF. Amefikiria akagundua
Hivi busara inapimwa kwa kutumia nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu binti ana busara sana kuliko wengi hapa JF. Amefikiria akagundua
Angalia usemi huu usije ukakurudia, Mkuu Kibunango.^^ mpaka msage meno mwaka huu
hivi nakaaya 'alilazimika' kurudi ccm? :confused2:
^^ mpaka msage meno mwaka huu
Ni tukio la kusikitisha lakini ni muhimu sana. Huwezi kutegemea mavuno mazuri kama shamba limejaa magugu. Huyo hakuwa mwanamapinduzi na kuondoka kwake kunatakiwa kuwa faraja kwa wapinganaji. Ni heri kuwa na jeshi dogo lenye wapiganaji ambao wanapigana kutoka ndani ya mioyo yao kuliko kuwa na watu wakibao wanasubiri kugombania mali za mateka wa vita. Nakaaya amejigundua kuwa hana ujasiri wa kiana mapinduzi. Ngoja aende mapema ili shamba liendelee kustawi.
Brainless chicken!
Unaangalia vingi, lakini akili ya mtu ni zaidi. Kwa mfano mtu kwenye avatar yako huwezi kusema ana busara hata kidogo!
Siwezi kusema mengi juu yako kwa kuwa baadhi ya wanajamvi wamenisaidia. Hata hivyo maoni yako yaonesha ukuuu wa uumbaji. Kwamba dunia na hata JF ni kama kokoro. Lazima litakomba na vitu vingine zaidi ya samaki.
Ni kweli. Umeona wapi nyani akimsaidia chui kutoka mtegoni? Mnafanana kwa vyote.
The fact remain; the lady is intelligent and wise.
Ni kweli. Umeona wapi nyani akimsaidia chui kutoka mtegoni? Mnafanana kwa vyote.
The fact remain; the lady is intelligent and wise.
Na wewe ni intelligent kama yeye. Na labda ndo yeye au umefichwa kwenye bra yeke.
Kwa hiyo?
Na wewe ni intelligent kama yeye. Na labda ndo yeye au umefichwa kwenye bra yake.
Kwa hiyo?
Ni kweli. Umeona wapi nyani akimsaidia chui kutoka mtegoni? Mnafanana kwa vyote.
The fact remain; the lady is intelligent and wise.
Yes, CHADEMA si mtu ni watu, CHADEMA hakuna pesa kuna sera - Wababaishaji hawana maisha CHADEMA - hongera bi mkubwa kugundua hayo mapemaa - Once again i congraturate you MISS POLITICIAN for going back to where you belong.