Elections 2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

Elections 2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

mmh ilo shedo bibi?
yan ki ccm ccm marembo ulivyoyatupia apo kat mmh shedoooooooo dooooooooooooooooooo lakin umependeza mwaya thou umejiover do ayo madodoa dodoa bt ndo u ccm wenyewe uo kinyume wakat upo kwa slaa u were too simple bt the best
nakupenda mwaya usijipake pake ayo madudu meeeeeeeeeeeeng cz ur naturally beauty........!!!!!!!!!!!!!
 
Nakaya amerudi CCM sababu ya kumtengenezea Baba yake ulaji kumbukeni Mzee wake ni CCM damu sasa alipojitangaza ni mpinzani mzee wake aliambiwa atakosa kibarua sasa akawa hana ujanja bali kula matapishi yake ili amuokoe Mzee Sumary. Pole sana Nakaya hiyo ndio CCM inajua kucheza na akili za watu
Alirudisha kadi akiwa kwenye mkutano Arusha au kwenye tamasha la JK na bongo flava….Mi naona ameamua kulipa fadhira kwa mjomba wake Elishiria (Mkurugezi wa AICC) ambaye alikuwa angombee ubunge huko Arumeru akasoma nyakati akagaili…Elishiria aliwasaidia sana familia ya Makaaya baada ya kutengana kwa baba yake na mama yake ambaye ni kaka yake na Elishiria hata hivyo familia yake ni CCM ….hivyo inawezekana alitumwa au alikuwa anatafuta masirahi binafsi
 
mmh ilo shedo bibi?
yan ki ccm ccm marembo ulivyoyatupia apo kat mmh shedoooooooo dooooooooooooooooooo lakin umependeza mwaya thou umejiover do ayo madodoa dodoa bt ndo u ccm wenyewe uo kinyume wakat upo kwa slaa u were too simple bt the best
nakupenda mwaya usijipake pake ayo madudu meeeeeeeeeeeeng cz ur naturally beauty........!!!!!!!!!!!!!

Mod: Tunahitaji mkalimani wa kutafisiri hizi lugha za mashariki ya mbali
 
Njaa tu inamsumbua.nadhani kaona kina marlaw na wengine wakitengeneza pesa basi na yeye ndo duh..anataka vijitenda.hawaoni kwamba kuwapigia kampeni hawa jamaa ni kuplay part katika kuliangamiza taifa la tanzania.ndo maana mpaka leo hatujawasikia mzee ali hassan mwinyi,b. Mkapa,c. Msuya,malecela,salim a.salim,warioba,philip mangula na wengine.mnadhani kwanini hawa viongozi waandamizi wameamua kula jiwe na kutopigia kampeni ccm ?watu wajiulize kwa makini sana na sio kuweka maslahi binafsi mbele
 
Ninaposema ni watu si mtu namaanisha imejijenga kichama zaidi na si mtu.CHADEMA si kama ilivyokuwa NCCR-Mageuzi alivyoondoka mrema ndiyo ikafa,leo hata aondoke mbowe CHADEMA bado itaendelea kuwepo,nini nakaaya

Je leo akiondoka Dr.Slaa,CHADEMA itakuwepo?
 
:lol::lol::lol: Haya, Hao ndo wasanii wetu njaa tu inawasumbua leo huku mara kesho kule, pole sana dada nakaaya maana sijui kama uamuzi wako unaendana na wewe ulivyo vinginevyo ulikuwa unajivika tu ngozi tu ya kondoo.. kumbe ni..ch......
 
Njaa tu inamsumbua.nadhani kaona kina marlaw na wengine wakitengeneza pesa basi na yeye ndo duh..anataka vijitenda.hawaoni kwamba kuwapigia kampeni hawa jamaa ni kuplay part katika kuliangamiza taifa la tanzania.ndo maana mpaka leo hatujawasikia mzee ali hassan mwinyi,b. Mkapa,c. Msuya,malecela,salim a.salim,warioba,philip mangula na wengine.mnadhani kwanini hawa viongozi waandamizi wameamua kula jiwe na kutopigia kampeni ccm ?watu wajiulize kwa makini sana na sio kuweka maslahi binafsi mbele
Nkaaya kapima na kuchekecha kisha akabaini zipi pumba na upi mchele, hiyo habari yako ya njaa unaijua wewe na akina Shibuda, Marando Mpendazoe nk.
CCM inawatu makini wengi sana yanini kuanza kuwasumbua wazee wa watu kupiga kampeni, acha wajilie zao kuku na kuangalia kazi inavyo fanywa na walio waachia kazi
 
Kwani aligombea ubunge kupitia Chadema akakosa?Maana watu wakikosaa ulaji wanaama chama,ama kweli ukistaajabu ya Shibuda utayaona ya Nakaaya!
 
Naakaya mtoto mdogo sana, hawezi kutuumiza vichwa,....aende zake huko kwa mafisadi, safari njema
 
Nanukuu msemo wa Kizungu "" SHAME UPON HER FACE""""

Sasa mmeamini kuwa watanzania wamekuwa wabinafsi,, huyu dada keshaihidiwa fungu au kitengo CCM kama cha Ridhwani...

ila asikae akasema anatetea wanyonge mtu ambaye hana msimamo..... alikuwa anakebehi watu wa arusha.... sasa kitamtokea pua siku moja ya mwezi Octobar
 
Pole Chadema Pole, Tunavyokufanya

tunawabirua birua tunawala hata juani
 
Ni wazo zuri kwake kuamua kuhama maana anajua anachofanya,katika siasa watu huamua kufanya maamuzi magumu kama alivyofanya Nakaaya hivyo haina haja ya kumlaumu zaidi ni kumsaidia huko aendako pia akawe ni mpigania maendeleo kama alivyokuwa akidhaniwa hapo kabla.
 
Pole Chadema Pole, Tunavyokufanya

tunawabirua birua tunawala hata juani

Mchumia tumbo huyo! wapo wengi tu wa aina yake. Halafu ati katunga wimbo Mr. Politician!!!!???? Hivi ataukanusha na huo wimbo au?
Mwanamapinduzi wa kweli hufia anachokiamini.
 
Nanukuu msemo wa Kizungu "" SHAME UPON HER FACE""""

Sasa mmeamini kuwa watanzania wamekuwa wabinafsi,, huyu dada keshaihidiwa fungu au kitengo CCM kama cha Ridhwani...

ila asikae akasema anatetea wanyonge mtu ambaye hana msimamo..... alikuwa anakebehi watu wa arusha.... sasa kitamtokea pua siku moja ya mwezi Octobar
http://www.youtube.com/watch?v=FveIk8e2DRU&p=76FF480814CA892C&playnext=1&index=12

Siku kama Chadema ikishinda naona atajilaumu kwamba kwanini alijikanyanga mwenyewe?
 
Chadema hamko serious. Watu wanawaamini, lakini wakiingia ndani na kuona incompetence ya Mheshimiwa Mbowe, anaongoza chama kama ukumbi wa starehe--wanaona mnawapotezea. Huo ndio ukweli wenyewe. Nakaaya dada msomi na sio mamluki, kawaamini halafu mkadisappoint. Zitto mwenyewe has been frustrating with the Chadema leadership. Halafu leo mnataka tuwape nchi. Mnacheza nyie. Hamko serious.
 
Nimeipenda hii copy niliyochukua kule facebook naona jamaa wameshamjibu tayari, hivi hakuna wasanii wengine walioko CHADEMA wakairekodi hii?

Miaka ya juzijuzi uliiba pesa za mwajiri, Jina ukabadili nywele hazinawiri, ukaona upate umaarufu kwenye chama chetu mahiri. Chadema tukakugundua kwamba wewe ni charger ya kobe. hali imekuwia ngumu ukaona uombe hifadhi kwenye matope. CHADEMA NI CHAMA CHA WATU WASAFI, TUACHIE CHAMA CHETU wewe Glory aka Nakaaya
 
Chadema hamko serious. Watu wanawaamini, lakini wakiingia ndani na kuona incompetence ya Mheshimiwa Mbowe, anaongoza chama kama ukumbi wa starehe--wanaona mnawapotezea. Huo ndio ukweli wenyewe. Nakaaya dada msomi na sio mamluki, kawaamini halafu mkadisappoint. Zitto mwenyewe has been frustrating with the Chadema leadership. Halafu leo mnataka tuwape nchi. Mnacheza nyie. Hamko serious.

Crap!
 
Back
Top Bottom