Alirudisha kadi akiwa kwenye mkutano Arusha au kwenye tamasha la JK na bongo flava .Mi naona ameamua kulipa fadhira kwa mjomba wake Elishiria (Mkurugezi wa AICC) ambaye alikuwa angombee ubunge huko Arumeru akasoma nyakati akagaili Elishiria aliwasaidia sana familia ya Makaaya baada ya kutengana kwa baba yake na mama yake ambaye ni kaka yake na Elishiria hata hivyo familia yake ni CCM .hivyo inawezekana alitumwa au alikuwa anatafuta masirahi binafsiNakaya amerudi CCM sababu ya kumtengenezea Baba yake ulaji kumbukeni Mzee wake ni CCM damu sasa alipojitangaza ni mpinzani mzee wake aliambiwa atakosa kibarua sasa akawa hana ujanja bali kula matapishi yake ili amuokoe Mzee Sumary. Pole sana Nakaya hiyo ndio CCM inajua kucheza na akili za watu
mmh ilo shedo bibi?
yan ki ccm ccm marembo ulivyoyatupia apo kat mmh shedoooooooo dooooooooooooooooooo lakin umependeza mwaya thou umejiover do ayo madodoa dodoa bt ndo u ccm wenyewe uo kinyume wakat upo kwa slaa u were too simple bt the best
nakupenda mwaya usijipake pake ayo madudu meeeeeeeeeeeeng cz ur naturally beauty........!!!!!!!!!!!!!
unaimanisha nini?Nakayaaa ha ha ha, sasa angalia pia na Afya yako kwa karibu zaidi. Na zingatia ushauri wa drs.
Ninaposema ni watu si mtu namaanisha imejijenga kichama zaidi na si mtu.CHADEMA si kama ilivyokuwa NCCR-Mageuzi alivyoondoka mrema ndiyo ikafa,leo hata aondoke mbowe CHADEMA bado itaendelea kuwepo,nini nakaaya
Akiuimba tu tutamrushia chupa za mkojo jukwaani maana tunataka mtu anae imanisha..of-course hata uhuru wa kumegwa anao pia brada...........Ila ule wimbo wake ndo asiuimbe tena!
Nkaaya kapima na kuchekecha kisha akabaini zipi pumba na upi mchele, hiyo habari yako ya njaa unaijua wewe na akina Shibuda, Marando Mpendazoe nk.Njaa tu inamsumbua.nadhani kaona kina marlaw na wengine wakitengeneza pesa basi na yeye ndo duh..anataka vijitenda.hawaoni kwamba kuwapigia kampeni hawa jamaa ni kuplay part katika kuliangamiza taifa la tanzania.ndo maana mpaka leo hatujawasikia mzee ali hassan mwinyi,b. Mkapa,c. Msuya,malecela,salim a.salim,warioba,philip mangula na wengine.mnadhani kwanini hawa viongozi waandamizi wameamua kula jiwe na kutopigia kampeni ccm ?watu wajiulize kwa makini sana na sio kuweka maslahi binafsi mbele
Pole Chadema Pole, Tunavyokufanya
tunawabirua birua tunawala hata juani
http://www.youtube.com/watch?v=FveIk8e2DRU&p=76FF480814CA892C&playnext=1&index=12Nanukuu msemo wa Kizungu "" SHAME UPON HER FACE""""
Sasa mmeamini kuwa watanzania wamekuwa wabinafsi,, huyu dada keshaihidiwa fungu au kitengo CCM kama cha Ridhwani...
ila asikae akasema anatetea wanyonge mtu ambaye hana msimamo..... alikuwa anakebehi watu wa arusha.... sasa kitamtokea pua siku moja ya mwezi Octobar
Miaka ya juzijuzi uliiba pesa za mwajiri, Jina ukabadili nywele hazinawiri, ukaona upate umaarufu kwenye chama chetu mahiri. Chadema tukakugundua kwamba wewe ni charger ya kobe. hali imekuwia ngumu ukaona uombe hifadhi kwenye matope. CHADEMA NI CHAMA CHA WATU WASAFI, TUACHIE CHAMA CHETU wewe Glory aka Nakaaya
Chadema hamko serious. Watu wanawaamini, lakini wakiingia ndani na kuona incompetence ya Mheshimiwa Mbowe, anaongoza chama kama ukumbi wa starehe--wanaona mnawapotezea. Huo ndio ukweli wenyewe. Nakaaya dada msomi na sio mamluki, kawaamini halafu mkadisappoint. Zitto mwenyewe has been frustrating with the Chadema leadership. Halafu leo mnataka tuwape nchi. Mnacheza nyie. Hamko serious.