Sina pa kwenda
Senior Member
- Nov 18, 2010
- 113
- 15
wacha apigwe ye si alitusaliti maskini akamkimbilia jk, PONGEZI SANA KWA ALIYEMDUNDA
Jk ni noma alikula mzigo halafu akasepa
Nadhani anamaanisha Jumanne kabwela au Juma Kombo au yeyote ambaye ana majina ya herufu hizoUna uhakika?
na alivyofutuka ovyo jaman kama simba dume mmh.Jamani leo nimesoma gazeti la nipashe kwenye michezo nikakuta wameandika eti nakaaya napigwa na mwanamke mwenzie kwa sababu ya kugombania mwanaume na achilia mbali kupiga pia katika sakata hilo la ugomvi alipoteza Tshs. 1,500,000/= ameenda polisi na ana RB kwa ajili ya kumsaka huyo masumbwi mwenzie
kasingizia.nadhani ilikuwa buku kumi na tano1.5?
Alikua anaenda kununua cement?
Isije ikawa Jphn Komba...Nadhani anamaanisha Jumanne kabwela au Juma Kombo au yeyote ambaye ana majina ya herufu hizo
na alivyofutuka ovyo jaman kama simba dume mmh.
alikosa wa kumgonga CHADEMA akakimbilia kwa wagongaji CCM
alikosa wa kumgonga CHADEMA akakimbilia kwa wagongaji CCM
Jamani leo nimesoma gazeti la nipashe kwenye michezo nikakuta wameandika eti nakaaya napigwa na mwanamke mwenzie kwa sababu ya kugombania mwanaume na achilia mbali kupiga pia katika sakata hilo la ugomvi alipoteza Tshs. 1,500,000/= ameenda polisi na ana RB kwa ajili ya kumsaka huyo masumbwi mwenzie