Sina pa kwenda
Senior Member
- Nov 18, 2010
- 113
- 15
Jamani leo nimesoma gazeti la nipashe kwenye michezo nikakuta wameandika eti nakaaya napigwa na mwanamke mwenzie kwa sababu ya kugombania mwanaume na achilia mbali kupiga pia katika sakata hilo la ugomvi alipoteza Tshs. 1,500,000/= ameenda polisi na ana RB kwa ajili ya kumsaka huyo masumbwi mwenzie