Nakaaya Sumari

Nakaaya Sumari

Sina pa kwenda

Senior Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
113
Reaction score
15
Jamani leo nimesoma gazeti la nipashe kwenye michezo nikakuta wameandika eti nakaaya napigwa na mwanamke mwenzie kwa sababu ya kugombania mwanaume na achilia mbali kupiga pia katika sakata hilo la ugomvi alipoteza Tshs. 1,500,000/= ameenda polisi na ana RB kwa ajili ya kumsaka huyo masumbwi mwenzie
 
Sasa kama umeshasoma Nipashe unataka nini JF ikusaidie?
 
Huyu dada alivyokua anatoka na M1(msanii wa usa dead prez) alijishaua sana alijiona yeye ndo yeye lakini kamegwa then akapigwa chini basi kawa kama kachanganyikiwa hivi maana kipindi hicho mapenzi shatashata alichora hadi tatoo ya M1
 
Jamani leo nimesoma gazeti la nipashe kwenye michezo nikakuta wameandika eti nakaaya napigwa na mwanamke mwenzie kwa sababu ya kugombania mwanaume na achilia mbali kupiga pia katika sakata hilo la ugomvi alipoteza Tshs. 1,500,000/= ameenda polisi na ana RB kwa ajili ya kumsaka huyo masumbwi mwenzie
na alivyofutuka ovyo jaman kama simba dume mmh.
 
Lakini hili lidemu nalitamanigi ,,,ndio fleva zangu hizi,,nikimpata nachapa nasepa!
 
huyu mtoto anajivunjia heshima sana,sasa huwa namuona viwanja na zee moja la kizungu,mambo anayoyafanya ni aibu.asipopewa ushauri haraka anaweza kuwa kama wema.
 
Jamani leo nimesoma gazeti la nipashe kwenye michezo nikakuta wameandika eti nakaaya napigwa na mwanamke mwenzie kwa sababu ya kugombania mwanaume na achilia mbali kupiga pia katika sakata hilo la ugomvi alipoteza Tshs. 1,500,000/= ameenda polisi na ana RB kwa ajili ya kumsaka huyo masumbwi mwenzie

Atakuwa alikuwa na 150,000 huko polisi kaongeza sifuri mwisho
 
Back
Top Bottom