Nakala ya asili ya Goetia

Nakala ya asili ya Goetia

Mi nieleweshe kuhusu grimoire ya papa honorius, hiki kitabu mi sikielewagi,mbona kina kama mambo ya kichawi halafu ktk practice zake na Zaburi tena zimetumika kukamilisha uchawi Ili mtu apate matokeo anayoyataka??
Kwani hiki kitabu cha Zaburi si ni kitakatifu kabisa na hua naskia wachawi wanakiogopa sana na kwenye dini tumakitumia kabisa? Sawa inakuaje tena kinatumika sambamba na uchawi?

Halafu huyu honorius si ni alikua pope kiongozi wa katoliki kabisa akiongoza kanisa? Inakuaje tena hiyo grimoire ikawa niyakwake, au alikua ndo anafanya matendo yale ya kichawi akichanganya na Zaburi Ili shughuli za kanisa ziende?,sasa akatumiaje uchawi tena wakati yeye ni papa wa kimungu?

Hiki kitabu sikielewagi jamani hua kinanipa maswali mengi hebu nieleweshe mkuu.
Inakuaje uchawi tena uchanganywe na Zaburi?
Uko sahihi kabisa lakini hata Bible yenyewe imejaa uchawi Mwanza mwisho tangu kuumbwa kwa dunia hata sasa na wakati ujao
Miujiza tote ni sehemu ya uchawi kwakuwa tunachokipata ni matokeo yasiyo na maelezo na michakato ya formula za kisayansi
Tatizo hapa ni tafsiri ya meno uchawi na nani aliutumia kwenye nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi kabisa lakini hata Bible yenyewe imejaa uchawi Mwanza mwisho tangu kuumbwa kwa dunia hata sasa na wakati ujao
Miujiza tote ni sehemu ya uchawi kwakuwa tunachokipata ni matokeo yasiyo na maelezo na michakato ya formula za kisayansi
Tatizo hapa ni tafsiri ya meno uchawi na nani aliutumia kwenye nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba[emoji848][emoji848][emoji848]
Ile miujiza ya yesu inaweza kuwa sehemu ya uchawi??
Mmmh!! Mambo ni mengi
 
Kama umewahi kujiuliza Ufunguo Mdogo wa Sulemani ulionekanaje, hizi hapa ni kurasa za uchanganuzi wa mojawapo ya matoleo ya maandishi ya kitabu. Kama unavyoona hapa, matoleo ya awali yalikuwa hati iliyoandikwa kwa mkono badala ya kitabu kilichochapishwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utapeli Mshanar......andiko hani hilo napata kizungu zungu tu
 
Uko sahihi kabisa lakini hata Bible yenyewe imejaa uchawi Mwanza mwisho tangu kuumbwa kwa dunia hata sasa na wakati ujao
Miujiza tote ni sehemu ya uchawi kwakuwa tunachokipata ni matokeo yasiyo na maelezo na michakato ya formula za kisayansi
Tatizo hapa ni tafsiri ya meno uchawi na nani aliutumia kwenye nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh sawasawa nimekupata.kwahyo neno uchawi lina maana ngapi mkuu?

Na kusema "nani aliutumia kwenye nini" umemaanisha kwamba honorius alivo utumia ktk dini haikua dhambi kwakua tu kautumia kwenye dini?(hebu nitoe hofu hapa kama si dhambi nianze kufanya miujiza kwa kutumia grimoire ya Papa mimi)
 
Shalom
Mama mkwe kanifuata chumbani kwangu akawa anagombana na mimi kama vile anataka kupigana na mimi, mimi nikaona nitoke niende sebuleni bado akawa anifuata kufika sebuleni nikamkuta mume wangu nikasimama mamkwe akaja akashika mkono wangu wakulia akaupitisha makalioni kwake nikauvuta mkono wangu lkn ulitoka ukiwa na mavi
Hadi kufikia halo Kuna shida, ila huo ni ushirikina
 
NIMESHINDWA hata kuelewa, maana naona maneno niyoyajua mengi nashindwa kupata maana, kiswahili siyo kingereza siyo, hata sijaelewa. UNGA UMEZIDI MAJI LEO.
 
On Solomon as the archetype of magicians...

Here we have the demon Lucifuge Rofocale from a scan of an original edition of the Red Dragon/Grand Grimoire. Written in 1750, the Grand Grimoire is an instruction manual for conjuring 27 different demons, of which Lucifuge Rofocale is one, and the main focus of the book. The Grand Grimoire is a real book, and it's powerful, though it's not "written by the devil himself," or "locked away in the Vatican." The book itself is a part of a tradition of hundreds of books which were supposed to have been written by Solomon, or are connected to his magic in some way. In the Grand Grimoire there is a dialogue between the demon and Solomon that goes like this...

After having repeated twice these great and powerful words, you are sure to see the spirit appear immediately and respond in the following manner:

BY THE APPARITION OF THE SPIRIT

I am here, what do you ask of me? Why do you disturb my rest? Do not strike me any more with this terrible Rod. LUCIFUGE ROFOCALE

TO THE SPIRIT

If you had appeared when I called you first, I would
not have had need to strike you, but if you do not agree with what I am going to ask you, I will torment you eternally. SOLOMON

RESPONSE BY THE SPIRIT

Do not entertain me here and do not torment me
anymore: Tell me immediately what you ask me.
LUCIFUGE ROFOCALE

ASK OF THE SPIRIT

I ask you to come and speak with me twice every day of the week, during the night, to me or to those who will present my book, which you will agree and sign, voluntarily and at your choice of time that may be convenient to you, if you do not approve of those marked below:
To wit:
On Monday, at 9 PM and at midnight.
On Tuesday, at 10 PM and 1 AM.
On Wednesday, at 11 PM and 2 AM
On Thursday, at 8 PM and 10 PM
On Friday, at 7 PM and midnight
On Saturday, at 9 PM and 11 PM.

Further, I order you to deliver me the greatest
treasure near here, I promise you for your reward the first piece of gold or silver that I will touch the first day of each month. This is what I demand of you. SOLOMON

THE SPIRIT’S REPLY

I cannot agree to what you demand of me under these conditions nor on any others, unless you give yourself to me in fifty years, to do with your body and soul as I please. LUCIFUGE ROFOCALE

SAY TO THE SPIRIT

I will strike you and all your race, by the power of the great Adonai, if you do not grant all my wishes.
SOLOMON

CAUTION: Now plunge the tip of the Blasting Rod into the fire and repeat the great Invocation of the Key, until the spirit surrenders to your desires.

RESPONSE AND CONVERSATION OF THE SPIRIT

Do not strike me any more, I promise you to do all
that you wish, for two hours each night of the week.
To wit:
On Monday at 10 PM and at midnight, on Tuesday at
11 PM and at 1 AM, On Wednesday, at midnight and at 2AM, On Thursday, at 8 PM and at 11 PM, On Friday, at 9 PM and at midnight, On Saturday, at 10 PM and at 1 AM.

I also approve your book, and I give you my true
Signature on Parchment, which you will place at the end, to serve you in your need, I will submit myself also and appear before you every time that you call my name or when you open the book, being purified, and when you will have the terrible Blasting Rod, and have constructed the great Kabbalistic Circle, and when you will pronounce the Word ROFOCALE; I promise to appear in a pleasing
form to those who provide this book, where is my true signature, provided they call me in good standing and according to the rule, the first time that they have need ofme.

I promise also to deliver to you the treasure that you have demanded of me, provided that you keep this secret always, that you are charitable towards the poor, and that you grant me one piece of gold or silver on the first day of every month, if you miss this, you will be mine forever. LUCIFUGE ROFOCALE, Approved

REPLY TO THE SPIRIT

I agree to your conditions. SOLOMON

Note: There is a lot of magic in these words if you know how to read between the lines.
FB_IMG_1704452556590.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nimeelewa kuhusu baali, nimekua nikisoma kwenye Biblia kuhusu Eliya na manabii wa baali sikuwahi kujua tafsiri ya baali. Asante
Huyu alikua ni Mungu wa wafilisti na baba yake aliitwa Dagon
 
Behemoth ni kiumbe wa KIROHO mwenye sifa ya ulafi na anakula kila kitu pasipo kukoma. Anakula watoto wakiwa tumboni, unashangaa mimba zinatoka bila ya sababu yoyote, unazaa watoto wanakufa vifo vya mapema (pre mature death) etc.
 
Back
Top Bottom