Nothing4good
Senior Member
- Feb 19, 2011
- 180
- 55
Wakuu nadhani shetani yupo kazini, mzee wangu
Anafanya kazi mkoani mimi nipo mkoa mwingine anakuja mara moja au 2 kwa mwezi
Tuna miaka 18 katika ndoa sijawahi kuchepuka, mwanzoni nilikuwa natongozwa nakataa hapo hapo, ikafikia mda nikitongozwa nakubali ila nawapotezea mpaka wanakata tamaa, ikafikia hatua nakubali na naaza safari ya kwenda lodge ila nikifika tu njian na ghairi narudi kwangu, sasa naona kuna kishawishi kinaniambia niwe naenda kabsa nichepuke mara 1 nione inakuaje,. Sasa kuna mchepuko anataka kunitoa outing J2, nawaza sijui nimkubalie tu nione vya nje au,
Chepuka na Mimi tu uone ladha kwanza km Ina tofauti na mumeo ndipo uamue...
Samahani lakini wewe Ni mama yangu mkubwa shikamooni...take it easy tupo jukwaani
Wakikupata watakupiga mbele nyuma think twice........
Miaka 18 kwenye ndoa ushakuwa zee tena zee la nyeti CHEPUKA TU.
JUVENTUS
Inakuwaje? Utaingiziwa tu kama ambavyo umekuwa ukiingiziwa kwa miaka 18. Ila itakuwa ni usaliti na dhambi.
kama umeweza kaa 18yrs bila kuchepuka endelea kutulizana mungu kakuepusha na mengi.
Kumekucha....
Unakaribia au teyari vimeumana?
Khaaaa....
Sasa nini kinakuzuwia..??[emoji41]
Mtoa maada anasema ndoa yake Ina miaka 18..nikaamua kwenda kwenye thread zake za nyuma alizoanzisha....nikakuta machai ya kutosha...ebu nisiwamalizie stori nendeni na nyie kufukua kaburi mshangae...2011 alikuwa akitafuta mpenzi,kipindi hiko alikuwa na miaka 23...mpk Leo Ni miaka 10..ila anakwambia ndoa yake Ina 18....We wape tu wakupelekeee moto
mbaya zaidi unakuta ni dume ndo limeandika. chai kwanzia story mpaka jinsia.Mtoa maada anasema ndoa yake Ina miaka 18..nikaamua kwenda kwenye thread zake za nyuma alizoanzisha....nikakuta machai ya kutosha...ebu nisiwamalizie stori nendeni na nyie kufukua kaburi mshangae...2011 alikuwa akitafuta mpenzi,kipindi hiko alikuwa na miaka 23...mpk Leo Ni miaka 10..ila anakwambia ndoa yake Ina 18....
Jf Ni ulimwengu mwingine kwakweli tuendelee kubanana lakini maana HAKUNA namna
Mama mkubwa my foot, uzee mwisho chalinze, upo dogoooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]anajidanganya yeye mwenyewe.Mtoa maada anasema ndoa yake Ina miaka 18..nikaamua kwenda kwenye thread zake za nyuma alizoanzisha....nikakuta machai ya kutosha...ebu nisiwamalizie stori nendeni na nyie kufukua kaburi mshangae...2011 alikuwa akitafuta mpenzi,kipindi hiko alikuwa na miaka 23...mpk Leo Ni miaka 10..ila anakwambia ndoa yake Ina 18....
Jf Ni ulimwengu mwingine kwakweli tuendelee kubanana lakini maana HAKUNA namna