Nakaribia kuchepuka

Nakaribia kuchepuka

Aisee mwaka 2018 ilikua na miaka 7 sasa napiga hesabu 2021 imefikaje 18? Jf raha sana.
IMG_5220.png
 
Kabla hujaenda kuvua chupi jiulize kama akili inakutosha kisha waangalie wanao wanavyoenda kuhangaika sababu ya starehe ya bao tatu!
 
Chepuka tu ila kumbuka kuna kunogewa ila ukifumaniwa tu inabaki story!
 
Mtoa maada anasema ndoa yake Ina miaka 18..nikaamua kwenda kwenye thread zake za nyuma alizoanzisha....nikakuta machai ya kutosha...ebu nisiwamalizie stori nendeni na nyie kufukua kaburi mshangae...2011 alikuwa akitafuta mpenzi,kipindi hiko alikuwa na miaka 23...mpk Leo Ni miaka 10..ila anakwambia ndoa yake Ina 18....
Jf Ni ulimwengu mwingine kwakweli tuendelee kubanana lakini maana HAKUNA namna
Heee mashkeli mageni

Tatizo humu chai nyingi[emoji848]
 
Ni uamuzi wako mwenyewe uamue kusuka au kunyoa mwisho wa siku ni maisha yako binafsi.
 
Wakuu nadhani shetani yupo kazini, mzee wangu. Anafanya kazi mkoani mimi nipo mkoa mwingine anakuja mara moja au 2 kwa mwezi.

Tuna miaka 18 katika ndoa sijawahi kuchepuka, mwanzoni nilikuwa natongozwa nakataa hapo hapo, ikafikia muda nikitongozwa nakubali ila nawapotezea mpaka wanakata tamaa.

Ikafikia hatua nakubali na naanza safari ya kwenda lodge ila nikifika tu njiani naghairi narudi kwangu, sasa naona kuna kishawishi kinaniambia niwe naenda kabsa nichepuke mara 1 nione inakuaje. Sasa kuna mchepuko anataka kunitoa outing Jumapili, nawaza sijui nimkubalie tu nione vya nje au?
A horny mature ebony MILf cheating with young BBC,, hiyo ndo itakua tittle
 
Wakuu nadhani shetani yupo kazini, mzee wangu. Anafanya kazi mkoani mimi nipo mkoa mwingine anakuja mara moja au 2 kwa mwezi.

Tuna miaka 18 katika ndoa sijawahi kuchepuka, mwanzoni nilikuwa natongozwa nakataa hapo hapo, ikafikia muda nikitongozwa nakubali ila nawapotezea mpaka wanakata tamaa.

Ikafikia hatua nakubali na naanza safari ya kwenda lodge ila nikifika tu njiani naghairi narudi kwangu, sasa naona kuna kishawishi kinaniambia niwe naenda kabsa nichepuke mara 1 nione inakuaje. Sasa kuna mchepuko anataka kunitoa outing Jumapili, nawaza sijui nimkubalie tu nione vya nje au?
Tunza heshima yako ya miaka 18 utajiepusha na mengi
 
Mkuu VIP tunaruhusiwa kufukua makaburi ? Kwa hali ya makubiri jinsi ilivyo we chepuka tu
 
Back
Top Bottom