Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
"Ukimtamani mtu basi umezini naye". Umekwishachepuka tayari. Tubu na uache.
Wakuu nadhani shetani yupo kazini, mzee wangu. Anafanya kazi mkoani mimi nipo mkoa mwingine anakuja mara moja au 2 kwa mwezi.
Tuna miaka 18 katika ndoa sijawahi kuchepuka, mwanzoni nilikuwa natongozwa nakataa hapo hapo, ikafikia muda nikitongozwa nakubali ila nawapotezea mpaka wanakata tamaa.
Ikafikia hatua nakubali na naanza safari ya kwenda lodge ila nikifika tu njiani naghairi narudi kwangu, sasa naona kuna kishawishi kinaniambia niwe naenda kabsa nichepuke mara 1 nione inakuaje. Sasa kuna mchepuko anataka kunitoa outing Jumapili, nawaza sijui nimkubalie tu nione vya nje au?