Nakaribia kuchepuka

"Ukimtamani mtu basi umezini naye". Umekwishachepuka tayari. Tubu na uache.
 
Kemea Hilo pepo kwa nguvu kubwa Sana utakuja kushukuru baadae
 
Kemea Hilo pepo kwa nguvu kubwa Sana utakuja kushukuru baadae
 
Ibilisi yupo kazini hapo,piga goti kemea huyo pepo

NB:Uzinzi hauna faida
 
Kama mmama anafikia hatua kama hii kwa upweke na msongo wa kihisia je hao watoto hali yao itakuaje?

Wababa tufunguke macho mwisho wa siku tusianze kutoa lawama.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…