"NAKARIBIA KUFUKUZWA CHUONI" Nisaidieni MWENZENU.

"NAKARIBIA KUFUKUZWA CHUONI" Nisaidieni MWENZENU.

Status
Not open for further replies.

Yusuph p. Kisunzu

Senior Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
120
Reaction score
9
UNAYOYAONA NI MARUDIO,NIMERUDI NIKIOMBA UNISAIDIE NIMALIZE MWAKA WA MWISHO. MUHULA WA KWANZA NI 350,000/: MAWASILIANO NI 0763631449 AU 0789958440

Mimi kwa majina ni Yusuph Peterson kama kuna wanaosikiliza radio Tbc fm jumapili niliweka ombi langu kwenye kipindi cha Klabu marafiki. Mimi niko Hapa cho cha Tabibu Wasaidizi Kigoma. Mwenzenu nimesona kidato cha kwanza mpaka cha 4 kwa msaada wa Serikali japo ulikuwa wa kusuasua,nikaenda f5 na f6 Ifunda Tech,nikafaulu kwa kiwango kisicho kibaya yaani dvs III lakini kutokana na uwezo mdogo nilituma maombi wizara ya afya nikafanikiwa kuletwa chuo hiki.

Lakini cha kusikitisha nimelipa mahitaji yote ya semista ya kwanza na hyo niliyolipa ni ambayo nimetafuta mara tu nilipomaliza kidato cha sita mwaka jana. Sasa ndo hapo sina la kufanya maana hata ya kulipa semista ijayo sina. Na halmashauri ya Kasulu ilinilipia mara moja tu nilipokuwa kidato cha tano. Naombeni msaidie namna ambavyo ninaweza kufanikiwa km unaweza kumfahamu wa kutoa udhamini basi nisaidieni.
 
pole sana ndugu yangu. mi mwenyewe nimefulia kweli nipo natembea na drip ila nitakurushia chochote
ila kwanini wazazi wako walipigia ccm kura? hii nchi ina rasilimali nyingi tu ungekuwa unasoma bure. tena afya ambapo unakuja kutumikia taifa kwa kuponya raia.
dah nakurushia lakini nikikumbuka wazazi na ndugu zako wamevaa sare zile roho inaniumaje?
 
Ndugu yangu mi ni pacha anayetoka kwenye familia inayolelewa na Mzazi mmoja wa kike ambaye anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo yapata miaka 13 sasa, huo ujasiri wa kuva hzo sare anautoa wapi? NITASHUKURU NDUGU YANGU. Tumia M-PESA MUNGU ATAKUBALIKI.
 
Mimi Cha kukupa sina ila Nitakuombea kwa Mungu uweze kupata hiyo ada.
 
Kwa nini usitafute vibarua ukawa unafanya mara baada ya kumaliza masomo jioni? Umenikumbusha rafiki yangu akiwa RUCO, alikuwa anauza counter ya club ya chuo. Anakaa na laptop yake.akifanya assignment na kuuza bia kidigitali akamaliza na usingle mom wake!

Ningekuwa wewe, ningefuata walimu na kuwaomba kibarua aisee. All the best.
 
Ndugu yangu mi ni pacha anayetoka kwenye familia inayolelewa na Mzazi mmoja wa kike ambaye anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo yapata miaka 13 sasa, huo ujasiri wa kuva hzo sare anautoa wapi? NITASHUKURU NDUGU YANGU. Tumia M-PESA MUNGU ATAKUBALIKI.
kesho nitakutumia
 
Jamani si kwamba kitendo cha kushindwa kulipa ada ndo kutoweza kuingia humu mwitu. Juhudi zote nilisha fanya lakini kufikia kiasi cha kulipa kiwango kinachotakiwa ndo hapo mambo yanakuwa magumu.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndugu yangu nikipata chochote kitu nita kurushia!
Lakini humu tuna wabunge ambao wanaweza kukusaidia pia ngoja ni waite maana wewe ndiye unawafanya waende bungeni!

Cc Tundu Lissu
Mwigulu Nchemba
Halima Mdee
HKigwangalla
John Mnyika
**********************
Na kuhakikishia hao nilio wataja wakipita hapa tatizo lako limekwisha!

Masomo mema, na usisahau kusoma kwa bidiii!

Kwa majonzi makubwa sana naomba niongee yafuatayo.
Mimi kwa majina ni Yusuph Peterson kama kuna wanaosikiliza radio Tbc fm jumapili niliweka ombi langu kwenye kipindi cha Klabu marafiki.
Mimi niko Hapa cho cha Tabibu Wasaidizi Kigoma.
Mwenzenu nimesona kidato cha kwanza mpaka cha 4 kwa msaada wa Serikali japo ulikuwa wa kusuasua,nikaenda f5 na f6 Ifunda Tech,nikafaulu kwa kiwango kisicho kibaya yaani dvs III lakini kutokana na uwezo mdogo nilituma maombi wizara ya afya nikafanikiwa kuletwa chuo hiki. Lakini cha kusikitisha nimelipa mahitaji yote ya semista ya kwanza na hyo niliyolipa ni ambayo nimetafuta mara tu nilipomaliza kidato cha sita mwaka jana. Sasa ndo hapo sina la kufanya maana hata ya kulipa semista ijayo sina. Na halmashauri ya Kasulu ilinilipia mara moja tu nilipokuwa kidato cha tano. Naombeni msaidie namna ambavyo ninaweza kufanikiwa km unaweza kumfahamu wa kutoa udhamini basi nisaidieni. Kwa ajili ya Umaskini karibia nitaondolewa Chuoni. Toka niliweke Tbc fm ndo hakuna msaada kabisa ila Mdada mmoja aliye nisaidia sh 10,000/ namshukuru sana dada huyo wa dodoma. Ada ni 550,000/ kwa mwaka.
Mawasiliano yangu ni
simu: 0763631449 au 0789958440
email: ypkisunzu@gmail.com
 
Last edited by a moderator:
Jamani kwa wanaojitolea kunisaidia natanguliza shukrani. Nisaidieni kwa kweli.
 
Pole sana dogo!

Jaribu kumuona Mkuu wako wa Mkoa huo unaosoma, anaweza pia kuwa na namna. Pili, jaribu kutumia makanisa na misikiti, you can get something...

Kwa majonzi makubwa sana naomba niongee yafuatayo.
Mimi kwa majina ni Yusuph Peterson kama kuna wanaosikiliza radio Tbc fm jumapili niliweka ombi langu kwenye kipindi cha Klabu marafiki.
Mimi niko Hapa cho cha Tabibu Wasaidizi Kigoma.
Mwenzenu nimesona kidato cha kwanza mpaka cha 4 kwa msaada wa Serikali japo ulikuwa wa kusuasua,nikaenda f5 na f6 Ifunda Tech,nikafaulu kwa kiwango kisicho kibaya yaani dvs III lakini kutokana na uwezo mdogo nilituma maombi wizara ya afya nikafanikiwa kuletwa chuo hiki. Lakini cha kusikitisha nimelipa mahitaji yote ya semista ya kwanza na hyo niliyolipa ni ambayo nimetafuta mara tu nilipomaliza kidato cha sita mwaka jana. Sasa ndo hapo sina la kufanya maana hata ya kulipa semista ijayo sina. Na halmashauri ya Kasulu ilinilipia mara moja tu nilipokuwa kidato cha tano. Naombeni msaidie namna ambavyo ninaweza kufanikiwa km unaweza kumfahamu wa kutoa udhamini basi nisaidieni. Kwa ajili ya Umaskini karibia nitaondolewa Chuoni. Toka niliweke Tbc fm ndo hakuna msaada kabisa ila Mdada mmoja aliye nisaidia sh 10,000/ namshukuru sana dada huyo wa dodoma. Ada ni 550,000/ kwa mwaka.
Mawasiliano yangu ni
simu: 0763631449 au 0789958440
email: ypkisunzu@gmail.com
 
Tempo nimefanya na ndo maana nimepata hyo hela ya kulipa semister ya kwanza. Eeh nikiwa hapa tempo nitaipigaje. Halafu bado tena ukienda kwa Mkuu wa Mkoa anakurudisha kwenye Halmashauri ambapo matatizo ni yaleyale.
 
Mimi nitarudi wiki ijayo kuangalia umefikia wapi? Najua wengi huwa wanaomba ila najua ungetoa labda njia ya watu kukulipia hapo chuoni moja kwa moja na wewe kufatilia zimeingia ukilipiwa itasaidia michango kuwa mingi na wewe kupata pesa hata in advance za miaka ijayo. bado una miaka mingapi ya kusoma? na ada itakuwa ngapi?

unaweza kukuta watu wakakusaidia zaidi. najua pia kuna kulipa unapopanga au je unakaa nyumbani? na pocket money unaitegemeaje maana kuna kununua mengi kwa mahitaji ya kusoma?

Pia uwashukuru wanaokutumia kwa moyo wako wote. ila kumbuka kuweka habari zaidi kwa sasa utaweza pata za mwaka huu je mwaka ujao utalipaje?

na uweke ukweli humu wa pesa utakazopokea na shilingi ngapi ili watu waweze kukuchangia kwa mbeleni pia.

wewe unaweza kuwa mkweli ila kuna matapeli
 
nice advice mkuu habari ya wewe long tym no see you..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom