Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu mi ni pacha anayetoka kwenye familia inayolelewa na Mzazi mmoja wa kike ambaye anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo yapata miaka 13 sasa, huo ujasiri wa kuva hzo sare anautoa wapi? NITASHUKURU NDUGU YANGU. Tumia M-PESA MUNGU ATAKUBALIKI.
nice advice mkuu habari ya wewe long tym no see you..
Kwa majonzi makubwa sana naomba niongee yafuatayo.
Mimi kwa majina ni Yusuph Peterson kama kuna wanaosikiliza radio Tbc fm jumapili niliweka ombi langu kwenye kipindi cha Klabu marafiki.
Mimi niko Hapa cho cha Tabibu Wasaidizi Kigoma.
Mwenzenu nimesona kidato cha kwanza mpaka cha 4 kwa msaada wa Serikali japo ulikuwa wa kusuasua,nikaenda f5 na f6 Ifunda Tech,nikafaulu kwa kiwango kisicho kibaya yaani dvs III lakini kutokana na uwezo mdogo nilituma maombi wizara ya afya nikafanikiwa kuletwa chuo hiki. Lakini cha kusikitisha nimelipa mahitaji yote ya semista ya kwanza na hyo niliyolipa ni ambayo nimetafuta mara tu nilipomaliza kidato cha sita mwaka jana. Sasa ndo hapo sina la kufanya maana hata ya kulipa semista ijayo sina. Na halmashauri ya Kasulu ilinilipia mara moja tu nilipokuwa kidato cha tano. Naombeni msaidie namna ambavyo ninaweza kufanikiwa km unaweza kumfahamu wa kutoa udhamini basi nisaidieni. Kwa ajili ya Umaskini karibia nitaondolewa Chuoni. Toka niliweke Tbc fm ndo hakuna msaada kabisa ila Mdada mmoja aliye nisaidia sh 10,000/ namshukuru sana dada huyo wa dodoma. Ada ni 550,000/ kwa mwaka.
Mawasiliano yangu ni
simu: 0763631449 au 0789958440
email: ypkisunzu@gmail.com
Pole sana ndugu yangu nikipata chochote kitu nita kurushia!
Lakini humu tuna wabunge ambao wanaweza kukusaidia pia ngoja ni waite maana wewe ndiye unawafanya waende bungeni!
Cc Tundu Lissu
Mwigulu Nchemba
Halima Mdee
HKigwangalla
John Mnyika
**********************
Na kuhakikishia hao nilio wataja wakipita hapa tatizo lako limekwisha!
Masomo mema, na usisahau kusoma kwa bidiii!