Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 754
Shughulisha akili yako kujitegemea.
Utategemea misaada hadi lini?
Ndio nyie hata mukipata kazi serikalini baada ya masomo, hamutoweza kutumia akili zenu kuendeleza nchi zenu. Mutaomba omba misaada kama watu wasio na akili na kujifedhehesha.
Mutafundisha mpaka watoto wenu wategeme misaada badala ya kuwakomaza kujitegemea.
Ukisha pata msaada,anza kujishughulisha na shughuli halali za kujitaftia vijisent wewe,
hata matofali fyatua, hata zege ponda, hata mzigo beba, hata vibarua vya hapa na pale fanya, sio unalala tu na kushinda kijiweni baada ya masomo.
Hivi sio fedheha kumuambia mtoto wako ulikuwa omba omba wa misaada eh?
Wewe yaelekea huzijui shida wewe. Hayajawahi kukukuta. Na ndio maana ukiangalia watu wengi sana wenye moyo wa kutoa ni wale ambao wamewahi kuwa na shida.
It is said, we give not because we have plenty, but becuase we know how it feels for having nothing.