"NAKARIBIA KUFUKUZWA CHUONI" Nisaidieni MWENZENU.

Status
Not open for further replies.
Shughulisha akili yako kujitegemea.
Utategemea misaada hadi lini?
Ndio nyie hata mukipata kazi serikalini baada ya masomo, hamutoweza kutumia akili zenu kuendeleza nchi zenu. Mutaomba omba misaada kama watu wasio na akili na kujifedhehesha.
Mutafundisha mpaka watoto wenu wategeme misaada badala ya kuwakomaza kujitegemea.

Ukisha pata msaada,anza kujishughulisha na shughuli halali za kujitaftia vijisent wewe,
hata matofali fyatua, hata zege ponda, hata mzigo beba, hata vibarua vya hapa na pale fanya, sio unalala tu na kushinda kijiweni baada ya masomo.
Hivi sio fedheha kumuambia mtoto wako ulikuwa omba omba wa misaada eh?

Wewe yaelekea huzijui shida wewe. Hayajawahi kukukuta. Na ndio maana ukiangalia watu wengi sana wenye moyo wa kutoa ni wale ambao wamewahi kuwa na shida.

It is said, we give not because we have plenty, but becuase we know how it feels for having nothing.
 
Nilishamaliza kila kitu Lakini nimewaPM WALIOAHIDI KUNIPA EMAIL ZENU ILI NITUME NAONA HAMPATIKANI. Nisaidieni email zenu niwatumie viambatanisho.

Emial ya mdada mmoja aliyekwambia u-scan documents aliiweka kwenye post yake ile ile. Rudi nyumba kasome vizuri. Ameweka email address yake. Kuwa makini kidogo kwa kuwa muda ni mali pia.
 
yan we jamaa acha kulemba bhana ci umfuate mengi umweleze hayo maqproblem yako mwanangu huku kitaa ankara ngumu kuzipata kimarahis kama usemavyo komaaa m,wanangu na hiyo shukle
 
Ndugu yangu mvuvihodari huyo mtu nitampataje,hata nauli ya kurudi nyumbani sina nitapata ya kumtafuta kweli.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu mvuvihodari huyo mtu nitampataje,hata nauli ya kurudi nyumbani sina nitapata ya kumtafuta kweli.

hello Yusuf yaani kweli naona bado unahitaji msaada je umefikia wapi? tangu uombe humu JF bado kiasi gani nimeona kwenye documents unahitaji laki 4 je ndio hiyo au?

Naona umenda na kupata barua toka kwa mwalimu chuoni na mihuri, kwa sasa unasoma au hausomi hadi ulipe pesa?
 
Naomba nijibu maswali yako machache.
Kwa hapa sijafikia hata hatua ya kuelekea kufanikiwa,maana niliulizwa kuweka vithibitisho nikaweka lakin hata waliovihitaji hawaonekani. Bado sijafanikiwa.
Umesema pia kuwa nimeenda kutafuta na mihuri chuoni,ndugu yangu mimi nipo hapa chuon ila inayonitatiza ni hiyo hela ya semista ijayo.
Umeuliza km ninayoihitaj ni laki 4 syo hvyo hiyo ndiyo nimelipa bado ya kumalizia na ya mwaka wa pili pia.
 
samahani kukuuliza maana naona sijakuelewa, hiyo laki nne nimeona kwenye kikaratasi kuwa bado 400,400/= ni bado ya mwaka wa kwanza? kama waliokuomba details zaidi hawajarudi basi wa tag ili wapate message nakuja kusoma labda wamepitiwa na hawakumbuki. ukiwatag wataona na kuja kusoma hii thread yako tena.

Najua mambo ni magumu kwa sasa ila endelea kuomba. na pia mie ninavutiwa bali jieleze vizuri watu waelewe. kama elezea hiyo karatasi iliyoandikwa ni inazungumzia nini?
 
Aaah nimekupata hiyn karatasi ndiyo aliniandikia Mhasibu yaani amejumuisha na michango yote ya mwaka mzima. Akaniambia kuwa imebaki hiyo laki nne kumaliza mwaka wa kwanza.
Nashukuru kunishauri kwamba niwatag zaidi ya kuwatag nilishawaPM lakin eti kutokana na kuchelewa kupata kitambulisho badala yake nikatumia hicho alichoniidhinisha naongelea hiyo karatasi baadhi yao wameniambia kuwa sijatimiza walivyoniambia. Sasa kwa vile sina jinsi naamua kutulia tu. Uwezo wangu umeishia hapo.
 
Shughulisha akili yako kujitegemea.
Utategemea misaada hadi lini?
Ndio nyie hata mukipata kazi serikalini baada ya masomo, hamutoweza kutumia akili zenu kuendeleza nchi zenu. Mutaomba omba misaada kama watu wasio na akili na kujifedhehesha.
Mutafundisha mpaka watoto wenu wategeme misaada badala ya kuwakomaza kujitegemea.

Ukisha pata msaada,anza kujishughulisha na shughuli halali za kujitaftia vijisent wewe,
hata matofali fyatua, hata zege ponda, hata mzigo beba, hata vibarua vya hapa na pale fanya, sio unalala tu na kushinda kijiweni baada ya masomo.
Hivi sio fedheha kumuambia mtoto wako ulikuwa omba omba wa misaada eh?

Walio tayari kumsaidia wameshajibu. Si lazima kila mtu a-comment humu. Comment zako ni aibu kubwa kwa serikali ya kichwa chako.
 
kwa muda uliopita kidogo nilijitokeza kuomba kusaidiwa sasa nimejitahidi kutafuta viambanisho ambavyo nimeviambatanisha ikiwemo na lis i niliyolipia.

Anayjsikia kunisaidia anisaidie. Asanteni.

A/c no. Iko kwenye posts za mwanzoni.

Ndugu zangu bado nina shida kubwa sana. Jisikieni kunisaidia na mimi nifanikiwe.

ndugu zangu yaani hata nguo za kuingia nazo theater sina yaani procedure yoyote ya operation muda mwingine huwa nashindwa kuingia kwa kukosa nguo kwa ajili ya umasiki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom