"NAKARIBIA KUFUKUZWA CHUONI" Nisaidieni MWENZENU.

"NAKARIBIA KUFUKUZWA CHUONI" Nisaidieni MWENZENU.

Status
Not open for further replies.
Jaribu pia RFA(Radio free mwanza)
Kuna kipindi cha wenye shida na wahitaji msaada na hiyo inasikika nchi nzima na kipindi hicho husikilizwa na wengi.
More people more possibility for a solution
 
Ulisije ikawa yusuph yule tapeli anaetapeli wanawake ni muongo sana huyo yani usipomjua utaona umepata kwa uongo wake hapa jina limekuharibia maana nina mashaka kama si yy mpenda vya bure labda uhakikishe kuwa si wewe isije kuwa inatafutwa pesa ya bear hap
 
Miaka ni miwili tu maana ni course ya Clinical Assistant semister zipo nne ya kwanza ndo hiyo nimeelipa ila hizo tatu siju nitafanyaje. Yaani semister ya mwaka wa kwanza moja na hzo mbili za mwaka wa pili. Kwa kweli inaniuma kuwa ktk hali hii.
 
Ndugu yangu mi ni pacha anayetoka kwenye familia inayolelewa na Mzazi mmoja wa kike ambaye anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo yapata miaka 13 sasa, huo ujasiri wa kuva hzo sare anautoa wapi? NITASHUKURU NDUGU YANGU. Tumia M-PESA MUNGU ATAKUBALIKI.

Je, unakiri kwamba matatizo uliyonayo kwa namna fulani yametokana na wamiliki wa hizo sare?
 
Yusuph...pole. concern ya Mzurimie ni kama ya kwangu. Weka account details za chuo chako hapa tulipe moja kwa moja...lazima uthibitishe beyond reasonable doubt kuwa una shida...hizo ulizozitaja hapo. Mimi ukinipa uthibitisho huo nitakulipia semister moja ada...kutoa ni moyo sio lazima nikujue na wala sitaki tujuane wala unishukuru. Sisi tumepitia shida kama wewe ila mtu kuibuka tu na kusema Jf kuwa ana shida haitoshi mdogo wangu.

Pia hebu jibu maswali ya Mzurimie hapo juu yatatusaidia kujua ukubwa wa tatizo. Umepewa ushauri pia wa kazi za part time tumezipiga sana hizo tukusoma na wala hatukufeli exams...akili mukichwa!

All the best
 
Kwa majonzi makubwa sana naomba niongee yafuatayo.
Mimi kwa majina ni Yusuph Peterson kama kuna wanaosikiliza radio Tbc fm jumapili niliweka ombi langu kwenye kipindi cha Klabu marafiki.
Mimi niko Hapa cho cha Tabibu Wasaidizi Kigoma.
Mwenzenu nimesona kidato cha kwanza mpaka cha 4 kwa msaada wa Serikali japo ulikuwa wa kusuasua,nikaenda f5 na f6 Ifunda Tech,nikafaulu kwa kiwango kisicho kibaya yaani dvs III lakini kutokana na uwezo mdogo nilituma maombi wizara ya afya nikafanikiwa kuletwa chuo hiki. Lakini cha kusikitisha nimelipa mahitaji yote ya semista ya kwanza na hyo niliyolipa ni ambayo nimetafuta mara tu nilipomaliza kidato cha sita mwaka jana. Sasa ndo hapo sina la kufanya maana hata ya kulipa semista ijayo sina. Na halmashauri ya Kasulu ilinilipia mara moja tu nilipokuwa kidato cha tano. Naombeni msaidie namna ambavyo ninaweza kufanikiwa km unaweza kumfahamu wa kutoa udhamini basi nisaidieni. Kwa ajili ya Umaskini karibia nitaondolewa Chuoni. Toka niliweke Tbc fm ndo hakuna msaada kabisa ila Mdada mmoja aliye nisaidia sh 10,000/ namshukuru sana dada huyo wa dodoma. Ada ni 550,000/ kwa mwaka.
Mawasiliano yangu ni
simu: 0763631449 au 0789958440
email: ypkisunzu@gmail.com

Weka akaunti namba ya chuo.Maana maelezo yako tu hayajitoshelezi ikiwezekana weka na details nyingine kwa ajili ya uthibitisho mfano student number na scan Student ID yako uiambatanishe.
 
Pole sana ndugu yangu nikipata chochote kitu nita kurushia!
Lakini humu tuna wabunge ambao wanaweza kukusaidia pia ngoja ni waite maana wewe ndiye unawafanya waende bungeni!

Cc Tundu Lissu
Mwigulu Nchemba
Halima Mdee
HKigwangalla
John Mnyika
**********************
Na kuhakikishia hao nilio wataja wakipita hapa tatizo lako limekwisha!

Masomo mema, na usisahau kusoma kwa bidiii!

MKuu umewasahau mheshimiwa zito kabwe maana huyu Anatoka mkoa mmoja naye
 
Last edited by a moderator:
Unajua tendo dogo kwa mtu mmoja linaweza kuwa na impact kubwa kwa mwingine nadhani humu jamvini hata siku liyokimya kuna watu zaidi ya elfu 10 wanachungulia sasa kila mtu akitoa mia mbili tu huyu jamaa anaweza akalipia ada ya miaka yake chuoni na fedha za kujikimu akapata yaani mia mbili tu kwa mmpesa ingawa itabidi wote watoe
 
Hey,I can see you online..vipi hiyo account ya chuo uliyoombwa??we are waiting!!na Id pia usisahau please
 
Nashangaa unashida afu umepewa option nzuri ya kukusaidia mpaka sasa hivi upo kimya..au ndo ulikua unatupiga changa la macho??
 
SAMAHANI JAMANI NILIKUWA KANISANI(SABATO)
UKWELI HALISI NI KWAMBA ULIPAJI WA HAPA CHUONI SIYO WA KUINGIZA KWENYE A/C NO. YA CHUO WOTE WANAKUJA NA PESA MPAKA KWA MHASIBU WA CHUO AMBAYE NIMEJITAHIDI HATA KUTAFUTA NAMBA YAKE YA SIMU HAPA CHUONI NIMEKOSA NIMEENDA HADI NYUMBANI KWAKE SIJAMKUTA NAFIKIRI NI KWA SABABU NI WEEKEND NILITAKA NIIWEKE HAPA KAMA KUNA AMBAYE ANGEPENDA KUMTAFUTA BASI ANGEMTAFUTA LAKINI JUHUDI ZOTE HZO ZIMEGONGA MWAMBA.
SAMBAMBA NA HILO MASOMO YALIANZA MWEZI NOVEMBA MIMI NIMEENDA AWAMU YA PILI YA MWEZI WA 12 TAREHE 24 HATA VITAMBULISHO(ID) HATUJAPEWA ILA TULICHOPEWA NI NAMBA TU AMBAYO NI (ST No. CATC/1437) KWA KWELI KWA UFUPI NDIVYO HIVYO NILITAMANI HATA MIMI NIIWEKE HIYO A/C NAMBA LAKINI MFUMO WA HAPA CHUONI NDIO HUO LABDA NIWASILIANE NA LECTURER(FACILITATOR) MOJAWAPO ANISAIDIE ILI KAMA KUNA ATAKAYENISAIDIA BASI APITISHIE KWAKE. Hiyo ndiyo hali halisi.
 
dah pole sana mkuu jaribu kuomba omba sijajua semister inaisha lini? ila sipo nyumbani mkuu ila ninarudi nyumbani kipindi cha pasaka kama bado hujamalizia kipindi hicho ninakuahidi tsh 100,000/= tukumbushane na ikikaribia kabla ya pasaka ni pm kwa maelezo mengine ninaweza hata kukutumia kwa money gram, kutoa sio sifa nikusaidiana, wanajf huyu kijana anasomea kazi ambayo niyakuja kuwahudumia wadogo zetu na mama zetu serious mwenye nacho hata 2000 tujitoleeni, kila la kheri aisee
 
NATANGULIZA SHUKRANI SANA kwako UKI.
Semister itaisha mwezi wa nne tunategemea kufunga tarh 8/04 kufungua tarh 29/04 sasa hapo ndipo pagumu maana hawampokei Mwanachuo yeyote bila Hela. Muda wenyewe wa likizo ni mfupi yaani wiki tatu. Ila samahani sana UKI ni bora ungenisaidia mawasiliano kwa muda huo.
 
Last edited by a moderator:
HABARINI ZA LEO,
KWA WALE WALIOGUSWA NA TATIZO LANGU WALIOHITAJI A/C No. Nimefanikiwa kuipata kwa mhasibu wa chuo. Ni hii hapa.

SUB-TRESURY DEPOSIT ACCOUNT
A/C No. 51601000024
NMB-KIGOMA.

Asanteni.
 
Watu siku hizi wanaogopa kutapeliwa,kama kweli unahitaji msaada weka akaunt ya shule/chuo unachosomea watu watalipa kupitia hapo na chuo kitakupa taarifa a kuwa umelipawa ada au kama kuna ziada unaweza rudishiwa wewe,kwa maana kukupa wewe watu wataaminije wewe ni mwanachuo kweli?
 
Jamani Account ya chuo ambayo nimepewa na Mhasibu ni hiyo hapo juu,ameniambia wanaweka hazina ndipo akanipa hiyo akaunti kabalizuka
 
Last edited by a moderator:
Weka akaunti ya chuo ili watu wawe na imani kuwa kweli hela yao inaenda sehemu salama.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom