Yusuph p. Kisunzu
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 120
- 9
- Thread starter
-
- #41
SAMAHANI JAMANI NILIKUWA KANISANI(SABATO)
UKWELI HALISI NI KWAMBA ULIPAJI WA HAPA CHUONI SIYO WA KUINGIZA KWENYE A/C NO. YA CHUO WOTE WANAKUJA NA PESA MPAKA KWA MHASIBU WA CHUO AMBAYE NIMEJITAHIDI HATA KUTAFUTA NAMBA YAKE YA SIMU HAPA CHUONI NIMEKOSA NIMEENDA HADI NYUMBANI KWAKE SIJAMKUTA NAFIKIRI NI KWA SABABU NI WEEKEND NILITAKA NIIWEKE HAPA KAMA KUNA AMBAYE ANGEPENDA KUMTAFUTA BASI ANGEMTAFUTA LAKINI JUHUDI ZOTE HZO ZIMEGONGA MWAMBA.
SAMBAMBA NA HILO MASOMO YALIANZA MWEZI NOVEMBA MIMI NIMEENDA AWAMU YA PILI YA MWEZI WA 12 TAREHE 24 HATA VITAMBULISHO(ID) HATUJAPEWA ILA TULICHOPEWA NI NAMBA TU AMBAYO NI (ST No. CATC/1437) KWA KWELI KWA UFUPI NDIVYO HIVYO NILITAMANI HATA MIMI NIIWEKE HIYO A/C NAMBA LAKINI MFUMO WA HAPA CHUONI NDIO HUO LABDA NIWASILIANE NA LECTURER(FACILITATOR) MOJAWAPO ANISAIDIE ILI KAMA KUNA ATAKAYENISAIDIA BASI APITISHIE KWAKE. Hiyo ndiyo hali halisi.
HAKUNA CHUO CHOCHOTE TZ NA CHENYE HADHI KISICHOKUWA NA ACCOUNT NUMBER, WALA STUDENT ID.kama unania kweli tukusaidie rudi kajipange uje na majibu unayoulizwa humu.watu wanakuuliza maswali ili wajiridhishe ili upate msaada wala hawakukomoi wala kukukatisha tamaa
Hujambo? Pole sana kwa haali hii. Kwanza anza kutafuta vibarua hapo chuoni kwenu, nakumbuka kuna mdada alikuwa yatima wakati niko high school alikuwa hana wa kumpa hata sabuni, alichofanya aliomba kushona uniform za shule so akawa anajisomesha kwa ule mradi hadi alipomaliza.Kwa majonzi makubwa sana naomba niongee yafuatayo.
Mimi kwa majina ni Yusuph Peterson kama kuna wanaosikiliza radio Tbc fm jumapili niliweka ombi langu kwenye kipindi cha Klabu marafiki.
Mimi niko Hapa cho cha Tabibu Wasaidizi Kigoma.
Mwenzenu nimesona kidato cha kwanza mpaka cha 4 kwa msaada wa Serikali japo ulikuwa wa kusuasua,nikaenda f5 na f6 Ifunda Tech,nikafaulu kwa kiwango kisicho kibaya yaani dvs III lakini kutokana na uwezo mdogo nilituma maombi wizara ya afya nikafanikiwa kuletwa chuo hiki. Lakini cha kusikitisha nimelipa mahitaji yote ya semista ya kwanza na hyo niliyolipa ni ambayo nimetafuta mara tu nilipomaliza kidato cha sita mwaka jana. Sasa ndo hapo sina la kufanya maana hata ya kulipa semista ijayo sina. Na halmashauri ya Kasulu ilinilipia mara moja tu nilipokuwa kidato cha tano. Naombeni msaidie namna ambavyo ninaweza kufanikiwa km unaweza kumfahamu wa kutoa udhamini basi nisaidieni. Kwa ajili ya Umaskini karibia nitaondolewa Chuoni. Toka niliweke Tbc fm ndo hakuna msaada kabisa ila Mdada mmoja aliye nisaidia sh 10,000/ namshukuru sana dada huyo wa dodoma. Ada ni 550,000/ kwa mwaka.
Mawasiliano yangu ni
simu: 0763631449 au 0789958440
email: ypkisunzu@gmail.com
Shughulisha akili yako kujitegemea.
Utategemea misaada hadi lini?
Ndio nyie hata mukipata kazi serikalini baada ya masomo, hamutoweza kutumia akili zenu kuendeleza nchi zenu. Mutaomba omba misaada kama watu wasio na akili na kujifedhehesha.
Mutafundisha mpaka watoto wenu wategeme misaada badala ya kuwakomaza kujitegemea.
Ukisha pata msaada,anza kujishughulisha na shughuli halali za kujitaftia vijisent wewe,
hata matofali fyatua, hata zege ponda, hata mzigo beba, hata vibarua vya hapa na pale fanya, sio unalala tu na kushinda kijiweni baada ya masomo.
Hivi sio fedheha kumuambia mtoto wako ulikuwa omba omba wa misaada eh?
https://www.facebook.com/profile.php?id=100004799375039&ref=ts&fref=ts
yap inawezekana ni kweli ok ni pm ijumaa ntakupa feedback kaka
Shughulisha akili yako kujitegemea.
Utategemea misaada hadi lini?
Ndio nyie hata mukipata kazi serikalini baada ya masomo, hamutoweza kutumia akili zenu kuendeleza nchi zenu. Mutaomba omba misaada kama watu wasio na akili na kujifedhehesha.
Mutafundisha mpaka watoto wenu wategeme misaada badala ya kuwakomaza kujitegemea.
Ukisha pata msaada,anza kujishughulisha na shughuli halali za kujitaftia vijisent wewe,
hata matofali fyatua, hata zege ponda, hata mzigo beba, hata vibarua vya hapa na pale fanya, sio unalala tu na kushinda kijiweni baada ya masomo.
Hivi sio fedheha kumuambia mtoto wako ulikuwa omba omba wa misaada eh?
kijana usijifanye mjanja inaonekana hujui shida wewe na siku yakikukuta utajinyonga.Kama huwezi kutoa msaada kaa kimya.[/QUOTE
Kama mtu mzembe so.
Sasa msaada gani ulitaka nitoe?
Mie si nimetoa msaada wa mawazo, hasiombe ombe.
Watu kama hawa uwaga hawajiriwi, sababu hata wakipewa kazi na boss wake wataomba wasaidiwe ile kazi.
mie nimeishi miaka mingi nimeona mengi.
Kwa majonzi makubwa sana naomba niongee yafuatayo.
Mimi kwa majina ni Yusuph Peterson kama kuna wanaosikiliza radio Tbc fm jumapili niliweka ombi langu kwenye kipindi cha Klabu marafiki.
Mimi niko Hapa cho cha Tabibu Wasaidizi Kigoma.
Mwenzenu nimesona kidato cha kwanza mpaka cha 4 kwa msaada wa Serikali japo ulikuwa wa kusuasua,nikaenda f5 na f6 Ifunda Tech,nikafaulu kwa kiwango kisicho kibaya yaani dvs III lakini kutokana na uwezo mdogo nilituma maombi wizara ya afya nikafanikiwa kuletwa chuo hiki. Lakini cha kusikitisha nimelipa mahitaji yote ya semista ya kwanza na hyo niliyolipa ni ambayo nimetafuta mara tu nilipomaliza kidato cha sita mwaka jana. Sasa ndo hapo sina la kufanya maana hata ya kulipa semista ijayo sina. Na halmashauri ya Kasulu ilinilipia mara moja tu nilipokuwa kidato cha tano. Naombeni msaidie namna ambavyo ninaweza kufanikiwa km unaweza kumfahamu wa kutoa udhamini basi nisaidieni. Kwa ajili ya Umaskini karibia nitaondolewa Chuoni. Toka niliweke Tbc fm ndo hakuna msaada kabisa ila Mdada mmoja aliye nisaidia sh 10,000/ namshukuru sana dada huyo wa dodoma. Ada ni 550,000/ kwa mwaka.
Mawasiliano yangu ni
simu: 0763631449 au 0789958440
email: ypkisunzu@gmail.com
Hujambo? Pole sana kwa haali hii. Kwanza anza kutafuta vibarua hapo chuoni kwenu, nakumbuka kuna mdada alikuwa yatima wakati niko high school alikuwa hana wa kumpa hata sabuni, alichofa
tayari nilisha maliza kila kitu sasa naona hauko online sasa sijui nikutumie hivyo hivyo.