GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hivi Mo Dewji unafanya nini Simba SC Kwetu hadi hii leo? au unangojea tufungwe 7-0 Wiki ijayo na Yanga SC ili tukutoe kwa Vipigo ( vya Vichwa, Ngumi na Mateke ) ndiyo utujue kuwa tupo wana Simba SC tuliovurugwa na tunaopenda Vita na tunaviweza kama vile M23 na walivyonifuahisha hivi majuzi mahala fulani?