GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Soka la bongo linawenyewe, nafikiri ni wakati sahihi wa wewe kujikita kwenye punyeto sasa au unasemaje mkuu!!?? πHivi Mo Dewji unafanya nini Simba SC Kwetu hadi hii leo? au unangojea tufungwe 7-0 Wiki ijayo na Yanga SC ili tukutoe kwa Vipigo ( vya Vichwa, Ngumi na Mateke ) ndiyo utujue kuwa tupo wana Simba SC tuliovurugwa na tunaopenda Vita na tunaviweza kama vile M23 na walivyonifuahisha hivi majuzi mahala fulani?
Siwezi kupoteza muda wangu Kuipambania Timu ambayo Wachezaji wake wote hawajitoi Uwanjani hadi waone Fedha.Hatimae umetema bungo lilikuwa suala la muda, sasa karibu kiumeni yanga Afrika, huku timu inatupa raha kama za nyetoπ
Pamoja na Mo Dewji Chakavu nae au?Tuna nunua chuma chakavu na simba chakavu
ni kujiuzulu sio kujiuzuru,lakini ni vizuri kuwa mvumilivuHivi Mo Dewji unafanya nini Simba SC Kwetu hadi hii leo? au unangojea tufungwe 7-0 Wiki ijayo na Yanga SC ili tukutoe kwa Vipigo ( vya Vichwa, Ngumi na Mateke ) ndiyo utujue kuwa tupo wana Simba SC tuliovurugwa na tunaopenda Vita na tunaviweza kama vile M23 na walivyonifuahisha hivi majuzi mahala fulani?
Sawa Mwalmu wa Kiswahili.ni kujiuzulu sio kujiuzuru,lakini ni vizuri kuwa mvumilivu
Nakubaliana na hili kwa 100% Mkuu.
π...... habari za asubuh???Hivi Mo Dewji unafanya nini Simba SC Kwetu hadi hii leo? au unangojea tufungwe 7-0 Wiki ijayo na Yanga SC ili tukutoe kwa Vipigo ( vya Vichwa, Ngumi na Mateke ) ndiyo utujue kuwa tupo wana Simba SC tuliovurugwa na tunaopenda Vita na tunaviweza kama vile M23 na walivyonifuahisha hivi majuzi mahala fulani