Nakaribia kununua pikipiki kampuni gani nzuri kwa mishe za mtaani?

Namkubali sana mhindi kwenye pikipiki skymark community ni nzuri sana ila
 
Chukua TVS 150X
Hii machine ninayo mwaka wa pili umeisha mi nabadili oil tu na ku adjust chain na nipo kijijini.
Tena usichukue kwa mtu nenda shop kamenye mpya hata Kama mkwanja wako hautoshi fanya kujichanga hadi zitakapotosha ku shop.

Achana na pikipiki za china yanakula mafuta, vibration hadi matako utasema ymepigwa shot ya umeme, pia mafupi Kama umekalia kigoda.
 
Bei Gani mkuu
 
Kuna pikipiki zinataka kuwa na muundo kama hizo cc 125 kwa 150 unaweza kujua zinapatikana wapi? Na bei zake zipoje nazikubali sana kuzurulia hapo kwa kina mwajuma n'chokonoe
Kama ya kichina haojue pia anayo
 
Mkuu tvs bei gani shop
 
Mkuu kama ni mishe za kijijini chukua huojue au sinoray 125
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…