Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
- Thread starter
- #21
Siku hizi ni adimu Sana hizi ivi zipo?Sunlg
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi ni adimu Sana hizi ivi zipo?Sunlg
Nunua Triumph Rocket bro maana ni kiboko na ina speed ya ajabu. Hii hata akhera (kwa mungu) inakufikisha kwa bure kabisa.
View attachment 1979676
😂😂😂😂 Daah! Mbavu zanguu!!! Eti vibration hadi matako......Achana na pikipiki za china yanakula mafuta, vibration hadi matako utasema ymepigwa shot ya umeme, pia mafupi Kama umekalia kigoda.
Bei Gani mkuuChukua TVS 150X
Hii machine ninayo mwaka wa pili umeisha mi nabadili oil tu na ku adjust chain na nipo kijijini.
Tena usichukue kwa mtu nenda shop kamenye mpya hata Kama mkwanja wako hautoshi fanya kujichanga hadi zitakapotosha ku shop.
Achana na pikipiki za china yanakula mafuta, vibration hadi matako utasema ymepigwa shot ya umeme, pia mafupi Kama umekalia kigoda.
[emoji16]Mkuu undhalilisha gari yetu pendwa[emoji38]
Kama ya kichina haojue pia anayoKuna pikipiki zinataka kuwa na muundo kama hizo cc 125 kwa 150 unaweza kujua zinapatikana wapi? Na bei zake zipoje nazikubali sana kuzurulia hapo kwa kina mwajuma n'chokonoe
Naomba pichaKama ya kichina haojue pia anayo
Bei Gani mkuu
Nimekupata
Hiyo uliyopost inagharimu sh ngapiNimekupata
Sijajua ila niliona mtu mtaan anaimiliki hebe fuatilia maduka ya haojue utapata bei zakeHiyo uliyopost inagharimu sh ngapi
Mkuu tvs bei gani shopChukua TVS 150X
Hii machine ninayo mwaka wa pili umeisha mi nabadili oil tu na ku adjust chain na nipo kijijini.
Tena usichukue kwa mtu nenda shop kamenye mpya hata Kama mkwanja wako hautoshi fanya kujichanga hadi zitakapotosha ku shop.
Achana na pikipiki za china yanakula mafuta, vibration hadi matako utasema ymepigwa shot ya umeme, pia mafupi Kama umekalia kigoda.
Bei gani mkuubugatti
Mkuu kama ni mishe za kijijini chukua huojue au sinoray 125Nipo vijijini, nimemaliza chuo 2018 ualimu nilisota mwaka 1 nimesaidia fundi beba zege gafla nikapata mchongo private japo salary inasua sua Lakin nashukuru Mungu
Mwaka huu nikajiongeza na kamera na wakala free Lansa wa laini vijijini siku za wikiend
Kutokana na mizunguko yangu natumia Baiskeli nashindwa kuvifikia vijiji Vinginevyo ambavyo Kuna soko la picha pia
Nimeona bora nikusanye pesa ninunue pikipiki ili niongezee ufanisi kwenye harakati zangu wikiend
Nb kila wikiend vijiji viwili naingia 70000 lakini pia nafuga ngurue wa kisasa ili kuongeza pesa
Tafadhali pikipiki imara ni kampuni gani.