Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
- Thread starter
-
- #421
Rudi tena kwa daktari unahitaji aina nyingine ya antifungalToka hali ilivyoanza ni miaka 3 sasa.Kabla ya kupima kuna vidonge flani (sivikumbuki jina) nlikula kwa siku kumi kwa maelezo ya Dr.nlipoona hakuna mabadiliko ndo nikarudi nikapima na kupewa hizo fluconazole lakini naona na zenyewe hazijasaidia!
Rudi tena kwa daktari unahitaji aina nyingine ya antifungal!!Mfano caspofungin.Jitahidi pia uwe unaepuka vitu vinavyoweza kukusababishia fungus kama kuvaa nguo ambazo hazijakauka vizuri,za kubana sana,na chunguza mwenza/wenza wako!Haisaidii kama wewe unatibiwa halafu unaenda tena kukutana na mtu anakuambukiza upya ni vyema mtibiwe wote.Tumia topical antifugal kupaka eneo liloathirika vilevile kama clotrimazole cream.
Jinsi unavyonieleza ni kama ana maumivu maeneo ya kizazi,namshauri aende hospitali akafanyiwe check up.Je hali hio inatokea baada ya tendo la ndoa au inakuja wenyewe tu??
Maumivu ya chini ya kitovu yana weza kusababishwa na mambo tofauti kama
- Ovarian cysts
- UTI
- Infection kwenye kibofu cha mkojo
- Irritable bowel syndrome
- Bacterial or viral intestinal infection
- Colon polypsApe
- Apendicitis
- Cancer ya utumbo mpana
- Food poisoning n.k
Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana..
Hellow [MENTION=94539]
Guillain-Barre syndrome ni autoimmune disease ambapo inasemekana immune system ya mwili inavamia myelin sheath ya nerve cells.Inasababisha muscle weakness,loss of reflexes,kupoteza hisia kwenye uso,miguu,mikono na hata sehem nyingine za mwili.Tiba pekee inayoweza kutumika ni intravenous immunoglobulin.
Intravenous ni sindao inayochomwa kwenye mshipa wa damu na kwenda kwenye system inawekwa inform of drip.Sina uhakika kama inapatikana Tanzania.Nakushauri uende pharmacy au uwasiliane na daktari upate uhakika juu ya hilo.Asante sana Dr kwa ufafanuzi wako.
Hivi hiyo Intravenous immunoglobulin (IVIG) ni sindano au vidonge?
Vipi inapatikana kwenye pharmacy za Tz kweli au mpaka kuagiza nje?
Any idea on the price/dose?
Narudia kuandika asante.
Mkuu mi naomba kujua dawa ya ugonjwa wa mdudu wa kidole
Huna tatizo mkuu!Mi sifahamu kama ni tatizo au nini ila ningependa kufahamu
wakati na kwenda haja huwa naona ute ute unaotoka katika uume wangu na sina maumivu yoyote na sijajamiana zaidi ya 3 year
je hali hii ni nini? kama ni ugonjwa gani ama ni vipimo gani nifanyiwe?
kaka naomba unisaidie tiba ya kudumu ya tonsils,Huna tatizo mkuu!
Ndio nini hio?nifafanulie tafadhali!
Dr asante sana, mke wangu amepata tatizo ana continuous breeding, tatizo limeanza hivi
Ilitakiwa aingie period tangu tarehe 15 March lakini haikutokea hivyo na aliingia period hiyo trh 30 na ilitakiwa kawaida amalize 02 April lakini damu haikukatika kabisa kwani kuanzia trh 03 April damu ilikuwa inatoka kwa matone matone, ilipofika juzi 08-09-10 mwezi huu April damu imeongezeka na anavaa pedi kupambana na adha hiyo ,
Ana umri wa miaka 40 na hajawahi tangiapo kutumia dawa za uzazi , ananyonyesha mtoto wa umri wa mwaka mmoja
Dr naomba kufahamu tatizo ni nini, na kwa kweli nifanyeje, asante Dr
kaka nijibu naomba unisaidie tiba ya kudumu ya tonsils,Hio ni menorraghi nimeandika kwenye post za nyuma mpeleke hospitali anahitaji cyclokapron ka anahitaji madini ya chuma.
Mafua/tonsils vinasababishwa na infection aidha ya virusi au bacteria.Na kutambua hilo ni muhimu uchukuliwe vipimo vya damu ili kucheki CRP ili kucheki kama una infection kama ni ya bacteria CRP inakuwa juu.Infection zinazosababishwa na virusi hazitibiwi mara nyingi zinaondoka zenyewe na haziwi kali kama za bacteria.Unaweza kuchekiwa pia dalili tofauti kamakaka nijibu naomba unisaidie tiba ya kudumu ya tonsils,nini dawa ya kuzuia au kutibu mafuadawa ya kikohozi kitokanacho na mafua,nini madhara ya dawa kama1. ampiclox2. dawa tatu/hedex3. metakeflin4. amoxyln
asante saaana dada gorgeousmimi, mimi nina bacterial effect-ions za tonsils na huwa natumia ampiclox lakini huwa inatibika na kurudi kwa mda mfupi nishauri nitumie dawa gani,, na nitaweza kuzitibu side effects za ampiclox na nini?Mafua/tonsils vina.
[/LIST]
Hamna madhara baada ya kuacha kuvitumia!Vidonge vya viagra vina madhara yoyote baada ya kuacha kuvitumia??
Asante sana. Ubarikiwe kwa kuamua ku share nasi kitu km hikiHellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana..