Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Mr. @ ray lee usitishike,hili si jambo la hatari na linaweza kurekebishika.Epuka kufanya vitu vifuatavyoKula milo mikubwa,vizito na vyenye mafuta mengi na kulala baada ya mlo,Kama una uzito jaribu kupunguza hilo,Kula snacks kabla ya kulala,Kula vyakula vyenye ukakasi(nyanya,vitunguu saumu,vitunguu maji) au viungo vingi,Kuvuta sigara kama ni mvutaji,Kunywa pombe ,soda,kahawa na chai na kula baadhi ya dawa zilizo kwenye group ya NSAID`s kama aspirin au ibuprofen.Tiba nimeshakutajia zipo tofauti na zinafanya kazi tofauti lakini dhumuni ni aidha kuneutralize gastric acid iliyopo tumboni na ANTACIDs(Acid neutralizers) inafanya kazi hio (natrium bicarbonate,aluminium/magnesium hydroxide),Foam barriers kama Gavison zinatengeneza kama povu na kuzuia gastric acid kuvuka eneo la tumbo na kwenda kwenye esophagus au kupunguza utengenezaji wa gastric acid.Protonpumpinhibitors na Histamin-2-antagonists zinazuia production ya gastric acid.

Tnx sana Dr kwa ushauri..God bless u
 
gorgeousmimi -- nini kinachosababisha wanawake wengi kuota ndevu siku hizi. Je ni aina ya vyakula? na tiba ya kuondoa hizo ndevu kwa wanawake ni nini?
 
Last edited by a moderator:
gorgeousmimi -- nini kinachosababisha wanawake wengi kuota ndevu siku hizi. Je ni aina ya vyakula? na tiba ya kuondoa hizo ndevu kwa wanawake ni nini?
Muongezeko wa hormone za kiume testosterone au hormone imbalance.

Nimefafanua zaidi kwenye post za nyuma kwenye PCOS (polycystic ovary syndrome) na nyingenezo.
 
Last edited by a moderator:
Dawa ipi nzuri zaidi kupunguza uric acid mwilini?
 
Hellow wapendwa,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!

Karibuni sana..

Dawa ipi nzuri zaidi kupunguza uric acid mwilini?
 
Prednisolone ni sythethic glucocorticoid ambayo inafanya kazi kwa kustimulate glucocorticoid receptor iliyopo kwenye cells tofauti za mwili.Glucocorticoid inapunguza inflammation response:Inapunguza inflammation kwa kupitia vyanzo kadhaa mfano inapunguza release ya chembechembe zinazosababisha inflammation itokee.
Glucocorticoid inatengenezwa pia mwilini kwenye adrenocortopic hormone.Ukiwa unatumia glucocorticoid bila mpangilio hasa systemic inasababisha negative feedback kwenye kwahio uzalishaji wake kwenye pitutary glands una pungua.Unaweza kuepka hilo kwa kula dawa wakati wa asubuhi kwasababu production ya cortisol mwilini inakuwa juu asubuhi ili kuepuka adrenal suppression.Na ukiwa unataka kuacha kutumia dawa unaacha kwa kuwithdraw taratibu kwa wiki kadhaa,ukiacha ghafla tu mwili hautopata muda kwa kuanzisha utengenezaji wa glucocorticoid kama awali kwenye pitutary glands na inaweza kupeleka dalili za ukosaji wa glucocorticoids ambayo hupeleka maumivu kwenye joints and muscles.
Glucocorticoid inafanya kazi kwenye baadhi ya viungo kama mifupa inazuia osteoblast kwenye bone tissue na kupeleka kuongezeka kulika kwa bone tissue na kupeleka kusababisha ugonjwa kama OSTEOPOROSIS ni sideeffect mmojawapo ya matumizi ya glucocorticoid kwa muda mrefu.Na ndio maana tunashauri ukiwa unatumia prednisolone kwa muda mrefu ule calcium tablets with vitamin D[SUB]3[/SUB] ili kuepuka chances za kupata Osteoporosis,Calcium inasaidia kujenga mifupa kuwa imara na Vitamin D[SUB]3 [/SUB]inaongeza absorption ya calcium kutoka kwenye utumbo mpana.
Effects nyingine ni kama metabolic effects:Kuongezeka kwa sukari(bloodsugar),Tendency ya kupata infection haswa ukiwa unatumia dozi kubwa inasababisha immunosuppressive effect.Na kuongeza tendency ya kupata viralinfecton kama herpes au fungiinfection kama candida.
Side effects ziko tofauti nimeshaorodhesha osteoporosis na high bloodsugar/diabetes juu lakini ukumbuke zinapatikana baada ya matumizi ya muda mrefu na nyingine ziko kwenye picha niloiweka.
View attachment 236146
Dawa hii inatumia kutibu magonjwa mengi mno kuanzia astma/chronic obstructive pulmonary disease,allergies,reumathoid arthithis,mpaka cancer(in combination with other drugs).Kama ilivyo kila dawa kuna faida na kuna hasara.Tukipata tiba tunaipa kipaumbele afya yetu na ugonjwa unaotukabili.Side effects zina variety na ziko individual si kila mtu atapata athari nilizoorodhesha ila ni possibilty.Usiache kutumia dawa bila kushauriana na watu wa afya.Uwe na siku njema.

Kwa hiyo doctor,

Ukiacha kumeza hizo dawa,hizo side effects kwenye picha zinaendelea kuwepo milele? au zinapotea baada ya kama m gani?

Kuna mwanafamilia ana-allergy na alipewa hizo dawa Bugando 3rd year now anazitumia.

Thanks.
 
Kwa hiyo doctor,

Ukiacha kumeza hizo dawa,hizo side effects kwenye picha zinaendelea kuwepo milele? au zinapotea baada ya kama m gani?

Kuna mwanafamilia ana-allergy na alipewa hizo dawa Bugando 3rd year now anazitumia.

Thanks.
Inategemea na aina ya side effect iliyokupata.Na si watu wote wanapata side effect sawia.Athari nyingine zinatibika na nyingine inabidi ujifunze kuishi nazo na uishi kwa tiba ili kuboresha afya.
 
Doctor samahani mfano mtu una matatizo ya tumbo kujaa gesi mpka wakati mwingine usagaji wa chakula ni taabu au ukienda wajampa tuu lkn choo hakitoki au kinatoka kinyesi kigumu kama jiwe na kidgo! Wakati mwingi huendi haja Kubwa kwa siku4 wakati huo tumbo limeja mpka kero.dawa zipi zinasaidia?
 
Dawa ipi nzuri zaidi kupunguza uric acid mwilini?
Kuongezeka kwa uric acid kunasababisha Gout dawa zinazoweza kutumika ni Group ya NSAID´S mfano naproxen na kama unapatwa na muongezeko wa uric acid mara kwa mara inaweza kutumika allopurinol.
 
Doctor samahani mfano mtu una matatizo ya tumbo kujaa gesi mpka wakati mwingine usagaji wa chakula ni taabu au ukienda wajampa tuu lkn choo hakitoki au kinatoka kinyesi kigumu kama jiwe na kidgo! Wakati mwingi huendi haja Kubwa kwa siku4 wakati huo tumbo limeja mpka kero.dawa zipi zinasaidia?

Soma post za nyuma kuhusu irritable bowel syndrome. Kama unatatizwa na gesi baadhi ya muda unaweza kutumia simeticone au dimeticone!
 
Dawa Ni kutafuta mwanamke mwenye uchi mdogo..automatically uume utakuwa mkubwa

Kumbe wewe mwenyewe mgeni, hujui kuhusu Mazoezi ya kuongeza uume? Ya asili na yasiyo na madhara yoyote, hata ukitaka uwe kama punda unaweza
 
Hellow wapendwa,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!

Karibuni sana..
nini madhara ya kukaa na bikra mpak umr wa miak 21???
 
habari zenu wanajf wote...
Doctor naomba msaada wako katika swala lifuatato

mwanamke kafanya mapenzi akiwa katika period ya menstruation sasa damu zinakata mara baada ya siku kadhaa zinatoka tena na inakuwa mara kwa mara ..... je kunanjia ya kuliondoa tatizo hilo?

kama ndio ni kwa namna gani?
msaada wako tafadhali
Nice time Doctor
 
Back
Top Bottom