Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Tnx sana Dr kwa ushauri..God bless u
 
gorgeousmimi -- nini kinachosababisha wanawake wengi kuota ndevu siku hizi. Je ni aina ya vyakula? na tiba ya kuondoa hizo ndevu kwa wanawake ni nini?
 
Last edited by a moderator:
gorgeousmimi -- nini kinachosababisha wanawake wengi kuota ndevu siku hizi. Je ni aina ya vyakula? na tiba ya kuondoa hizo ndevu kwa wanawake ni nini?
Muongezeko wa hormone za kiume testosterone au hormone imbalance.

Nimefafanua zaidi kwenye post za nyuma kwenye PCOS (polycystic ovary syndrome) na nyingenezo.
 
Last edited by a moderator:
Dawa ipi nzuri zaidi kupunguza uric acid mwilini?
 
Dawa ipi nzuri zaidi kupunguza uric acid mwilini?
 
Kwa hiyo doctor,

Ukiacha kumeza hizo dawa,hizo side effects kwenye picha zinaendelea kuwepo milele? au zinapotea baada ya kama m gani?

Kuna mwanafamilia ana-allergy na alipewa hizo dawa Bugando 3rd year now anazitumia.

Thanks.
 
Inategemea na aina ya side effect iliyokupata.Na si watu wote wanapata side effect sawia.Athari nyingine zinatibika na nyingine inabidi ujifunze kuishi nazo na uishi kwa tiba ili kuboresha afya.
 
Doctor samahani mfano mtu una matatizo ya tumbo kujaa gesi mpka wakati mwingine usagaji wa chakula ni taabu au ukienda wajampa tuu lkn choo hakitoki au kinatoka kinyesi kigumu kama jiwe na kidgo! Wakati mwingi huendi haja Kubwa kwa siku4 wakati huo tumbo limeja mpka kero.dawa zipi zinasaidia?
 
Dawa ipi nzuri zaidi kupunguza uric acid mwilini?
Kuongezeka kwa uric acid kunasababisha Gout dawa zinazoweza kutumika ni Group ya NSAID´S mfano naproxen na kama unapatwa na muongezeko wa uric acid mara kwa mara inaweza kutumika allopurinol.
 
Soma post za nyuma kuhusu irritable bowel syndrome. Kama unatatizwa na gesi baadhi ya muda unaweza kutumia simeticone au dimeticone!
 
Dawa Ni kutafuta mwanamke mwenye uchi mdogo..automatically uume utakuwa mkubwa

Kumbe wewe mwenyewe mgeni, hujui kuhusu Mazoezi ya kuongeza uume? Ya asili na yasiyo na madhara yoyote, hata ukitaka uwe kama punda unaweza
 
nini madhara ya kukaa na bikra mpak umr wa miak 21???
 
habari zenu wanajf wote...
Doctor naomba msaada wako katika swala lifuatato

mwanamke kafanya mapenzi akiwa katika period ya menstruation sasa damu zinakata mara baada ya siku kadhaa zinatoka tena na inakuwa mara kwa mara ..... je kunanjia ya kuliondoa tatizo hilo?

kama ndio ni kwa namna gani?
msaada wako tafadhali
Nice time Doctor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…