Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
- Thread starter
-
- #721
Leo nimekutana na ma-chief wa surgical wame-suspect itakuwa ni kyphosis baada ys kuisoma x-ray tena,so nimeshauriwa kupta physio therapy kuchua diclofenac na kumeza ibuprofen.Je,yaweza kusaidia zaidi...
hapo tumekwenda sawa mumie thanks.
inapendeza kuona mtandaoni tunaweka mijadala kama hii inatufanya tupate elimu ya kutosha kwa njia bora zaid
Nini madhara ya ultrasound Kwa mama mjamzito?
Ndio zitakupunguzia maumivu na inflammation.Kila la kher.
Jinsia yako?muwasho una muda gani?kama ni mwanamke unatoka vitu kama machicha ukeni?Kuna harufu yoyote?Naomba kujua dawa ya kutibu muwasho sehemu za siri
Rudi post nr. 542 page nr.28Mmba wa ngozi unaojirudiarudia
Naomba kufahamu hili tatizo ni nini na tiba yake, ninapokua kwenye jua mwili huwaashwa au mwili ukichemka mfano baada ya kukimbia linakuja ilo tatizo la kuwaashwa na vipele flani hivi ukivipasua vinatoa majii baada ya muda baada ya mwili kupoa vinaisha na ule muwasho unaisha. Msaada please!!
Hellow Mrs. Rama Postinor 2 ni levonorgestrel(progestin hormone) ambayo tunayo mwilini.Kazi yake ni kuzuia kupevushwa(ovulation) kwa yai.ivi nini athari ya P2 au postanor katika mfumo mzima wa uzazi wa mwanamke.., na je inashauriwa kutumika mara kwa mara au inakipindi chake?
Hellow uyui kwetu,mkeo ana nyonyesha kama kawaida au anapata shida kunyonyesha?Ni vyema mkaenda hospitali akachekiwe uvimbe alokuwa nao,mara nyingi unahusishwa na kansa ya matiti.mke wangu kajifungua ana siku 18 sasa ila wiki iliyopita ametokewa na uvimbe kwenye ziwa LA kulia kwa ndani. nn tatizo na tiba yake pls georgeousmimi
Usitumie sabuni kali kunawia ukeni,Tumia maji safi na ni vyema ukitafuta sabuni yenye pH ya 3,5 na nguo zako za ndani ni vyema ukizifua na sabuni isiyo na harufu,hakikisha zinakauka vizuri na usivae nguo za ndani zinazobana sana.Jaribu hayo kwanza.Kike,muda mrefu, hautoi machicha na hauna harufu.
Ni vyema ukienda kuchekiwa sikio na specialist mkuu nina wasiwasi una matatizo kwenye ngoma ya sikio.Mkuu habari yako na wanajamii forum wenzangu Mie nina tatizo linalonisumbua ni kelele kusikika sikioni mwangu.kama wale wadudu wanaolia usiku