Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
- Thread starter
-
- #741
Mkuu hosp ndio wanampatia tiba mtu aliyeungua,Ukipatwa na deep burning upasujani ni lazima ufanyike ili kujaribu kuliziba eneo liloungua,deep burning inasababisha layers zote za ngozi zinakuwa zimeungua.Naomba kujua ni tiba IPI nzuri kwa mtoto aliyeungua na maji ya moto Sana kwenye mguu wake. ( very deep Barning)
Usitumie sabuni kali kunawia ukeni,Tumia maji safi na ni vyema ukitafuta sabuni yenye pH ya 3,5 na nguo zako za ndani ni vyema ukizifua na sabuni isiyo na harufu,hakikisha zinakauka vizuri na usivae nguo za ndani zinazobana sana.Jaribu hayo kwanza.
Hellow uyui kwetu,mkeo ana nyonyesha kama kawaida au anapata shida kunyonyesha?Ni vyema mkaenda hospitali akachekiwe uvimbe alokuwa nao,mara nyingi unahusishwa na kansa ya matiti.
Ana inflammation kwenye ziwa,hii inaweza kutokana na kutonyonyesha kwa ziwa hilo na kusababisha maziwa kuchacha na vijidudu(bacteria) kutawala.ananyonyesha ila tatizo lilipotokea hanyonyeshi tena ziwa hilo lenye uvimbe
Usitumie sabuni kali kunawia ukeni,Tumia maji safi na ni vyema ukitafuta sabuni yenye pH ya 3,5 na nguo zako za ndani ni vyema ukizifua na sabuni isiyo na harufu,hakikisha zinakauka vizuri na usivae nguo za ndani zinazobana sana.Jaribu hayo kwanza.
Rudi post nr. 391,ukurasa wa 20.Ahsante sana kwa ushauri. Bado naomba msaada zaidi wa kujua aina za sabuni ambazo hazitoi harufu. Na, je, sabuni zenye ph ya 3.5 ndio zipi? Sijaelewa kabisa hapa. Ahsante.
Ni vyema ukienda kuchekiwa sikio na specialist mkuu nina wasiwasi una matatizo kwenye ngoma ya sikio.
Hellow Sukari Yenu,AZT au ARV hufanyaje kazi mwilini? Na nn side effects zake?
Na je, kipi bora kutumia ARV au kutumia njia nyingine za kuimarisha kinga ya mwili?
Hello pazimanian devil,Una tatizo linaloitwa MILIARIA CRYSTALLINA.Msaada tafadhali
Ana inflammation kwenye ziwa,hii inaweza kutokana na kutonyonyesha kwa ziwa hilo na kusababisha maziwa kuchacha na vijidudu(bacteria) kutawala.Kuvimba na eneo hilo kunaweza kusababishwa na vitu tofauti kimojawapo ni kwamba kuna sehem katika mfumo wa utengenezaji wa maziwa upo blocked,hali hii isipotibiwa inaweza kusababisha mkusanyiko wa usaha(jipu) kwenye tissues(breast abscess).Ni muhimu kama hanyonyeshi ajaribu kulikamua hilo ziwa kila baada ya masaa mawili na hakutakiwa aache kunyonyesha kwa ziwa hilo,angeendelea kunonyesha ni njia mojawapo ya uponyaji,kizuizi pekee cha kuacha kunyonyesha ni kama angelikuwa na breast abscess iliyotunga usaha na usaha unatokea kwenye ziwa .Ili kujichunguza kama ana usaha kwenye uvimbe ajaribu kukamua ziwa kwenye kipande cha pamba akiona kuna mchanganyiko wa usaha na maziwa ndio angepaswa aache kunyonyesha na kupatiwa anitbiotic cure.Muhimu asiache kujichunguza hilo ziwa na kama huo uvimbe upo muda mrefu anapaswa aende hospitali akafanyie utafiti wa kina.
Koo linawasha tu au linaaambatana na kikohozi/kifua?Je sauti nayo ni kavu?Gorgeousmimi naomba uniambie nna tatizo gani. Koo linawasha kwa muda sasa hata nikinywa dawa za kikohozi no changes. Nilifanya check up niambiwa choo kichafu,nikatumia dawa but again no changes. Nikapima kipimi cha ESR na kutumia dawa pia. No changes at all! Help me plse!
Unavuta sigara?Kama unavuta utakuwa na ugonjwa unaoitwa Chronic obstructive pulmonary disease.Linaambatana na kikohozi na makohozi mengi asubuhi nnapopiga mswaki. Sauti haijabadilika!
Hello mtoto wa miezi minne anaweza kutumia prunes juice au mixture.Ikishindikana mpe 1-2ml duphalac kwa siku mchanganyie na maziwa kwa siku 3-4 asipokuwa na nafuu muongezee upto 6ml per day kwa muda wa wiki.Nina mtoto ana umri wa miezi 4, anatatizo la kutopata haja kubwa. Toka tatizo hilo linampata ni siku mbili zimepita. Nimekwenda hosptali wameniambia hana tatizo lolo, na mtoto hajachemka ana joto la kawaida, ila analialia sana. Tafadhali naomba msaada wako.