Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
- Thread starter
-
- #761
Hello Gilbert Lekelaho,Neurobion ni multivitamin tablets yenye supplements za Vitamin A ,Vitamin C,Vitamin D,Vitamin E ,Thiamin (B1) Riboflavin (B2),Niacin ,Vitamin (B6), Folate ,Vitamin B12 na Fluoride (as sodium fluoride).Hv Nurobion zinatibu nin na matumizi yake yakoje kadhalika nn dawa ya kufa ganzi kwa mikono na miguu
Human Papilloma Virus ni ugonjwa unaotokana na maambukizi ya virusi.Virusi hawa wamegawanyika kwenye group la virusi 120 ambao wanaweza kusababisha warts kwenye maeneo tofauti ya mwili kama vidoleni, miguuni n.k virusi 40 wa kundi hili wanaambukizwa kupitia kwenye sexual contact.human papilloma virus , je ugonjwa huu unatibika , na je chanzo chake nini??
Samahani dr, nina mtoto wa miezi mitatu anatatizo la kushtuka mara kwa mara akilala, tatizo hilo linatatuliwaje? Asante
Tatizo lako haliponyeki mkuu,tiba tayari unayo na ni miwani!mimi kijana wa miaka 28 nina tazizo la kutoona mbali kwa sasa natumia miwani naweza pata tiba au nifanye nini ili nipone?
Inategemea na ukubwa wa hivo vinyama njia tofauti zinaweza kutumika mojawapo ni upasuaji na njia nyingine ni cortocosteroid kutibu eneo hilo locally au systemic so aidha ni prednisolon tablets au mometasone/budesonide nasal spray.Halo Daktar,hili tatizo LA nyama za pua kusababisha MTU kukoroma sana nyakat za usiku ni Nn tiba yake
Hellow alec4ril,Docta mimi nina tatizo la sikio upande wa kushoto,ilitokea tu wakati nimekaa basi hali ya km sikio moja linapoga kelele kama ya mluzi ivi!nilipojaribu kuziba la upande wa pili nikahic kelele nyingi kwenye sikio la kushoto na sikuweza kusikia kabisa mpaka hii leo nasikia kelele nyingi tuu bila sikio la upande wa kushoto kusikia kitu chochote!Naomba msaada wako doctor nifanyeje ili niweze kusikia tena
Kutapika nyongo kunasababisha kupatwa na kichefchef.Ukipiga mswaki usijisugue ulimi mpaka ujihisi kutapika.Dr tatizo langu nikiamka asubuhi nikiwa ninapiga mswaki huwa napata kichefuchefu na kuanza kutapika hadi nyongo NB mimi ni
wanaume na nimeshawahi kwenda hospita dr. akaniambia itakuwa minyoo nimetumia dawa nyingi bila mafanikio
Kwanini unampa mtoto antibiotics na dawa za minyoo wakati ana joto tu?Joto ni dalili ya homa(fever).Samahani doctor mm mwanangu anakuwa anapata joto sana nimejaribu kutumia dawa hzi hapa amoxillin dry suspension na ya minyoo alatrol syrup lakn bado anajoto
Njia pekee ya kuepuka malaria ni kutokungatwa na mbu.Dr. mke wangu anatatizo la malaria ya kujirudia mara kwa mara tena inakuwa juu sana, huwa anachomwa sindano za quinine alafu anameza panado. Nifanye nin dr. maana tunazngatia dozi vizuri tu na tumetumia ha mseto na sp pamoja na kutumia chandarua lakin tatizo linajirudia. Naomba msaada wako please!!