jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,760
- 1,580
Umejaribu tiba gani?Unahitaji tiba ya fluconazol/diflucan.Una Osophageal candidis.nini dawa ya fangas wa koo ambao wako kwa muda mrefu.Na je wanaweza sababisha kupooza kwa mikono na miguu.Na misuli kukaza
hapo tumekwenda sawa mumie thanks.Ingekuwa ni vizuri kama mhusika angefunguka zaidi kuhusu psoriasis inayomkabili na tiba alizopata mwanzo ili apate ushauri yakinifu mimi nimeorodhesha tiba tu zinazoweza kutumika in general lakini ofcoz kuna regime ambayo inatakiwa ifatwe.Kwasababu kuna vidonge na topical treatment.
Psoriasis ni chornic inflammatory skin condition inaweza kusababishwa na betahemolytic streptococcus(bacteria) au hata dawa kama (betareseptorantagonists,lithium au cloroquine),Inaworsen mtu akiwa na stress.
Ndio kuna deodorants zenye aluminium chloride(AlCl[SUB]3[/SUB]).Jaribu kutafuta hio utumie au njia nyingine ni sindano za botox!!Mkuu niliwahi kusikia kuna dawa za kupunguza excessive under arm sweating, kuna ukweli?kama ni kweli ni dawa gani? Au unashauri nini? Ni excessive ambayo haiwezi kuzuiwa na deodorants, na hakuna harufu yoyote, haichagui baridi wala joto
Condolyine/Wartec(active ingredient ni podophyllotoxin) na formulation ni liniment!Liniment ni kama suspension yenye sedimentation.Inajitenga inakuwa chini kwahio lazima utikise chupa kila wakati kabla ya matumizi ili kupata homogenous mixture!Nini dawa ama Gel sahihi kwa genital warts?
Samahani mkuu sitoweza kujibu swali lako uloliuliza na nina sababu kadhaa nitakazokuainishia kama vielelezo.
Niko against ACTIVE DEATH so sitojihusisha na suala hilo in any matters!
- Sijui unataka kujua kuhusu lethal injection kwaajili gani na kwa dhamira gani,you could be suicidal na mimi kukujibu naweza kuwa ndo nakupa tiketi ya kujimaliza au wengine wenye dhamira hio kuitekeleza.
- Jinsi itakakavyo athiri watu hapa JF doctor,kwasababu kuna watu wa aina tofauti na wenye utawa tofauti wa kufikiri!Utanisameh kwa hilo!
suleyman100 mba kwa lugha ya kitaalam ni seborroheic dermatittis inasababisha na fungi(malassezia furfur) tulokuwa nao mwili wakioverproduce.Dawa ya mba kwenye nywele ni ipi???
Fahari kwa JF !!
Dr. gorgeousmimi thankful kwa kujitolea, Niepuke na vyakula/dawa gani zinazoweza trigger uvimbi (tumor) sehemu mbalimbali au popote !!
Ubarikiwe..
Benzoylperoxide with kombination of clindamycin!Je? kuna dawa gani inayoweza kutibu vijipele kama vichunusi katika ngozi?
zaidi ya ampiclox au kuna dawa gani mbadala wa grisiofulvin?(ya fungus)?
katika hizo ipi ni ya vijipele na ipi ya fungus?benzoylperoxide with kombination and clindamycin!
Ni ya chunusi/acne vulgaris ambayo husababishwa na bacteria!katika hizo ipi ni ya vijipele na ipi ya fungus?