Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
- Thread starter
-
- #801
Umechomwa vibaya sindano!!dr tatizo langu niliumwa malaria nikachomwa sindano kwenye makalio inauma yapata mwezi sasa nakusababisha msuli kukaza nakuuma mno kiasi cha kushindwa kukaa
Nenda kacheki kisukari!doctor mimi nikinywa maji daaba ya kama saa 1au 2 naenda haja ndogo mara kwa mara kulingana na kiasi cha maji nilichotumia je hii ni kawaida au kuna tatizo?
Kama damu yako ina sukari nyingi umechekiwa kisukari?Unapata tiba yoyote ya ugonjwa wa kisukari?Helo Dr Nina tatizo.LA kutoka majipu kwenye kwapa tumboni maziwa mapajani ,nshatumia dawa nyingi kama antbiotic,antallegy lkn yanaenda yanarudi je nifanyeje ,Dr aliniambia damu yangu ina sukari.nyingi.
Hamu ya tendo la ndoa linahusisha vitu vingi kama uzalishaji wa homoni ya estrogen, nerve stimulation ya kwenye eneo la uke na vichocheo tofauti kwenye ubongo ambavyo vinasababisha muongezeko wa msukumo wa damu kwenye eneo hilo ambalo hupunguza muscle contraction kwenye uke na muongezeko wa vilainishi ambayo vinachochea ham.low sex drive kwa mwanamke nini solution,kukosa ham kabisa ya mapenzi
Tiba sahihi ni hio uloshauriwa na daktari.Kila la kheriDoctor mie nina tatizo la kusikia kichefu chefu Wakt wa period pia mgogoro kuuma ili tatzo limeanza siku iz tu hosp nilienda nikaambiwa mirija ya uzazi imeziba na kwa sas nahitaji mtot sana doctor ni tiba gan ya mirija ya uzazi tofaut na operation nisaidie doctor ninahitaj san mtot NB.nimeolewa
Tumia scheriproct supp au ointment.Supp weka mara moja kwa siku kwenye sehem ya haja kubwa.Naomba unisaidie tiba ya kuzuia kutokwa na vijinyama(rectum) wakati wa haja kubwa (BAWASIRI).
Eneo gani la ngozi?Habari Mtaalamu.Napenda kufahamu ni Anti - Fungal gani nzuri kwa ngozi . Maana nyingine Zinachubua . (kwa ugonjwa Wa Mba wa Ngozi )
Eneo gani la ngozi?
Hello,Sildenafil inaweza kusababisha presha ya kupanda kama athari ya dawa.Vilevile kuna baadhi ya watu ambao hupatwa na hali kama yako ya presha kupanda au maumivu kwenye moyo baada ya tendo.Doctor mimi tatizo lango ni presha ya kupanda ambayo imenipata baada ya kutumia vidonge vya kuongeza nguvu za kiume"CUPID"kabla ya hapo ckuwa na tatizo hilo.nimekwenda kupima hospitl majibu yametoka cna kisukari wala lehemu lakini moyo unanisumbua sanaPresha hupanda ghafla lakini hata dakika moja haifiki inarudi kua kawaida.ushauri wa doctor anasema ni hormones imbalance kwa sababu hivyo vidonge kazi yake ni kuboost hormones.umri wangu ni miaka 48.nisaidie tafadhali moyo unanitesa saana hata kuendesha gari nimeacha kwa kuogopa kupata ajali.masuala ya kitandani niko vizuri tu hata mara 3 kwa ucku mmoja ninaweza kufanya.
Eneo gani la ngozi?
Tumia bethamethasone ointment,paka mara 2 kwa siku kwa muda wa wiki nne.Ni vyema pia ukijaribu kustep down wiki za mwisho.Mimi nnao mgongoni
Unatakiwa upatiwe tiba ya kisukari.Kuna aina mbili ya kisukari DIABETES TYPE 1 and 2.Ni muhimu ukijulikana una ipi ili kupata tiba sahihi.Wenye Diabetes type 1 hawana uzalishaji wa homoni ya insulin na wenye Diabetes type 2 wana uzalishaji wa insulin lakini yenye mapungufu au ya kiwango kidogo kutokana na sababu tofauti.Tiba zake ni tofauti vilevile.Je nifanyeje ss
Unatakiwa upatiwe tiba ya kisukari.Kuna aina mbili ya kisukari DIABETES TYPE 1 and 2.Ni muhimu ukijulikana una ipi ili kupata tiba sahihi.Wenye Diabetes type 1 hawana uzalishaji wa homoni ya insulin na wenye Diabetes type 2 wana uzalishaji wa insulin lakini yenye mapungufu au ya kiwango kidogo kutokana na sababu tofauti.Tiba zake ni tofauti vilevile.
Vidonge vinne kwanza,vidonge vinne baada ya masaa 8,ikisha vinne kila baada ya masaa 12 mpaka viishe.Hizi dawa za mseto zimeandikwa day1 zimekaa 4, day2 zimekaa 4 na kuendelea lakini hosp. Wanasema unameza nne kwa mara moja, maana yake kwa siku 8, sijaelewa hapo doctor
Hello,Sildenafil inaweza kusababisha presha ya kupanda kama athari ya dawa.Vilevile kuna baadhi ya watu ambao hupatwa na hali kama yako ya presha kupanda au maumivu kwenye moyo baada ya tendo.Dawa hii inapaswa itumike kwa umakini kwatu wenye matatizo ya moyo hasa ambao walikuwa na preexisting cardiovascular problem(hyphertrophic cardiomyopathy).Ni vyema ukaonane na specialist wa masuala ya moyo ili uchukuliwe EKG na vipimo vingine na upate tiba sahihi ya tatizo lako.