Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
- Thread starter
-
- #821
Hellow conductor,Its miss....Kifafa ni ugonjwa usojulikana hasa chanzo chake,Unaweza kuupata kutokana na kurithi,ugonjwa huu unasababisha mtu kupata seizures kutokana na disturbance kwenye cerebral functions na hali hii inaweza kuathiri pande zote mbili za ubongo .Ni kawaida kwa watoto kupatwa na ugonjwa huu unaanzia kwenye umri wa utoto na wazee wenye umri mkubwa.Kwa watoto huanza na kupatwa na homa ya degedege.Mr.George!, Hongera sn kwa kipaji cha ualimu,Swali; KIFAFA ni nini Inatibikaje Umri gani upatwa na KIFAFA Malyenge ni ugonjwa? Nitashukuru.
| Partial seizure | First choice drugs | Second choice drugs | Third choice or additional treatment |
| With and without consiousness | Carbamazepin Lamotrigin | Levetiracetam Valproat Topiramat Gabapentin | Pregabalin Fenytoin Felbamat Retigabin Eslicarbazepin Vigabatrin Perampanel |
| Generalized seizure | |||
| Tonic-clonic | Valproat Lamotrigin | Carbamazepin Topiramat | Levetiracetam Fenytoin |
| Myoclonic | Valproat | Levetiracetam Topiramat | Lamotrigin Clonazepam |
| Absense | Valproat | Lamotrigin | Topiramat Felbamat Rufinamid |
Tiba ni upasuaji ili kuondoa tatizo kabisa.Nini tiba ya ngiri??
Akacheki Deep vein thrombosis!Dr habari?
Nina mke wangu huwa akisimama mda mrefu (1hr) miguu inavimba au hata kama akikaa muda mrefu miguu inavimba alishawai kwenda hospital akapima presha akaambiwa hana ila bado tatizo analo shida nin hapo Dr?
Rudi post 813 ukurasa wa 41!Dr. Tunashukuru sana kwa msaada wako hapa jamvini kiukwel inatusaidia watu wengi sana..Sorry bawasiri ikiwasha sana kuna dawa ya kuweza kupaka au kufanya isiwashe?Na nini matibabu haswa ya kuondoa kabisa bawasiri au hemmoroids pls
Doctor ninaomba kujua ni dawa gani ya kuondoa mba wa ngozi mwili mzima!?
Rudi post 813 ukurasa wa 41!
Akacheki Deep vein thrombosis!
Nashukuru kwa elimu unayotupatia na ufumbuzi kwa yale yanayotusibu kiafya. Ndugu mm nimekuwa nasumbuliwa na kipandauso(as commonly known) i.e kuumwa kwa kichwa hasa paji la uso hadi kwenye mashvu upande wa kulia na kulazimika muda wote niwe nimefumba macho. Nilifanya vipimo ila nilipewa dawa mbalimbali na kushauriwa ninunue miwani(kipindi hicho nikiwa nasoma). Lakini ugonjwa huu ulkuwa ukijitokeza bada ya mrefu kidogo. Na kipindi unapojitokeza dawa ya kunitibu ni HEDEX na si vinginevo. Ninachojiuliza ni:
- je! hamna dawa maalum ya kumaliza tatizo hili?
- je, hedex ninavyozitumia kila ninapopatwa na tatizo hili haziwezi kuniletea madhara mwilini?
- ni nini ushauri wako kwangu kuhusiana nakadhia hii?
Nasumbuliwa sana na kichefuchefu..dawa yake jeee...mi ni me sio ke
Tumia fungoral cream au hydrocortison ointment mara mbili kwa siku kwa muda wa wiki moja.Dawa ipi inatibu MBA usoni?