Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Kuhusu maumivu ya Vifungo vya miguu,huwa inatokea nikiamka Asubuhi kutoka kitandani,au nikikaa kwenye kiti muda mrefu,je ni Dawa yake
 
"Gynexin" hii dawa kwa anaeijua vizuri naomba atuambie inatibu nini haswa
 
Jina nililonalo ni gynoxin sijui kama tunaongelea kitu kimoja mkuu.
 
Inatibu ngozi iliyoharibika kwenye uke kutokana na menopose. Unatakiwa kupaka mara moja kwa siku kila siku hasa jioni,jinsi matibabu yanavyoendelea paka mara moja kwa wiki. Ina madhara kama itatumika kwa muda mrefu, moja ya madhara ni kuongeza sukari mwilini pia inaongeza chances za breast cancer.
 
Hujaeleza kuwa unavyo chat wakati gani? kama ni usiku kwenye giza au muangaza? kunywa supu ya mchicha au juisi ya karoti kwa wingi itakusaidia tengeneza mwenyewe usinunuwe juisi za Maboksi hazifai. Maumivu yakizidi kamuone Daktari.
Hg
habari! ningependa jua dawa ya kuondoa makovu ?

Nina UTI KILA NIKIPEWA DAWA NAAMBIWA NILUDI BAADA YA SIKU KAZAA NIKILUDI NAPIMWA NAAMBIWA BADO NINA UTI DAWA NAMALIZA SHIDA NN
 
DR Naomba msaada wa kitabibu nimekuwa nikisumbliwa na gas tumboni kwa muda mrefu,
nilipofuatilia vpmo nikabainika nina vidonda vya tumbo vilivyo ambatana na 1.acidity na 2. H.Pylori bacteria
nikapewa dawa za h. pylor kit na omeprazol
nmepata nafuu. ila nahitaji kupata dawa hasa ya kupunguza acid mwilin mwangu maana kila nikipima naambiwa nina acid nyingi.
msaada wako tafdhali
 
gorgeousmimi, ahsante sana! natamani watu wenye taaluma kubwa na uelewa kama wako wangekuwa na roho nzuri ya kusaidia na kuelimisha kama wewe! Mungu akuzidishie!
 
Naomba kuuliza na ushauri.Mimi ni kijana mwenye umri Wa miaka 26 Tangu mwaka Jana nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kifua kuuma has a kipindi cha baridi, he tatizo ni man's zaman hii hali sikuwa NATO imeanza tu mwaka Jana, Na nitumie dawa gani ili nipone,Niko Mwanza
 
Sasa Mkuu kama ukishatapika utarudia doz ama utafanyaje, Help Wakuu!
 
familia yangu wote wanakohoa dawa ni ipi

kichanga cha miezi mitano kinakoho dawa kamepata, bado kikohozi
 
Samahani mkuu mm nnatatizo la kuumwa korodana sana Mara kwa Mara nliwah kuenda hospital lkn dct akaniambia nna natatizo ya kisaikolojia kitu ambacho kmenkatsha tamaa naomba msaada /ushaur wako
Mkuu nenda kafanye kipimo kuumwa korodani sio tatizo dogo kama unavyozania wakati mwingine madokta utumie uzoefu kuliko vipimo
 
Naomba kujua dawa ya degedege ambalo kwa watoto wadogo kuanzia miaka 5 kushuka chini
 
Mm nna tatizo la kuwashwa na macho sanaaa yanawasha najikuna mpaka na nguo yanakuwa yanvimba sana mekundu pia yanamwagika machozi na nikiangalia mwangaza kama Tv laptop simu yanamwagika machozi yanaweza kufika cku 3 yanawasha baadhi ya cku yanatoka vipunye tatizo nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…