MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Mm nna tatizo la kuwashwa na macho sanaaa yanawasha najikuna mpaka na nguo yanakuwa yanvimba sana mekundu pia yanamwagika machozi na nikiangalia mwangaza kama Tv laptop simu yanamwagika machozi yanaweza kufika cku 3 yanawasha baadhi ya cku yanatoka vipunye tatizo nini
am sure hyo ni allergy mi imeishi hyo toka maka 2000 imevaa lens zooote ndo nimekuja jigundua mwaka huu nina pumu kali sana maana hua nakohoa mby dk aliponiona tu akaniambia hayo macho ndo pumu hyo akaniandikia sindano 1 inaitwa deprofos uwi toka hapo jicho jeupeee najuta sikua najijua nilikua nakimbialia kwa madk wa macho mxieww kumbe pumu...jiangalie inakutokea muda gan...lazima utaona kuna visababishi,mimi ni mawingu na mvua na nguo ambazo zikokabatini za muda refu marufuku nenda hospt pole sana...