Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Mm nna tatizo la kuwashwa na macho sanaaa yanawasha najikuna mpaka na nguo yanakuwa yanvimba sana mekundu pia yanamwagika machozi na nikiangalia mwangaza kama Tv laptop simu yanamwagika machozi yanaweza kufika cku 3 yanawasha baadhi ya cku yanatoka vipunye tatizo nini

am sure hyo ni allergy mi imeishi hyo toka maka 2000 imevaa lens zooote ndo nimekuja jigundua mwaka huu nina pumu kali sana maana hua nakohoa mby dk aliponiona tu akaniambia hayo macho ndo pumu hyo akaniandikia sindano 1 inaitwa deprofos uwi toka hapo jicho jeupeee najuta sikua najijua nilikua nakimbialia kwa madk wa macho mxieww kumbe pumu...jiangalie inakutokea muda gan...lazima utaona kuna visababishi,mimi ni mawingu na mvua na nguo ambazo zikokabatini za muda refu marufuku nenda hospt pole sana...
 
Habari za wakati huu!mimi nina tatizo la kuwashwa sana wakati wakujifuta maji mwilini ninapotoka kuoga na ni tatizo la muda mrefu sana sijui nini tatizo alafu pia nahtaji kujua dawa nzuri ya kuondoa matango tango mwilin.
 
am sure hyo ni allergy mi imeishi hyo toka maka 2000 imevaa lens zooote ndo nimekuja jigundua mwaka huu nina pumu kali sana maana hua nakohoa mby dk aliponiona tu akaniambia hayo macho ndo pumu hyo akaniandikia sindano 1 inaitwa deprofos uwi toka hapo jicho jeupeee najuta sikua najijua nilikua nakimbialia kwa madk wa macho mxieww kumbe pumu...jiangalie inakutokea muda gan...lazima utaona kuna visababishi,mimi ni mawingu na mvua na nguo ambazo zikokabatini za muda refu marufuku nenda hospt pole sana...
Sasa hivo vitu ulivonavo vyote nnavo pumu sugu wasuguru lens navaa flue daily kwa allergy pumu ya ngoz nnayo pia ila ndo ivo
 
mimi toka mdg nakumbuka nilikua nakohoa sana nashangaa madk walishindwa jua ansumbuliwa na nn imagin nikapimwa had tb mxiew..eti ikaonekanan nakula sana barafu nikaacha wapiiii yaan mie nimeteseka kweli nimekuja jua may hii kuwa nina pumu yaan hvhv km unavosema ww ...yaan sijaawashwa macho toka hyo may 5.2017..ila hali ikibadilika nakimbilia imhaler natulia...otherwise najihis nkupona80%
itafute inaitwa deprofose
 
Sasa mm ttzo langu ni izo dawa nina allergy nazo navimba uso na macho na flu km nimetiwa hamira wiki nzima mpk nitumie panadol au nipate mtaalamu wa side effects ndo nile dawa zake ila kunnua tu nikala ni sheda
 
me dk ameniambia nimeathirika mfumo mzima wa upumuaji akanishauri niend KCMC kuna special dk wa upumuaji...km unaweza nenda mm nitaenda nxt month...pole mno mi had wanja niliacha kuapply nikahis nao ni chanzo inatesa sana pumu jaman
pole
 
SAMAHANI DOCTOR, mimi ninawashwa sana kichwani lakini pia mala nyingi hua natumia super black. je yaweza kua chanzo na tiba ni nini
 
Naomba msaada wa kutatua tatizo langu nina mafua yasiyoisha(chronic) pamoja na pua kuziba nimeenda kwa Doctar wa ENT akanipa dawa hiz
Diprofos injection
Cetirizine
Avamys spray
Dawa hizo nimetumia lakini tatizo halijaisha
 
mimi sio mtaalam lakini ww una pumu au mzio(allegy) wanaita angalia ni nmuda gan inakutokea then jitahid kukaa mbal na hizo ishu,
 
20170613_201431.jpg
 
Je huu ni ugonjwa gani huyu mtoyo ana miaka 7 na aliugua sana alipokuwa mdogo je hii ni ukosefu wa madini gani mbona kucha zimepasuka hivyo na nyingine ziko kama virungu?
 
Attachments

  • 20170613_201408.jpg
    20170613_201408.jpg
    38.1 KB · Views: 181
Nasumbuliwa na hedhi kuchelewa kutoka baada ya kuchoma sindano ya Diprofos. Nimekuja kupata hedhi ambayo haitoki nyingi pia imachukua mda mrefu haiishi. bado naona ina vuja kidogo kidogo, naomba msaada
 
Doctor naomba kuuliza nini madhara ya kuwa na kiwango kikubwa cha cholesterol (mfn 256)
 
Back
Top Bottom