Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Shukran mkuu
 
Walimpa Metro na kumchoma Sindani gani?????

Kama walimpa Metronidazole vidonge na Kumchoma sindano mostly ni Ceftriaxone lakini bado anachemka inawezekana kabisa Infection bado ipo kwenye damu ndio maana Homa haiishi. Sababu ni mtoto vizuri urudi nae hospital kuwaeleza hali halisi nenda na karatasi za matibabu ya awali hii itatoa muongozo mzuri kujua nini kilifanyika kabla.
 
Mara nyingi Chest pain ambazo zinamove kusambaa mpaka maeneo ya mikono huusishwa na ugonjwa wa MI means katika mishipa ya damu inayosupply damu kwenye moyo una shida hivyo moyo haupati Oxygen ya kutosha hii hupelekea misuli ya moyo kupata shida na kusababisha maumivu haya. Je ulishawahi kupea dawa yoyote????? Mfano Clopidogrel..Aspirin..Atorvastatin au Isosorbide Mononitrate????? Ulipotumia kulikuwa na improvement yoyote ile??

Vipimo ulivyofanya vingetosha kabisa Kuonesha kama kuna hili tatizo lakini wao walibase sana kwenye Moyo je Hawakufanya XRAY ya kifua kuangalia na mapafu???? Pia ningesema ni Pneumonia lakini lazima ungekuwa na Homa na kukohoa. Pole sana kiukweli ni changamoto
 
kupimani sh ngap boss?
 
Punyeto ina Psychological Effect zaidi na Physical effect kwa kiasi.

Unapozoea kupiga punyeto mwili huadapt na kujenga emotion zaidi kwenye punyeto kuliko Tendo la ndoa hivyo ukizoea sana punyeto hata ukimpata mwanamke ukiingiza kumwaga ni ndani ya muda mfupi sana pia inaweza isisimame tena as umezoea kupiga nyeto mara moja na ile sensation ya uke ni tofauti na mkono.

Lakini punyeto huathiri misuli ya penis sababu ya ule msuguano na pia unatumia nguvu sana unapotumia mkono kuliko ukeni. Physical effect huchukua muda mrefu kuonekana kuliko psychplogical effect ndo maana mtu ukiona una historia ya punyote ukajitahidi kuepuka vishawishi vya kupiga nyeto kama Kuangalia Picha Za Ngono bhasi mwili nao utaanza kugain slow slow experience mpya ya Sex na ile ya punyeto hupotea.
Dr napenda kujua kiafya punyeto ina madhara gan
 
G:
Naomba Kujua kama dawa hii 'Griseofulvin' kama inamadhara Ukiwa kwenye Dozi na Unatumia Kilevi.
 
habarini wadau natafuta dawa ya genital whatts na ndugu yangu yupo kijijini kazipata zinamtesa sana


mawazo mgando usije sema ni mimi
Atafute ki tyube kinaitwa Podoso,au aende kwa daktari atamwandikia dawa itakayomfaa
 
Samahani wadau ivi mama mjamzito akipata shida ya maumivu kohoni kuna sindano anapewa ili vikauke
 
Naomba dawa ya halitosis mkuu
Kunuka mdomo inawezekana Huswaki vizuri mkuu..!! Lakini pia tatizo hilo huletwa na kula viti kama vitu ambavyo vikiharibika hutoa hiyo harufu. Lakini hali hii Mara chache sana hasa kwa Watoto hutokana na KUPATA HOMAA KALII SANAA.. Piga mswaki sana mkuu tafuta dawa inaitwa Sensodyn itakusaidia zaidi
 
Samahani wadau ivi mama mjamzito akipata shida ya maumivu kohoni kuna sindano anapewa ili vikauke
Maumivu kohoni inategemean yamesababishwa na nini??? Inaweza kuwa infection ya koo au sababu ya Acid kupanda sana kooni na kuleta kiungulia bhasi huunguza koo na kuleta hii shida. So kujua chanzo chake ndo inakuwa njia rahisi ya kutibu. Mama mjamzito hatakiwi kunywa dawa ovyoo
 
G:
Naomba Kujua kama dawa hii 'Griseofulvin' kama inamadhara Ukiwa kwenye Dozi na Unatumia Kilevi.
UISNYWEE DAWA NA POMBEEEE...!! acha kabisaa kwani huwezi kuacha ulevi mpaka upone mkuu??? Utapata matatizo mengine yasiyo ya lazimaa. Pia kama una mpango wa kubebesha mimba mtu Griseovulvin sio dawa nzuri kutumia kwa mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…