Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Ganzi miguuno na mikono ni dalili ya Ugonjwa wa kisukari au pressure sometimes lakini pia upungufu wa vitamin flani kama Vit B hupelekea tatizo kama hili.. So kama huna hata moja ya matatizo hayo happ juu ebu jaribu kununua Dawa inatwa Pregabalin au Gabapentin na Vit B complex huwa ni dozi ya mwezi then ukishatumia angalia hali yako endapo hakuna mabadiliko inawezekana kuna Nerve damage au tatizo lingine kubwa so nenda hosp kafanyiwe vipimo ambavyo Dr atakuandikia
Ahsante kwa ushauri,ni vipimo gani vitanifaa hapo na gharama zake zikoje?
 
dokta habari naomba kuuliza ikitokea upo maabara ukameza au ukanywa potassium dichromate madhara yake huwa ni yapi kwa muda mfupi au mrefu
 
Doctor habari

Nina mtoto wa miez miwili ana tatizo la kutopata choo muda mwingine anavuka hata siku 5 tatizo ni nini?

Hua ananyonya tu
 
Kanywa kwa kiasi ganii??? Madhara yake yanataka kufanana na Allergic reaction ambayo ni Ngozi kuwashaa..vipelee na dalili za athma kama kupiga chafya sana na kukohoaaa. Lakini inaweza kudamage Maini na Figo sababu ni kama sumu na hii hutokea kama kalaa hii compound nyingi.

Cha muhimu nendeni hospital sababu dalili hizi zikianza zinaweza kuendelea mpaka hali kuwa mbaya..
dokta habari naomba kuuliza ikitokea upo maabara ukameza au ukanywa potassium dichromate madhara yake huwa ni yapi kwa muda mfupi au mrefu
 
Tatizo la Constipation kwa watoto wachanga ni Common sana lakini hutakiwi kuogopa wengine hukaa hata siku 5 na zaidii yotee hii ni kwa sababu mtoto hali vyakula vigumu na maziwa ya mama mengi yana nutrients zinazoweza kunyonywa zote hivyo kwa kunywa maziwa ya mama pekee mtoto hawezi kupata choo mara nyingi kama mtu mzima. Cha muhimu halii wala kuonesha dalili za maumivu kama ya tumbo.

USIMPE DAWA YOYOTE. labda ukiweza mfanyie kimassage flani simple tumboni na kumnyanyua vimiguu huku umemlaza kifudifudi kuongeza movement ya misuli ya tumbo.
Doctor habari

Nina mtoto wa miez miwili ana tatizo la kutopata choo muda mwingine anavuka hata siku 5 tatizo ni nini?

Hua ananyonya tu
 
Shukrani sana
Tatizo la Constipation kwa watoto wachanga ni Common sana lakini hutakiwi kuogopa wengine hukaa hata siku 5 na zaidii yotee hii ni kwa sababu mtoto hali vyakula vigumu na maziwa ya mama mengi yana nutrients zinazoweza kunyonywa zote hivyo kwa kunywa maziwa ya mama pekee mtoto hawezi kupata choo mara nyingi kama mtu mzima. Cha muhimu halii wala kuonesha dalili za maumivu kama ya tumbo.

USIMPE DAWA YOYOTE. labda ukiweza mfanyie kimassage flani simple tumboni na kumnyanyua vimiguu huku umemlaza kifudifudi kuongeza movement ya misuli ya tumbo.
 
Tatixo langu ni hilo kucha linangoka na kuota jingine pia nikilikata kuna harufu naisikia , haliumi kabisa nini tatizo lake
JPEG_20200925_170808_268844500.jpg

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
macho yangu yamekufaa sioni mbali hasa maandishi siwez kuyasoma kama kuna tiba mbadala? mnisaidie
 
Dr
Mwanangu ana miaka 4 hv na miez 7,
Majuzj aliugua ikawa ikfka jion anachemka na analalamika tumbo,

tukampeleka hspital alvyopimwa haja, na mkojo akakutwa ana wadudu tumbon waliwataja jina sikmbuk vzur jina la hao bakteria,

akapewa fragil na akaandikiwa sindano 5 amemalza,
alkuwa analalamika tumbo saiz haihs maumivu yyte ila ikifka jion anachemka sana ukmuulza nn knauma anasema hamna kitu. akipewa panadol anarecover baada ya muda tena usku anachemka

kapimwa malaria hana

Msaada wako Dr atumie dawa gan hapa maana duh!! huu mwendo panado kila muda sio inshu
 
Habari doctor na Wana ajf Mimi ni mwanamama wa miaka 27 ...toka mwezi wa tatu nikianza kupata tatizo la kuumwa na kifua eneo la katikati ya maziwa baaada ya kwenda hospital nikafanyiwa uchunguzi wa vidonda vya tumbo lakini havikuonekana baaadae nikaaanza kupata shida ya upumuaji kwa muda Sasa hivi limezuka tatizo la maumivu makali Sana upande wa kushoto wa kifua mpaka mkono wote wa kushoto unauma na wakati mwengine maumivu yanakuja mpaka bega la kulia kwa nyuma nishafanya vipimo vya moyo Kama ECG na ECO hospital karibu tatu kubwa morogoro lakini moyo inaonesha hauna shida ...madactar wakanipa rufaa kuja muhimbili huku Napo nikafanyiwa ECO lakini haikuonesha Kama ninashida nikafanya kipimo Cha mapafu na hpylol na full blood count lakin bado havioneshi Kama Nina tatizo......napata maumivu makali Sana na nimekosea muelekeo naomba kujua ili nitatizo gani na ipi tiba ya maradhi haya...asante
 
Macho yamekufa huoni mbali inawezekana ni tatizo la Lens za macho au pia inawezekana kuna shida kwenye part nyingine ya macho ili kupata majibu sahihi nenda Hospital utafanyiwa Test mbalimbali kama uwezo wako wa kutambua herufi na kusoma maneno flani kwa umbali flani then utapewa MIWANI inayokustahili.
macho yangu yamekufaa sioni mbali hasa maandishi siwez kuyasoma kama kuna tiba mbadala? mnisaidie
 
Back
Top Bottom