Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Dokta nashukuru kutuelimisha
Dokta Nina vichomi mwili mzima hasa ninapohisi njaa hata kidogo hii Hali unitokea,Na pia inakuwa kama ndani ya mifupa poa SA Nyingine mbavumi
 
Hydrocele inaweza kuondolewaa na Surgery ndogo tuu lakini pia Cause yake ni nini?? Inaweza kuwa ni Parasites so lazima pia upewe dawa ya kuwaclear hao minyooo...
So napata dawa
Hydrocele inaweza kuondolewaa na Surgery ndogo tuu lakini pia Cause yake ni nini?? Inaweza kuwa ni Parasites so lazima pia upewe dawa ya kuwaclear hao minyooo...
So napata dawa then nafanya surgery au nafanya surgery along side na dawa.na wapi nitapata wataalamu wa hili tatizo? (Hospital & doctor)
 
So napata dawa

So napata dawa then nafanya surgery au nafanya surgery along side na dawa.na wapi nitapata wataalamu wa hili tatizo? (Hospital & doctor)
Hapa kufanua Surgery hakukwepekii ili kutoa yale majii...!! Kuna hospital wanafanya ofcoz lakini lazima upewe dawa ili kuua ao parasites
 
dawa ya genita watts ni ipi wakuu
Tafuta Cream inaitwa Acyclovir...!! Alafu upate na Vidonge vyake kwa siku kumi tu..
Japo kuna dawa kali zaid kama vinekuwa sugu inaitwa Podophylin japo hii kuipata ni rare sanaa ..
 
Dokta nashukuru kutuelimisha
Dokta Nina vichomi mwili mzima hasa ninapohisi njaa hata kidogo hii Hali unitokea,Na pia inakuwa kama ndani ya mifupa poa SA Nyingine mbavumi
Kichomi ni dalili ya kuwa una Pheumonia hasa kama unaishi mikoa ya baridi ni rahisi sana kupata hili tatizo...!! Pia ugonjwa huu unahusishwa na watu ambao immunity zao zina shida somehow ndo maana most of cases watoto ni rahisi kupata japo mtu mzima immunity ikicheza pia Inakupata so dawa zake huwa ni AMOXCLAV syrup kwa watoto.. Mtu mzima Amoxclav tab au ukipata Azithromycin tab itakusaidia
 
wazee naulizia dawa ya kuacha pumbe naona nashindwa kila namna ninayo jaribu
Kuna njoa za kienyeji ambazo wengine wanadai Kuwekewa maziwa ya Nguruwee kwenyw Pombee...!! Yani utakionaa cha mtemaa kunii itakuwa kila ukiona pombe unageuza njia hata harufu hutatala kuisikia lakini pia.

Unaweza acha kwa kupunguza kiwango cha Pombe unachokunywa huwezi ukaacha pombe Over the night ni uongoo sasa unaweza kupunguza kiwango cha kunywa.. Pia jitahdi kuepuka compan inayokufanya unywee pombe
 
Na naweza kujua aina na jina la hizo dawa please.
mkuu unaweza kwenda hospital na usipone kikubwa kula vizuri imarisha kinga yako ya mwili kwa kula matunda mboga mboga
pia punguza au vaa condom na kama una mwanamkee ulie sex nae ukiwa na ilo tatizo achana nae
pia tafuta dawa inaitwa podophylin inauzwa 50.000 unapaka utaona matokeo mapema sanaa

inbox for more help
 
Wakuu water guard ile kutibu maji ya, kunywa jeh ni salama, kwa matumizi ya mama mjamzito wa mimba ya mwezi mmoja
 
Kichomi ni dalili ya kuwa una Pheumonia hasa kama unaishi mikoa ya baridi ni rahisi sana kupata hili tatizo...!! Pia ugonjwa huu unahusishwa na watu ambao immunity zao zina shida somehow ndo maana most of cases watoto ni rahisi kupata japo mtu mzima immunity ikicheza pia Inakupata so dawa zake huwa ni AMOXCLAV syrup kwa watoto.. Mtu mzima Amoxclav tab au ukipata Azithromycin tab itakusaidia
Asante sana
 
Ganzi miguuni na mikono(harafu inapata ubaridi) je kipimo gani kinatakiwa au dawa gani nitumie nipone?
 
habarini wadau natafuta dawa ya genital whatts na ndugu yangu yupo kijijini kazipata zinamtesa sana

mawazo mgando usije sema ni mimi
 
Back
Top Bottom