Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Mkuu ninatatizo la muda mrefu kwenye lips zangu za mdogo huwa zinabanduka na kuacha ngozi nyekundu na kufnya mdomo kuwa mwekundu na nikioga vinatoa vitu vyeupe ukivibandua vinatoka ni tatizo la muda mrefu naomba msaada tafadhali.
Tafuta Vitamin B mkuuu...!! Itakusaidia sana...
 
Habari mkuu mimi Upatikanaji wa choo tatizo napata kidogo sana
Kupata choo kidogo sio tatizo labda usema unapata choo kwa Shida mkuu.. Ningesema labda una large Intestinal blockage lakini haiwezekani maana ungekuwa unapata maumivu.
 
Mkuu Mimi nikilala hua nasikia maumivu ya tumbo kiasi chin yakitovu Kama njaa hivi,Ila nkiinuka nakuanza mishemishe inapotea,unakuja pind nkitaka kulala na nnapoamka,uliwahi kupotea Hari hyo nlipokunya dawa za minyoo
 
Naipataj???
Ulcers zinaweza kuwa zinasababishwa na Factor nyingi lakini Kubwa hasa ni.

Bacteria anaitwa H.pylori ambapo kuna test inafanywa kujua kama unao na kama umetest positive utapewa HELIGO KIT.

Pia Ulcers husababishwa uzalishwaji mwingi wa Acid ambao huendana na Kukuwaruza kuta za tumbo so ukiwa unapata hii hali hasa kama Hujala muda mrefu ndo maana case kama yako inakutokea sana asubuhi muda ambao tumbo lipo wazi lakini mwili unazlisha acid ambayo huumiza tumbo. Hapa unaweza pewa dawa kama PANTOPRAZOLE pekee bila Antibiotics.
 
Habar Doctor, Naomba msaada nasumbuliwa na maumivu sehemu ya haja kubwa nikiwa toilet na nikishatoka sehemu ya haja kubwa inauma sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaweza kuwa dalili ya Haemorrhoid ambapo unaweza ukawa na Uvimbe kwenyw Anus yako ambayo inapata pains unapojisaidia usipowahi kuitibu itakuwa kubwa na inaweza toka kidonda.. Tafuta dawa inaitwa ANNUSOL mapema.
 
Mkuu Mimi nikilala hua nasikia maumivu ya tumbo kiasi chin yakitovu Kama njaa hivi,Ila nkiinuka nakuanza mishemishe inapotea,unakuja pind nkitaka kulala na nnapoamka,uliwahi kupotea Hari hyo nlipokunya dawa za minyoo
Hii hali inakutokea hata ukiwa umekula???
 
Jeh Maziwa mtindi/mgando yanaharibu dawa
Maziwa ya Mgando yanaharibu baadhi ya Dawa kwa sababu kwenye maziwa kuna Calcium ambayo hureact na Dawa na kuzuia isinyonywe kwenye damu mfano dawa kama Tetracycline tabs.. Lakini pia kuna dawa inabidi unywe na Maziwaa ili kuongesha ufanisi wake na absorption yake kwenye mfumo wa chakula kama ALU NA GRISEOVULVIN.
 
Nakosa usingizi kipindi nikiwa macho.. Sijui shida nini !!
Ni dalili ya Msongo wa mawazoo...!! Kuna vidonge vinasaidia kupata usingizi na kupunguza stresa kama Lorazepam au Citalopram lakini dawa hizi ni mpaka uandikiwe na Dr maana madhara yake ni mabaya na inaweza pelekea Addiction.
 
Naombeni msaada wa dawa nzuri iwe ya mitishamba au ya kitaalamu kwa mtu aliye na tatizo la minyoo sugu linalopelekea akijikuna mwili unavimba

Sent using Jamii Forums mobile app
Minyoo huzalisha sumu ambayo inaweza sababisha Allergy kwa watu baadhi ikiwa hii pia minyoo mingine husababisha kuaribika kwa Mfumo wa Utoaji maji mwilini hivyo kupeleka maji kuaccumulate na hii husababisha muwasho wa Ngozi ambapo ukijikuna sana ngozi inaweza tengeneza vidonda. Kuna dawa inaitwa DIETHYLCARBAMAZINE.. Kwa bongo unaweza zipata japo kwa shida sana maana huu ugonjwa kwetu sio sana maana watu hupewa Chanjo mapema lakini ukikosa jaribu DOXCYCLINE
 
Back
Top Bottom