Rwekaxa Autonomy
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 461
- 498
Asnte mkuu be blessedUna tatizo la superficial folliculitis(razor bumps),hali hii inatokea bacteria wanapoingia kwenye hair follicles na kusababisha inflammation.Tiba zipo tofauti kutokana na kama una muwasho tu au una infection pia.Usafi ni muhimu,safisha hilo eneo na maji vuguvugu pamoja na antibacterial soap mara mbili kwa siku na kausha kwa taulo safi.Kama vipele vinawasha unaweza kutumia hydrocortisone cream. Mwanzoni inashauriwa usinyoe kwa miezi mitatu .Ikisha Epuka kunyoa kwa kinyozi na mashine za kuchangia,nunua mashine yako binafsi ambayo utatumia wewe tu.
Naproxen 250mg,Initially aanze na 500mg 1st day(2*250mg),ikisha 250 mg every 6-8hrs,Maksimum dosage ni 1250mg(5*250mg) per day.Doctor sijajua Kama umelijib Hili swali, Ila mke wangu anasumbuliwa Sana na tumbo la hedhi/period na hasa zile siku za mwanzon, je kuna dawa gani ambazo zitamsaidia kuepuka ilo tatizo maana uwa likimshika awezi kufanya kitu chochote siku nzima.
Ahsante.
Shukrani mkuu.Naproxen 250mg,Initially aanze na 500mg 1st day(2*250mg),ikisha 250 mg every 6-8hrs,Maksimum dosage ni 1250mg(5*250mg) per day.
Katafute dawa inaitwa Ceftriaxone Inje choma stat tafuta na AZUMA 6 tabs kunywa od. Usipopona rudi hapaMsaada doctor nimeugua uti kwa miaka saba sasa ila natokwa na ute mweupe kwenye uume hivi nimetumia dawa zote azuma cipro doxy sijapona nimechoma mpka sindano ya panadul sijapona sasa hivi nikimwaga shawaha zangu zinavutika kama kamasi hizi sio kama zamani vile vile napata maumivu ya maungio ya mgongo msaada doctor
Kutoa harufu inaweza kuwa ni fungus sugu au UTI so tafuta dawa inaitwa Gynazole pessaries na Amoxclav tabs anywee... Akiwa anatumia gynazolw apumzike kupigana miti kwanza.Ni sawa gani ya kuondoa tatizo la kutoa harufu sehemu za siri kwa mwanamke?
Sio kila homa ni malaria unaweza ukawa na Homa inasababishwa na blood infection au UTI hata typhoid. Kama unaweza kupima ni vizuri au tumia antibiotic incase just chukua Azuma.Dr, toka juzi najisikia hali ya ubaridi, mwilini mwangu, sina maleria hali niliyonayo na mtu mwenye homa kali shida nini nitumie dawa gani?
Samahani doctor nichome stat au tatu pia azuma nimeze ya 250mg au 500mgKatafute dawa inaitwa Ceftriaxone Inje choma stat tafuta na AZUMA 6 tabs kunywa od. Usipopona rudi hapa
Stat Ceftriaxone 1g then Azuma 500mg OD for six days.Samahani doctor nichome stat au tatu pia azuma nimeze ya 250mg au 500mg
Aisee ni inaweza sababishwa na alleg au bacterial so we pata antibiotics kama ampiclox dozi nzima utapona kabisaNami nichukue fursa kukushukuru na kukupongeza Dr. kwa kuendelea kutuelimisha juu ya matumizi sahihi ya dawa na tiba kwa maradhi tofauti tofauti na wana JF wote kwa ujumla.
Binafsi ningeomba kuuliza juu ya hali ya kuwa kama umeungua kijisehemu, kinywani upande wa juu yaan mahali panapotazamana na mgongo wa ulimi.
Tatizo hili sababu yake yaweza kuwa ni nini na yepi matibabu yake?
View attachment 1865152