Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi pia ningependa kufahamu doctaDokta nini tiba ya gas kali tumboni iliyoletwa na ulcers?
Je umeishatumia matibabu gani?Mi pia ningependa kufahamu docta
Habari,Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana.
A
B
C
D
E
F
Hutaki uume usimmame nazani utakuwa na matatizo ya akiliHabari,
Nna swali moja, Lengo langu nataka uume usisimame, nisitamani mwanamke yyte wala kuzalisha ndani ya kipindi cha miaka kadhaa. Yaani nataka nisiwe na hisia za mapenzi kabisa. Nataka nikimuona mwanamke nione kama mwanaume tu, Je nitumie dawa/ktu gani?
Asante
Jaribu kufunga mara kwa mara ( kukaa na njaa) or weka matone kadhaa ya mafuta ya taa kwenye chakula unachutumia [emoji847]Habari,
Nna swali moja, Lengo langu nataka uume usisimame, nisitamani mwanamke yyte wala kuzalisha ndani ya kipindi cha miaka kadhaa. Yaani nataka nisiwe na hisia za mapenzi kabisa. Nataka nikimuona mwanamke nione kama mwanaume tu, Je nitumie dawa/ktu gani?
Asante
Kuuliza swali unatype kama ulivotype hii comment yako afu unabonyeza button ya sentNaomba kuelekezwa jinsi ya kuuliza swali hapa jf doctor,kila nikisearch sioni maybe sielewi msaada tafadhali
UTI/fungus husumbua sana hasa mama akiwa mjamzito, mpeleke kwa dr. apatie dawa nyingine, kuna ya kuingiza ndani, na kama dr. ataona kuna haja ya kumchoma sindano,atafanya hivyo.Habari yakoo mkuu? Mkeee Wanguu ni mjamzito lakini anatatizo la kuwashwa sana sehemu za siri(ukeni) na anatoa uchafu mwingini ukeni tumeenda hospital amepewa dawa lakini hazijamsaidia naomba msaada wa ushauri nn tufanye mkuuu. Naomba kuwasilisha mkuuu
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Pima tena ndugu! Kwa nini uendelee kuishi kwa mashaka.Nilipima HIV mala ya kwanza nikakuta negative baada ya kupita sehemu yenye mashaka
Nimerudia mala ya pili baada ya miezi minne ila nilijikuta nimetumia kipimo ambacho kina mwezi mmoja tangu kiwe expired
Je niamini majibu yake? ilikua negative!
Thanks mkuu, nitapima tena naamini Mungu atanivusha kwenye hili.Pima tena ndugu! Kwa nini uendelee kuishi kwa mashaka.
Hapana Pima na kipimo ambacho hakija expire.Nilipima HIV mala ya kwanza nikakuta negative baada ya kupita sehemu yenye mashaka
Nimerudia mala ya pili baada ya miezi minne ila nilijikuta nimetumia kipimo ambacho kina mwezi mmoja tangu kiwe expired
Je niamini majibu yake? ilikua negative!
Tafuta Dawa inaitwa Zentel au Ivermectin ni dawa kali na nzuri za minyoo.. Lakini upunguze kula vyakula ambavyo havijaivaa vizuri hasa makachumbariii...Habari dr. Mm nakusihi sana ukijibu japa niandikie pm pia huwa sitembelei sana huki. Nina minyoo sugu kila nikinywa dawa napata nafuu wakati natumi na week moja ama mbili then nikipima najutwa na minyoo ascaris nimechoka kinywa dawa ikabidi nitulie tu ila kwakweli naumwa mwili wote na tumbo pia eneo lote juu ya kitovu
Mawe kwenye Figo ni muunganiko wa acid na salts ambazo huwa ni taka mwili kupelekea kutengeneza vidude kama mawe hivii.. Zamani walikuwa lazima ufanyiwe operation kuondoa lakini siku hizi huwa MLOGANZILA wana namna ya kudissolve hayo nawe bila surgery alafu kazi yako ni Kunywa maji mengii kupita maelezo kuclear hivyo vimawe.Nini chanzo cha mawe kwenye mfuko wa nyongo na nini matibabu yake?
Mkuu, hii kitaalamu imekaajeHapana Pima na kipimo ambacho hakija expire.