Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Habari,
Nna swali moja, Lengo langu nataka uume usisimame, nisitamani mwanamke yyte wala kuzalisha ndani ya kipindi cha miaka kadhaa. Yaani nataka nisiwe na hisia za mapenzi kabisa. Nataka nikimuona mwanamke nione kama mwanaume tu, Je nitumie dawa/ktu gani?
Asante
 
Hutaki uume usimmame nazani utakuwa na matatizo ya akili
 
Habari yakoo mkuu? Mkeee Wanguu ni mjamzito lakini anatatizo la kuwashwa sana sehemu za siri(ukeni) na anatoa uchafu mwingini ukeni tumeenda hospital amepewa dawa lakini hazijamsaidia naomba msaada wa ushauri nn tufanye mkuuu. Naomba kuwasilisha mkuuu

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Jaribu kufunga mara kwa mara ( kukaa na njaa) or weka matone kadhaa ya mafuta ya taa kwenye chakula unachutumia [emoji847]
 
Naomba kuelekezwa jinsi ya kuuliza swali hapa jf doctor,kila nikisearch sioni maybe sielewi msaada tafadhali
 
UTI/fungus husumbua sana hasa mama akiwa mjamzito, mpeleke kwa dr. apatie dawa nyingine, kuna ya kuingiza ndani, na kama dr. ataona kuna haja ya kumchoma sindano,atafanya hivyo.
 
Doctor nina tatizo ila sijui ni tatzo gani naomba nikueleze,
,Kwa kipindi Cha miaka mitatu Sasa,,nikifanya mapenzi na mwanamke maji maji machafu ukeni yanaanza kumtoka soon after 24 hrs,akienda hospital anaambiwa ni UTI na fangasi atapewa dawa za kumeza na kupachika au sindano
Na Mimi naambiwa Nina UTI ipo nyingi nitapewa dawa au sindano,then after one week to fanya mapenzi inarudi Hali ile ile,,
Shida ni nn maana Kama UTI ,NIMETIBIWA SANA lakin mi siumwi ,
 
Nilipima HIV mala ya kwanza nikakuta negative baada ya kupita sehemu yenye mashaka

Nimerudia mala ya pili baada ya miezi minne ila nilijikuta nimetumia kipimo ambacho kina mwezi mmoja tangu kiwe expired

Je niamini majibu yake? ilikua negative!
 
Nilipima HIV mala ya kwanza nikakuta negative baada ya kupita sehemu yenye mashaka

Nimerudia mala ya pili baada ya miezi minne ila nilijikuta nimetumia kipimo ambacho kina mwezi mmoja tangu kiwe expired

Je niamini majibu yake? ilikua negative!
Pima tena ndugu! Kwa nini uendelee kuishi kwa mashaka.
 
Habari dr. Mm nakusihi sana ukijibu japa niandikie pm pia huwa sitembelei sana huki. Nina minyoo sugu kila nikinywa dawa napata nafuu wakati natumi na week moja ama mbili then nikipima najutwa na minyoo ascaris nimechoka kinywa dawa ikabidi nitulie tu ila kwakweli naumwa mwili wote na tumbo pia eneo lote juu ya kitovu
 
Nilipima HIV mala ya kwanza nikakuta negative baada ya kupita sehemu yenye mashaka

Nimerudia mala ya pili baada ya miezi minne ila nilijikuta nimetumia kipimo ambacho kina mwezi mmoja tangu kiwe expired

Je niamini majibu yake? ilikua negative!
Hapana Pima na kipimo ambacho hakija expire.
 
Tafuta Dawa inaitwa Zentel au Ivermectin ni dawa kali na nzuri za minyoo.. Lakini upunguze kula vyakula ambavyo havijaivaa vizuri hasa makachumbariii...
 
Nini chanzo cha mawe kwenye mfuko wa nyongo na nini matibabu yake?
Mawe kwenye Figo ni muunganiko wa acid na salts ambazo huwa ni taka mwili kupelekea kutengeneza vidude kama mawe hivii.. Zamani walikuwa lazima ufanyiwe operation kuondoa lakini siku hizi huwa MLOGANZILA wana namna ya kudissolve hayo nawe bila surgery alafu kazi yako ni Kunywa maji mengii kupita maelezo kuclear hivyo vimawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…