Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Miili yetu imejengwa kitofauti. Na sensitivity juu ya kitu hutofautiana kati ya mtu na mtu.Mbona wengine hawapati,
Dr Restart Shida huwa inakua nini mpaka mtu akitembea umbali mrefu wastani, anapata tatizo la kuwashwa na miguu, akijikuna hajui akune wapi sababu akikuna hapa panawasha pale. Muwasho unaacha dakika chache mbele baada ya kuacha kutembea.
Asante kwa ushauriMiili yetu imejengwa kitofauti. Na sensitivity juu ya kitu hutofautiana kati ya mtu na mtu.
Haimaanishi kuwa hamna, ila sensitivity yake inaweza kuwa chini kulinganisha na wewe.
Kamwe hatuwezi kufanana Mkuu.
Siwezi kuoga bila dodokiDawa ya hilo tatizo oga kwa dodoki,sugua sehemu za miwasho vzuri,tumia sabuni za protection. Mwisho kabisa pima minyoo baada ya kutumia dozi kama ikiwepo tatizo litaisha au kupungua sana.
Pia chunguza viatu utakavyovyaa kisha miwasho ikawa mingi,anika juani viatu kupunguza jasho
Kwani unatafuta dawa? Usipende kujilimbikiza madawa alimradi tu Madam.Siwezi kuoga bila dodoki
Nakunywa dawa ya minyoo kila baada ya miezi 3
Miwasho sipati kwenye mguu wa kikanyagio ila miguu hii miti sehemu ya kati na nyuma ya magoti
Nilisumbuliwa na chunusi za hormone kwa mudaKwani unatafuta dawa? Usipende kujilimbikiza madawa alimradi tu Madam.
Usipende kutembea sana juani. Kwa sababu damu hutembea kwa kasi sana. Tembea ukiona imekuwa shida, relax then tembea tena.
Au kama vipi, tembelea makalio (usafiri).
Sitaki dawa! Nimemjibu tu numbisaKwani unatafuta dawa? Usipende kujilimbikiza madawa alimradi tu Madam.
Usipende kutembea sana juani. Kwa sababu damu hutembea kwa kasi sana. Tembea ukiona imekuwa shida, relax then tembea tena.
Au kama vipi, tembelea makalio (usafiri).
Dokta mimi nina swali moja tu, nina ndugu yangu, jinsia ya kike ana miakaa 32.yeye ni mwoga kushiriki tendo la ndoa anaogopa maumivu na huwa anajikuta kesha bana miguu je r hili tatizo ni nini na je suluhisho lake ni lipi?
Msaada wadau hili tatizo la mguu kutokwa na kama vipele na uvimbe... Chanzo na tiba ni nn Maana tumeenda Sana hospitals zetu tunapewa tuh dawa na hatuambiwi chanzo wala ni ugonjwa gani.
Huyu mgonjwa pia Ana tatizo la presha ya macho inawezekana ikawa inachangia??
Dawa ipi mtu akitumia Anaweza kupata usingiz,? alale
Dokt naomba msada dawa yafangas ukeni
Zipo dawa zake, fika afisini kwetu ama wasiliana nami kuzipataDokta naomba msaada dawa ya Acid Reflux, nisaidie dokta hali yangu inazidi kuwa mbaya.